Msumari wa inchi 12 umewapasua vichwa wabunge kwishnei,hawana hoja wamegeuka magalasa,kwani yule dodoki alipokuja na tambo za kodi za solidarity, hakujua kumbe ameingia choo cha kike.Mkuu angalia saini za mama kwenye sheria ZAO
Kuwalima Kodi hawa lazima waidhinishwe kimaandishi hakunajinsi...
CCM gang hapa hutawaona. Watakimbiana kqa sababu hayo makombo ya wabunge ndimo wanadowea dowea kupata Bando la kuja kutukana huku.Huyuu kijanaaa ameongeaa maneno makubwaa mazurii Sana sanaaa
Wakati muafaka mama Samia mkafanye marekebisho ya sheria za bunge Kodi ZIKATWE. Huwezii piga keleele bungeni MAKATO ya tozoo hukuu mnaiibia serikali kwa kutolipa Kodi...
Ngoja tusikie wanasemaje😅😅Msumari wa inchi 12 umewapasua vichwa wabunge kwishnei,hawana hoja wamegeuka magalasa,kwani yule dodoki alipokuja na tambo za kodi za solidarity, hakujua kumbe ameingia choo cha kike...
Na rais pia alipe kodi ndio maana tunataka katiba mpyaNamuunga mkono Mh.Mbunge wangu......
It's a waking up call..
Kwa formula ya kodi hata wakiongezewa ndiyo watalipa kodi kubwa zaidi. Walipe tu ili tuchangie sote maendeleo ya nchi yetu, huo ndio uzalendo wa kweli.Wataomba waongezewe mshahara ndio waanze kukatwa
Mkuu Roving Kongore, japo kuwa mimi ni CCM lakini haya maneno ya J Slaa ni mbolea/madini. Ni aina ya wabunge tunaowatataka.Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi...
Kwanini asiyasemee mjengoni hayaMbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi...
wapunguziwe siyo kukatwaMbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi...
Akina Zitto walishasema sn pamoja na Kingu kuwa posho ziondolewe wabaki na per diem pekeeMkuu Roving Kongore, japo kuwa mimi ni CCM lakini haya maneno ya J Slaa ni mbolea/madini. Ni aina ya wabunge tunaowatataka.
Mkuu hata mimi nashanga sana ni kwa nini wanaongoza njia wanalipwa fedha ya kufulu and then hawalipi kodi, unajua hii inachekesha sana, anyway under CCM kiongozi ni above the the law.Akina Zitto walishasema sn pamoja na Kingu kuwa posho ziondolewe wabaki na per diem pekee
Hawezi huyo!Akaliongelee bungeni sasa.
Bendera fuata upepo katika ubora wako.Namuunga mkono Mh.Mbunge wangu......
It's a waking up call..
Kama ilishindikana kipindi cha awamu ya tano, haiwezekani katika awamu hii.Kwani walikuwa hawalipi kodi?
Na kwanini walikuwa hawalipi?
Serikali kama mwajili na mlipaji Mkuu wa mishahara ya Watumishi ione busara kuanza kutoza kodi kila inayemlipa ili kuondoa matabaka na kukuza uzalendo kwa wengine kulipa kodi.
Mitano tena 2025.Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi...