Slaa anaumia kuona kama anaporwa nafasi ya kuhutubia....maana ni yeye tu anapaswa kuhutubia vinginevyo ataamrisha polisi wakufunge masaa 24.....Ndio zile za: " Hivi unanijua mimi ni nani"?.... Zimerudi kwa Kasi! 🤔Katika hili tukio ambapo waziri wa ardhi Jerry Silaa anaamuru OCD kumkamata mzungumzaji kosa la anayezungumza ni nini?View attachment 3042185
Hakuna mjinga wa kufanya unaloliwaza......Upinzani jifunzeni kuwa na ndimi laini Kwa viongozi wenu
Tumbafu kabisaJamaa hajui kuongea na authority.
Umevamia eneo, unaulizwa swali unaanza kupiga chenga na kuleta madharau.
Mimi naona Jerry Slaa yupo sawa. Imevamia eneo la serikali, utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Cha ajabu ni nini hapo?
Kabisaaa!hiyo authority, wala sio authority, mwenye authority hapo ni mwananchi, jerry hata hilo shati kavaa kwa kodi za hao wananchi, na aliyemteua ameweka madarakani na hao wananchi. kwanini hampi nafasi ya kusikilizwa ili atatue tatizo?
Una uthibitisho gani wa yeye kuvamia eneo? Kwa nini akuhojiwa tangua mwanzo na polisi kwa kufuata taratibu za kumuhoji mshatikiwa ?Jamaa hajui kuongea na authority.
Umevamia eneo, unaulizwa swali unaanza kupiga chenga na kuleta madharau.
Mimi naona Jerry Slaa yupo sawa. Imevamia eneo la serikali, utakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Cha ajabu ni nini hapo?
Ndio akamatwe?!Waswahili maneno mengi hatujuhi tunalolitaka! Go to the point! Sio kutoa hotuba!
Usipende kutumia nenoDharau gani emeleta?
Mwananchi Hana authority mbele ya kiongozi. Labda kwa ujumla wao.hiyo authority, wala sio authority, mwenye authority hapo ni mwananchi, jerry hata hilo shati kavaa kwa kodi za hao wananchi, na aliyemteua ameweka madarakani na hao wananchi. kwanini hampi nafasi ya kusikilizwa ili atatue tatizo?
Kuvamia ardhi ni kazi rahisi sana kutambua. Labda hufuatilii Mambo tu unaangalia juujuu. Una hatimiliki .... Sina. Umenunua eneo toka kwa nani? .... Mwenyekiti.Una uthibitisho gani wa yeye kuvamia eneo? Kwa nini akuhojiwa tangua mwanzo na polisi kwa kufuata taratibu za kumuhoji mshatikiwa ?