Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hata huyu Samia na limagufuli sio chaguo la watanzania. Ni chagua la washika bundukiNdugai mshauri mama uchaguzi ujao asikubali bunge liwe chama kimoja. Aacha wananchi wachague wampendae. Magu aliua bunge letu
Hilo sio bunge ni kikundi cha wachumia tumbo wanaccm, bunge lilishazikwaNchi nzima kwa sasa hakuna mtanzania anayefuatilia kinachoendela bungeni. Hii ni kwasabb hadhi ya vikao vya bunge chini ya Ndugai imeshuka kiasi cha kufanana na vikao vya send-off.
Kwa kwa maoni yako bunge lifutwe angalau kwa mwaka mmoja tuone tutapata hasara gani siyo? Swali kwako: Bajeti ya serikali nani ataipitisha? Au tupotezee maana hata iliyopitishwa haifuliwi? Miswaada na sheria mbalimbali nani ataipitisha? Au tupotezee mpaka tupate katiba mpya??Mimi sioni umuhimu wa hicho chombo .
Wapo kula hela yetu tu. Hamna haja ya kuwa na bunge la aina hii.Mimi sioni umuhimu wa hicho chombo .
Ni genge la wahuni tupuBunge limeoza
Ni kusanyiko la waharifu tupuWapo kula hela yetu tu. Hamna haja ya kuwa na bunge la aina hii.
😲😲Mimi sioni umuhimu wa hicho chombo .
Labda wanatuchezesha ubongo tusahau tozo na kodi za majengo.Nchi nzima kwa sasa hakuna mtanzania anayefuatilia kinachoendelea bungeni. Hii ni kwasabb hadhi ya vikao vya bunge chini ya Ndugai imeshuka kiasi cha kufanana na vikao vya send-off.
Watu wengi wazito waliwahi kulisuta bunge hili. Mfano:-
"Bun
Tangia Bunge lilipokubali kuongelea waliyotumwa kuyajadili na Wananchi gizani niliona anguko lake.Spika/Kiongozi wa mhimili unapoendesha chombo cha kuongea siasa unakubalije kuagizwa jinsi ya kutenda kazi huku ukishangilia.Kuanzia 2020 hali yao ndiyo imekuwa mbaya zaidi maana wamebaki waporaji na hakuna Mbunge mle.Wanayoyajadili hayaakisi mahitaji ya Wananchi ndiyo maana wanapitisha Sheria za ajabu kama Tozo za miamala,kodi lukuki na kuongeza kero.Nchi nzima kwa sasa hakuna mtanzania anayefuatilia kinachoendelea bungeni. Hii ni kwasabb hadhi ya vikao vya bunge chini ya Ndugai imeshuka kiasi cha kufanana na vikao vya send-off.
Watu wengi wazito waliwahi kulisuta bunge hili. Mfano:-
"Bunge ni dhaifu".........Prof. Assad
"Bunge ni kibogoyo" ..@pascal Mayalla.
Sasa ili kulifanya hili bunge walau liongelewe Ndugai ameanzisha maigizo na akina Gwajima na Jerry Slaa. Wnachokifanya Jerry Slaa na Gwajima ni maigizo tu. Kwenda na vitabu vingi visivyotumika wala visivyoendana na muktadha wa suala lenyewe.
Gwajima anakataa kiti na microphone siku ya kwanza na siku inayofuata anagoma kukaa na kukubali mic. Ni maigizo at work.
Halafu ujinga huo kupewa headlines na media ili bunge lifuatiliwe.
Leo tunaambiwa Jery Slaa amegoma kufika mbele ya kamati hivyo akamatwe. Lkn wenye akili washajua hii ni episode tu ktk hiyo movie.
Bunge limechuja na limekosa mvuto.
Wewe jamaa mpaka sasa huajajua kuwa pale bungeni ni kualilisha tu vitu na siyo kupitisha vitu vya msingi.Kwa kwa maoni yako bunge lifutwe angalau kwa mwaka mmoja tuone tutapata hasara gani siyo? Swali kwako: Bajeti ya serikali nani ataipitisha? Au tupotezee maana hata iliyopitishwa haifuliwi? Miswaada na sheria mbalimbali nani ataipitisha? Au tupotezee mpaka tupate katiba mpya??
Lifutwe Bunge la chama cha mazuzu(CCM) tuandike Katiba ya Wananchi ile ya Warioba,turudi kwenye sanduku la kura ambazo zitasimamiwa na AU/UN tuanze upya.Kwa kwa maoni yako bunge lifutwe angalau kwa mwaka mmoja tuone tutapata hasara gani siyo? Swali kwako: Bajeti ya serikali nani ataipitisha? Au tupotezee maana hata iliyopitishwa haifuliwi? Miswaada na sheria mbalimbali nani ataipitisha? Au tupotezee mpaka tupate katiba mpya??