Jerry Silaa ni authority?Usipende kutumia neno
Ngoja kwanza
Kwani hukusikia?
Huelewi?
Sikiliza basi ...
Sasa si ndiyo nakwambia?
Kwani we unaonaje?
Hebu tuliza kwanza .... Etc ni maneno yanayoonyesha dharau kwa authority.
Kulingana na katiba ya Tanzania ambayo kiongozi msomi wa sheria Jerry Slaa anatumia, kuambiwa "ngoja kwanza" ni kosa??Usipende kutumia neno
Ngoja kwanza
Kwani hukusikia?
Huelewi?
Sikiliza basi ...
Sasa si ndiyo nakwambia?
Kwani we unaonaje?
Hebu tuliza kwanza .... Etc ni maneno yanayoonyesha dharau kwa authority.
Kama Waziri tayari alikuwa anajua huyo mtu ni mhalifu mvamizi wa ardhi kwa nini alikuwa anafanya majadiliano naye kwa nini police wasingekuwa wamemfungulia hiyo kesi mapema badala yake wanasuburi kuja kupewa amri na Waziri?Kuvamia ardhi ni kazi rahisi sana kutambua. Labda hufuatilii Mambo tu unaangalia juujuu. Una hatimiliki .... Sina. Umenunua eneo toka kwa nani? .... Mwenyekiti.
Unajua hili eneo ni msitu wa Serikali (Reserved land) ...... Mimi natoa michango kama vile matofali etc ... Blah blah.
Badala ya kusema sijui, unaanza maneno maneno.
Unajua???
Jibu swali.
Ni kutaka kuamini uongo kilazima, ubishi na dharau kwa sababu ushazoea kununua haki kwa viongozi wadogo.
Shida kubwa ya viongozi wa kitanzania hawana uvumilivu kabisa wanaamini zaidi katika matumizi ya nguvu kwakuwa wana jeshi la polisi ambao nao hawajui washike lipi, halafu kila kiongozi anajisikia kufanya linalo mfurahisha yeye na watu wake hata kama linaliuka haki ya mwingine na sio kufuata sheria na haki za wengine. Kifupi viongozi wengi wa tanzania wanapenda sana kutukuzwa.Katika hili tukio ambapo waziri wa ardhi Jerry Silaa anaamuru OCD kumkamata mzungumzaji kosa la anayezungumza ni nini?View attachment 3042185
Katika hili tukio ambapo waziri wa ardhi Jerry Silaa anaamuru OCD kumkamata mzungumzaji kosa la anayezungumza ni nini?
CLIP IMEREKODIWA KWA KUKATA MATUKIO MUHIMU ILI KUMCHAFUA MH. WAZIRI. ALYEKUWA ANAONGEA NA MH WAZIRI NI MTU ALIYEVAMIA ARDHIKatika hili tukio ambapo waziri wa ardhi Jerry Silaa anaamuru OCD kumkamata mzungumzaji kosa la anayezungumza ni nini?View attachment 3042185
OCD amchukuwe ampeleke wapi?Sikiliza vizuri, hakuna mahala Slaa kasema "mkamate", Slaa kasema mchukuwe. Yaani amchukuwe amuondowe hapo, kaja kusaidiwa analeta ujuwaji kuongea hovyo.
Amuondowe pale alipo Slaa, atajuwa yeye pa kumpeleka.OCD amchukuwe ampeleke wapi?
Kwa alikuwa hawezi kuondoka mwenyewe?
Hata kama kweli angekuwa mvamizi wa ardhi unafahamu kwamba waziri hana mamlaka ya kuamrisha polisi kumkamata mtu??CLIP IMEREKODIWA KWA KUKATA MATUKIO MUHIMU ILI KUMCHAFUA MH. WAZIRI. ALYEKUWA ANAONGEA NA MH WAZIRI NI MTU ALIYEVAMIA ARDHI
Waziri hana mamlaka hayo wala hatakiwi kutumia polisi hivyo, ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na matumizi mabaya ya madaraka.Amuondowe pale alipo Slaa, atajuwa yeye pa kumpeleka.
Ujinga ni mwingi sana Tanzania hii! Kiongozi hajui mipaka yake hata kidogo!Katika hili tukio ambapo waziri wa ardhi Jerry Silaa anaamuru OCD kumkamata mzungumzaji kosa la anayezungumza ni nini?View attachment 3042185
Wacha waziri, hata wewe ukiwa na kikao na mkutano wako na kuna mtu humtaki awepo, unayo mamlaka hayo.Waziri hana mamlaka hayo wala hatakiwi kutumia polisi hivyo, ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na matumizi mabaya ya madaraka.
ARDHI NI WIZARA INAYOFUATIA KWA UGUMU BAADA YA MALI ASILI NA UTALII. UKITAKA UFUATE KILA KITU KISHERIA KWENYE WIZARA HII, UNAONDOKA WEWE WAZIRI HALAFU UNAWAACHA WAVAMIZI WA ARDHI WANAENEDLEA NA MAMBO YAO. WAKATI MWINGINE INABIDI KUTUMIA COMMON SENSE TU NA SI LAZIIMA IWE SHERIAHata kama kweli angekuwa mvamizi wa ardhi unafahamu kwamba waziri hana mamlaka ya kuamrisha polisi kumkamata mtu??
Hapo kwenye hilo tukio common sense iko wapi??ARDHI NI WIZARA INAYOFUATIA KWA UGUMU BAADA YA MALI ASILI NA UTALII. UKITAKA UFUATE KILA KITU KISHERIA KWENYE WIZARA HII, UNAONDOKA WEWE WAZIRI HALAFU UNAWAACHA WAVAMIZI WA ARDHI WANAENEDLEA NA MAMBO YAO. WAKATI MWINGINE INABIDI KUTUMIA COMMON SENSE TU NA SI LAZIIMA IWE SHERIA