Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

Mkataba bado haujasainiwa, kilichosainiwa nai makubalianao kwa ajili ya kuja kutengeneza mikataba hapo baadaye. Huwezi ukaweka ukomo wa muda kwenye makubaliano, kwa sababu kila mkataba utakuwa unakuwa na timeframe yake
Halafu hiyo time flame na namna ya ku-renew vinakuwa siri sirin. Si umemsikia hapo alivyojibu kwamba hata kura ni siri na kila jambo na mambo yake, Sisi wananchi kama hakuna kujua mwisho na hakuna kuhoji mpaka ukafungue kesi ulaya. Hapo bado kunishawishi
 
Mkataba bado haujasainiwa, kilichosainiwa nai makubalianao kwa ajili ya kuja kutengeneza mikataba hapo baadaye. Huwezi ukaweka ukomo wa muda kwenye makubaliano, kwa sababu kila mkataba utakuwa unakuwa na timeframe yake
Ume quote bibilia au katiba???au umejisikia tuu kupost???
 
Mkataba bado haujasainiwa, kilichosainiwa nai makubalianao kwa ajili ya kuja kutengeneza mikataba hapo baadaye. Huwezi ukaweka ukomo wa muda kwenye makubaliano, kwa sababu kila mkataba utakuwa unakuwa na timeframe yake
Jamani spika alisha toa ufafanuzi bungeni kuwa,kwa mujibu wakanuni za bunge wao wanachopaswa kujadiri na kupitisha ni mikataba,naakakazia serikali wanachopaswa kuwapelekea ni mkataba nasio makubariano,naakamaliza kwa kusema kwahiyo tulionao hapa nimkataba.
 
 
Acheni kumpa sifa za bure mbona karudia yaleyale aache kutafuta Kiki atafute namba nyingine ya kujikomba kama anataka teuzi

Ufanisi hakuna mtanganyika anayekataa issue kubwa IPO kwenye vipengele vya kinyonyaji mbona hajavizungumzia?

Hakuna jipya hapo😕
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

HIVYO ALIVYOELEZA HAPO VILISHAELEZWA NA TUNAVIJUA AJIBU HOJA HIZI👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…