Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

kilichojadiliwa bungeni ni IGA, bunge kazi yake nikujadili IGA na kutoa baraka au HGA kabla haijasainiwa?.

IGA imejadiliwa, Bunge limeipa siku ngapi serikali kuleta HGA ambayo haijasainiwa ijadiliwe na kuidhinishwa baada ya bunge, kamati zake na wanasheria kujadili?

Jerry kulihadili hili suala kwa maana ya kuwatoa wasiwasi raia inahitajika nondo za maana na sio blah blah za kama kwenye kampeni za ubunge.
 
Afunge mdomo awe na adabu
 
Nilitegemea atasema hivo, jibuni hoja mkataba ni wa mda gani?
Mkataba upi unaouongelea, wakati hakuna mkataba wa kuendesha bandari. Kuna makubaliano ya IGA, unafahamu IGA ni nini?
 
Makubaliano ya kijinga yenye vipengele vya kijinga ndio vitakuwa msingi wa kutengeneza mikataba waache ujinga hawa wabunge

Mikataba ita base kwenye makubaliano yaliyoidhinishwa na bunge

Wasidhani watanzania wajinga kama wao

Unapitisha makubaliano ya kijinga kama bunge halafu unakuja na utoto kuwa ohh mikataba yaweza tengenezwa kinyume na makubaliano yaliyoidhinishwa na bunge
huyu mbunge hopeless kama bunge lenyewe lilivyo hopeless kuidhinisha hayo makubaliano yenye vipengele hopeless halafu wanatulisha matango pori kuwa ohh itangenezwa mikataba ambayo yaweza kuwa sio sawa na makubaliano yaliyoidhinishwa na bunge

Wasitutanie wananchi

Huyu mbunge mjinga kabisa
 
Watu wanapinga mkataba mbovu na sio uwekezaji jua hilo
 
unapozungumzia ufanisi mdogo ndio sababu ya kubinafsisha bandari ni kuitukana Serikali tu..

Serikali imeshindwaje kuifanya bandari kuwa na ufanisi? tuna mabosi wa bandari, mawaziri husika na Rais kama mamlaka ya uteuzi, wote hawa wameshindwa kuisimamia bandari?
 
"Kwenye mkutano wa hadhara, hata kichaa akikaa kimya huonekana ni mtu mwenye busara na hekima kubwa"
 
Pamoja na kuwa sipingi Maamuzi ya Mama yetu Samiha ila siungi mkono majitu toka ndani ya bunge la Tulia atete hili swala kwa kuwa yote yale hayakuingia bungeni kihalali na always yako kule kujaza mitumbo yao tu,
Huyu Jerry ni mshirika wa ubadirifu akiwa Meya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…