Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

Mwenyezi Mungu hajaharamisha biashara ya utumwa na hakuna kitabu cha dini kinacho kataza biashara hiyo
 
Kwa hivyo Muarabu hajafanya biashara ya watumwa Zanzibar?

Biashara ya watumwa Africa Mashariki kwenda Arabuni ilianza lini? Muingereza alifika lini? Muarabu alifika lini?

Nani aliipiga marufuku?
Muarab alipofika kwenye pwani ya Afrika Mashariki hakuwa na lengo la kutawala wala kufanya biashara, Wareno ndio waliomsababishia atawale na biashara ni Waingereza ndio waliompelekea. Kumbuka hayo maeneo yalikuwa ni himaya ya Mjerumani na Mwingereza.

Soko la biashara ya utumwa Zanzibar lipo ndani ya kanisa ambalo limejengwa na Mwingereza. Mwarabu hakuwa akisafirisha watumwa nje ya Afrika bali Waingereza ndio waliokuwa wakifanya hivyo. Yeye kazi yake ilikuwa ni kukamata tu watumwa na kuwauza, hivyo ukiangalia biashara angalia pande zote mbili.
 
Yaani watu wanajua ukarabati unaisha kumbe kuna mafundi wa chokaa tu
IMG-20201225-WA0028.jpg
 
Kwa hivyo Muarabu hajafanya biashara ya watumwa Zanzibar?

Biashara ya watumwa Africa Mashariki kwenda Arabuni ilianza lini? Muingereza alifika lini? Muarabu alifika lini?

Nani aliipiga marufuku?
Aliyeianzisha ndie aliyepiga marufuku, hizo ni mbinu hata sahv zinatumika....nacreate problem, then najifanya kutatua ili kujenga imani na kupendwa na watu.
 
Huwa najiuliza, ghorofa hilo lilijengwa kwa simenti ipi wakati huo haijagunduliwa?
 
Yaani watu wanajua ukarabati unaisha kumbe kuna mafundi wa chokaa tu
Watu wamepiga hela ya muarab hapo. SMZ ilikuwa imeoza, wale walioaminisha watu kuwa muarabu ni mbaya na anataka kutawala tena Zenji, siku ulipokuja ujumbe wa Sultan wa Oman Qaboos bin Said wao ndio walikuwa wa mbele kuingia kwenye boti ya muarab ambaye wao wamemjengea taswira ya kuonekana ni mbaya.
 
Wanamapinduzi nlisikia wanasema kila nguzo ina mafuvu ya watumwa. Ni muda muafaka sasa yatafutwe, wataalamu waje wafanye utafiti wanaweza kutwambia walikuwa watu gani/wa wapi n.k

Hata Bungi miembe mingi walisema kila kwenye muembe kuna mafuvu ya watumwa.... miembe inakatika lakini bado fuvu halijapatikana.
Kipimo cha unafiki wao ni kidogo sana. Haya sasa jumba limeshaporomoka, nguzo zimeanguka wakafukue kifusi kuangalia hiyo mifupa ya watu!
 
Aliyeianzisha ndie aliyepiga marufuku, hizo ni mbinu hata sahv zinatumika....nacreate problem, then najifanya kutatua ili kujenga imani na kupendwa na watu.
Hujajibu maswali ambayo yangeonesha uongo wako.
 
Hujajibu maswali ambayo yangeonesha uongo wako.
Uongo wangu ni mdogo sana, aliyeianzisha ndie aliyeipiga marufuku. Eneo lote la Africa Mashariki lilikuwa chini ya Muingereza na Mjerumani, hivyo unataka kusema Mwarabu alikuwa anafanya biashara kwenye eneo lao then wamuachie tu?? Muarabu kazi yake ilikuwa ni kufikisha watumwa sokoni lakini soko lilikuwa linamilikiwa na Waingereza.
 
Nimekuuliza Muarabu kafika lini hapo Afrika Mashariki na Muingereza kafika lini?

Hujajibu.

Kwa nini?
 
Hana pointi huyo anataka tu history lesson keshasahau kitambo
Amesema kuwa haikuhitajika kuonekana mafuvu kwenye hilo jengo kujua ubaya wa waarabu, bali utumwa ulitosha kuonesha ubaya wao. Mimi nafikiri hajui kama Waafrika walikuwa wakiuzana kwa kupewa vioo baada ya kujiona tu. Sasa sijui atasema waafrika wabaya. Ama hajui kama Afrika mashariki mgeni wa mwanzo kuja kukoloni ni mportuguese, mzungu.
 
so sad.nimesikitika sana.mbona ni .muda yapata miaka 2 sasa nikijua serikal ya qaboos bin said ilitoa grant for rehebalitation of house of wonders.
ay lil eedat ataahil fil beit al ajaib lil muadhama sultan qaboos bin said al said fi hadhii sanawat lil muakhirat tanzania.
utalii wetu hasa mji mkongwe unategemea sana majengo yale yawe katika hali nzuri.ni wito sasa kuwataka mamlaka kupitia kila nyumba kukagua hali ya uhifadhi wake,na kama jengo lipo katila hali mbaya wakaz wake watolewe jumba likarabatiwe kwa utaaalam ule ule .
 
Pia naona ni sehemu tu ya jengo ndio imedondoka, kuna wataalam wa restoration hapo Zanzibar waliopikwa vyema toka Ardhi University, waonyeshe sasa makali yao hapo
wanatumia material ipi? kama ni kwenda kukandika siment katika majengo yaliyojengwa kwa matumbawe ya baharin itakua kutwanga maji kwenye kinu.zile ni corals
 
so sad.nimesikitika sana.mbona ni .muda yapata miaka 2 sasa nikijua serikal ya qaboos bin said ilitoa grant for rehebalitation of house of wonders.
ay lil eedat ataahil fil beit al ajaib lil muadhama sultan qaboos bin said al said fi hadhii sanawat lil muakhirat tanzania.
utalii wetu hasa mji mkongwe unategemea sana majengo yale yawe katika hali nzuri.ni wito sasa kuwataka mamlaka kupitia kila nyumba kukagua hali ya uhifadhi wake,na kama jengo lipo katila hali mbaya wakaz wake watolewe jumba likarabatiwe kwa utaaalam ule ule .
Hujaizoea tu SMZ 😀 tupe sie pesa "tutajenga" kumbe zinakwenda matumboni mwao
 
Yaani watu wanajua ukarabati unaisha kumbe kuna mafundi wa chokaa tu
Yale mabati waloweka na yale ma pipe ya kupandia yamewekwa kuzuga watoaji hela tu. tangu 2012 hadi leo hakuna lilofanywa. Yaani ZSSF na ufisadi wao wamejenga majumba kwa haraka kuliko SMZ kukarabati lile jumba tangu 2012.
 
Back
Top Bottom