Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Ujue nini wewe boya tu, mkiongopewa kwenye vijiwe vya kahawa na wewe unabeba tu kama dodoki halafu unajifanya kujua.
Watanzania tuliongopewa, tukaelewa tukaridhika na tukaupenda huo uongo, kwa nini mnateseka sana?
 
Makamba kawajibu huko Twitter nenda kamsome.... Kasema yeye hana muda na fukuza fukuza/tumbua tumbua maana imeleta madhara makubwa huko Tanesco ya mitambo mingi kutofanyiwa zile regular services kwa kuogopa kutumbiliwa maana hizo services lazima mitambo izimwe... Hivyo mamitambo mengi yanapumulia mashine...
 
Alidai lipo kwenye hifadhi ya barabara lakini ni kweli kwamba yeye ni mtiifu wa sheria kila sehemu? Maana tunajua maeneo aliyopindisha sheria kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
 
Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Pale Kimara majority walikuwa na court order ya kuzuia ubomoaji wa nyumba zao but bado walivunjiwa kibabe!! Hivi leo hawa watu wakirudi tena mahakamani na kudai haki zao na fidia mtawaona wakorofiii?
 
Mzilankende alikuwa mpuuzi Sana yule yaani sijui alikuwa na laana ya wapi huyu mtu hapa chini 👇

 
"Maslahi yake binafsi", mnajua wewe na nani? embu tujuze na sie tujue.
Alidai lipo kwenye hifadhi ya barabara lakini ni kweli kwamba yeye ni mtiifu wa sheria kila sehemu? Maana tunajua maeneo aliyopindisha sheria kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
 
Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowassa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowassa..

Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Kama alivyokuwaa musiba
 
Alidai lipo kwenye hifadhi ya barabara lakini ni kweli kwamba yeye ni mtiifu wa sheria kila sehemu? Maana tunajua maeneo aliyopindisha sheria kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
Kwahiyo Ulitaka hili nalo liachwe! Na lile na hilo, mwisho yote yaachwe, pamoja na ya kwake aliyo pindisha! Imagine, nchi itakuwa vipi!
 
Wanatoa vizuri tuu
 
Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
Punguza Mahaba jombaa, watu walikuwa na court order na bado wakavunjiwa.... Hivi unafahamu kwamba ubabe wake huko nyuma imeleta athari kadhaa? Ile Meli ya uvuvi unafahamu kwamba wahusika walilipwa? Kuna kituo cha mafuta kilivunjwa kibabe na mwishowe mhusika alilipwa na kumbuka zote hizo ni kodi zetu. Swali kwako : Hivi angekuwepo ungesikia Membe kashinda kesi na Musiba alipe bilioni 6????? Just be honest...
 
Mpumbafu
 
Lingekuwa la shirika au la umma lisingebomolewa siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…