Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Devil's advicateUnajisikia raha kuandika hivi kwa ID.. eeeeh jama mbabe karushe post kwingine watu wajusome na jina lako.. unajua unaandika uongo mtupu.
umeandika ujinga kupita maelezo.Upepo mbaya wa kisiasa unamyemelea bwana mkubwa mmoja na hii huenda ni kutokana na ushauri mbaya anaoupata toka kwa marafiki zake kwa nje ilhali ndani wakiyachukia mafanikio yake na kumtakia mabaya yamfike!
Nimejaribu kufuatilia na kufanyia tathmini ya yanayoweza kujitokeza siku ya tukio la fiesta na baada ya siku hiyo nikaona ni bora nimtaadharishe 'boss mtoto' huyo kwa kuwa nampenda na sipendi nyota yake ya kisiasa ikafia njiani.
Boss mtoto bado ni kijana mdogo na tunamuhitaji katika utumishi wa uma. Hivyo ninachukua nafasi hii kumtaadharisha aachane kabisa kujihusisha kwa namna yeyote ile na haya mambo ya fiesta. Tena ikiwezekana siku hiyo asafiri nje ya mkoa ili upepo mbaya upite.
Ni hivi, kutokana na maagizo ya boss mtoto, polisi wataweza kuingilia kati kuhakikisha tukio la fiesta linakwisha itakapotimu saa sita kamili. Kumbuka muda huo kwenye mkusanyiko wa fiesta kutakuwepo na mkusanyiko kama wa watu elfu ishirini na zaidi WALIOLEWA pombe!
Kitendo cha polisi kuingilia mkusanyiko huo huenda kikasababisha stampede (mkanyagano) na hali hiyo inaweza kusababisha vifo vinavyokadiriwa kuwa kati ya 60-120!
Tukio hilo litakuwa ni baya na la aina yake kuwahi kutokea hapa nchini na hili litazua hasira kali ya wananchi ambao watashinikiza bosi mtoto ang'olewe mara moja.
Kumbuka kuwa, polisi wamekuwa wakizima vurugu uwanja wa taifa wenye watu kadiri ya elfu sitini bila shida kutokea, ila hawa wa fiesta ni watu waliokwishalewa pombe mida hiyo ya usiku. Kwa hiyo, sanity ni kitu adimu uwanjani hapo.
Nimeshawahi kukaa baa. DJ anazima mziki na watu hawataki kuondoka. Wao wameshajipanga kukaa hapo mpaka kukuche. Kwa hiyo, hata mawingu wakizima muziki muda huo, am sure mashabiki hawatokubali kuondoka kwa hiyari kwa kuwa kiu yao bado itakuwa haijakwisha. Kwa hiyo kitendo cha kuwaondoa kwa nguvu, kitakuwa ni janga kubwa kuwahi kutokea kwenye historia ya mikusanyiko ya nchi hiii!
Na hata ukisema kuwa mziki uwahi kuzimwa, Mawingu watakuwa wameshatengeneza pesa yao upfront. Kuwahi kumaliza au kuchelewa kumalizika kwa tukio, haliwatii hasara yeyote mawingu studio kwa sababu wao tayari wameshalamba kiiingilio chao.
Ninamshauri boss mtoto afunike hili kombe ili mwanaharamu apite. Huu ni upepo mbaya sana kwake na akicheza nao, unaweza kumuondoa vibaya sana. Kwa hiyo kwa sababu nampenda, nimeona tu nimtaadharishe up front kabla mambo hayajamwaribikia tena.
fiesta imepita mikoa yote kasoro dar itapendeza zaidi saa sita mwisho.kweli boss mtotoUpepo mbaya wa kisiasa unamyemelea bwana mkubwa mmoja na hii huenda ni kutokana na ushauri mbaya anaoupata toka kwa marafiki zake kwa nje ilhali ndani wakiyachukia mafanikio yake na kumtakia mabaya yamfike!