Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania

Sasa hivi mgogoro huo unajadiliwa Aljazera katika Stream.
Marudio ya mjadala huo ni saa 5.30 na jioni saa 11.30. Ni vema tufatilie ulimwengu unatuzungumziaje katika suala hili la Ngorongoro
Mjadala huo
 
Sasa hivi mgogoro huo unajadiliwa Aljazera katika Stream.
Marudio ya mjadala huo ni saa 5.30 na jioni saa 11.30. Ni vema tufatilie ulimwengu unatuzungumziaje katika suala hili la Ngorongoro
Asante kwa taarifa mkuu nitautafuta huo mjadala.
 
Inalipiwa Dinari (Dirham) 250,000 ambayo ni sawa na Shiling 157,568,744.52 kwa dakika tatu !!! Baadaye tutaenda kuomba msaada au mkopo.
It's a shame! Kama kweli tumelipa kiasi hiki alafu Taifa zima, mitandao yote! Tunashangilia hadi Television ya Taifa [emoji17]
 
Hapo kuna mastaa wanawekwa siku za birthday zao sasa si aibu hii taifa zima kushangilia namna hii? Tumelogwa? Unfortunately ni pesa yako tu unarushwa pale! Tunarejea kwa kasi kwenye unnecessary issues [emoji58]
Hata kama fedha zimetoka serikalini.

Ni kutoka katika mfuko upi??

Ambao unaruhusu nchi ambayo hainiwezi kiuchumi kwa mikopo kufanya anasa za namna hii??

Kuna watu hawana uchungu kabisa na fedha za wananchi maskini.

Wanazitumia tu kwa mambo ambayo hayana tija kabisa.
 
Kwanini wasingweeka picha/videos za vivutio vya utalii, Madini, mazao ya kilimo vinavyopatikana TZ?
Unaanza kwanza na Nchi, baadaye utakuja weka hivyo unavyovitaka. Creativity haifi bali inaendelea na inabadilika
 
Bendera imetangaza vipi utalii? Ukikuta Bendera ya Jamaica pale posta utavutiwa na Jamaica? Hivi unajua hata TIC yetu haina vitu vya msingi mtandaoni ambavyo vingesaidia wawekezaji wanaotafuta taarifa muhimu za nchi waweze kuzitumia kufanya maamuzi ya angalau ya awali?
 
Lengo refu zaidi duniani linalofahamika kwa jina la #Burj Khalifa lililopo #Dubai, likiwa limenakshiwa na rangi ya bendera ya Tanzania, jana Februari 28, 2022.

View attachment 2134709
Matunda ya Mama hayo ( Bibi Tozo ) Nampenda na Kiukweli mama anabaki kuwa Mama maana Baba hakuwa hivi ila Mama Matunda yake tunayaona Mungu Mbariki Mama yetu awe na Maisha Marefu na Afya Njema aendelee kuipeperusha bendera yetu ya Tanzania
 
It's a shame! Kama kweli tumelipa kiasi hiki alafu Taifa zima, mitandao yote! Tunashangilia hadi Television ya Taifa [emoji17]
Hujafika Burj Khalifa na hujui ni nini maana ya world tallest building. Endelea kusoma wajuzi wa marketing specifically billboard marketing wakufahamishe.

Ushamba mzigo
 
Hawa watoa mikopo nao wana lao jambo si bure!
Nalog off
Kutoa mikopo nayo ni biashara yakhe! Mjinga anakopa laki kwa riba ya 21%pm kisha anakwenda Bar kutangaza jina.
Kisha baada ya mwezi anashindwa kulipa 121,000/ na baada ya mwaka deni linakuwa 600,000/ anakabidhi shamba.
Ndio sisi TZ
 
Iwe bendera ya Tanzania pekee wakati jengo lipo Dubai? Hata picha za mastaa wakubwa wenye uhusiano mzuri na wa karibu na ufalme wa kule eg. Cristiano Ronaldo wakienda Dubai zinawekwa.
Na ukumbuke Tumelipia pesa ndefu Sana ili like jengo kuligeuza kuwa bango,ha mchezaji CR7 alishafanya hivyo.
 
Bondpost, mkuu sina nyongeza kwa hii shule uliyopiga hapa. Naamini unaweza ukaiboresha na kuiweka kwenye majarida makubwa ya marketing hata like la Havard Business Review. Au unaweza ukafanya hata professorial lecture kwa wanafunzi wa postgraduate kwenye university yeyote nchini.

Kama kuna mwana JF anakubishia ni kwa sababu zifuatazo:

1. Ni mbumbumbu wa biashara za kimataifa

2. Ni mmoja kati ya WAPINZANI wa kazi za Rais SSH, lazima wapinge kila kitu chake
 
Hongera kwa uandishi wako. Yaani unaandika kwa maneno mepesi sana kiasi hata mtu ambaye hajawahi kufika Std 1, anaelewa.

Mtu asipokuelewa ajihesabu ni mlemavu wa akili. Hakuna msaada tunaweza kumsaidia. Hongera Bondpost
 
Inalipiwa Dinari (Dirham) 250,000 ambayo ni sawa na Shiling 157,568,744.52 kwa dakika tatu !!! Baadaye tutaenda kuomba msaada au mkopo.
Nchi utadhani inaongozwa na mazombii?
Au tatizo ni sisi kondoo tunaoongozwa kupitia chama cha mbogamboga?
 
Hakuna cha bure si tunawapa ngorongoro
 
Na ukumbuke Tumelipia pesa ndefu Sana ili like jengo kuligeuza kuwa bango,ha mchezaji CR7 alishafanya hivyo.
Na bado tujiulize bendera yaweza kumfanya mtu akasafiri kwenda kutalii mahali? Tunakopa mamilioni ya dola kujenga vyoo vya shule na kutumia mamilioni ya dola kutangaza bendera ambayo hata club ya Yanga wanayo!
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…