Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hakuna mwenye kwao pale Ata wayahudi ni wavamizi tena wazoefu
Ndio maana vita ilikuwa kali ,ni ngumu kwa wenyeji wenye akili timamu kukubali madai ya mtu alietoka mbali akidai eti nchi hii nimepewa na Mungu kwa hiyo ni yangu, wakati nyinyi ndio mmeijenga ile nchi , ni ngumu sanaaaaNi kweli kabisa ni Wavamizi ila walipewa baraka na Mungu wakitokea Utumwani Misri
The biggest mistake the Israelites did was to let live some of the occupants of that Land ( Philistines)
The decision was contrary to God's who categorically instructed them to wipe out all Them
The israelites are now paying the price
Wewe ndio unajua binadamu wenzako wa kukaa motoni je wewe utakuwa wapi ukifa usifurahie vifo vya wenzako mpuuzi weweLipumba hela aliyopewa kuihujumu CUF imeisha hivi sasa analialia tu wamwongezee,na aliyemuingiza chaka hivi sasa yuko motoni
[emoji28][emoji28][emoji28]Atakuwemo humu bila shaka?
Usihame MADA unafeli jikite kwenye madaIsrael sio taifa teule tena tangu walipomkataa Yesu. Ni wapagani na makafiri kama walivyo wengine tu. Anayewapatia hizo nguvu za kimabavu sio Yehova bali ni ibilisi yule baba wa uongo. Israeli ya kweli ya sasa ni wafuasi wa Kristo wanaomfuata mwana kondoo kila aendako. Haleluya
walikuwa wanagawaniana hela za hazina pale magomeni NMB, wakimwacha Maalimu anahangaika na mikesi mahakamani - huyu mzee huyu si wa kawaida.Lipumba hela aliyopewa kuihujumu CUF imeisha hivi sasa analialia tu wamwongezee,na aliyemuingiza chaka hivi sasa yuko motoni
Yeyote atakaye kujua ugomvi wa hawa watu, lazima achimbe historia kutoka kwa Ibrahimu (Abraham) na kizazi chake chote kilichofuata mpaka kwa Yakobo na Essau...
Ni maswala ya ugomvi wa urithi. Na ugomvi huo hakuna awezaye kuuamua isipokuwa ni Mungu mwenyewe kwa wakati wake aliopanga mwenyewe...
Na kizuri kingine ni kuwa Taifa la Israeli na ardhi yake ndilo lenye haki zote 100% na eneo hilo wanalolitaka Wapalestina...
Mkono na nguvu ya ulinzi wa Mungu Yehova iko juu ya taifa lake teule. Chokochoko wanazofanyiwa wana wa Israel na taifa lao ni za kawaida kwa shetani kwa sababu ni kawaida yake kumpinga Mungu Yehova. Kamwe hawezi kuacha kumchokoza na kumchokonoa Mungu Yehova mpaka wakati wake utakapofika wa kufungwa milele...
Pamoja na yote haya, ukweli ni huu, hakuna wa kuweza kuwapiga hao akawaua wote na kisha kuwanyang'anya ardhi yao na kuishi hapo. Hayupo...!!
Israel limekuwa ni taifa ambalo mara zote limekuwa linawindwa sana ili ikiwezekana lifutwe kabisa duniani na kukiteketeza kizazi chote, lakini hakuna aliyewahi kufanikiwa na hakuna wa kufanikiwa leo, kesho na hata milele...
Mara nyingi ambacho hufanikiwa huwa ni kuwandoa kwa muda ktk ardhi yao na kukaa utumwani ktk nchi za watu wengine wakiteswa na kutumikishwa sana kama watumwa kama vile walivyochukuliwa utumwani Misri na kuishi huko kwa miaka 430, Babeli (Iraki ya leo) nk nk
Majaribio mengi pia yamefanyika kwa lengo la kukifuta kizazi cha Wayahudi (Waisrael) lakini nalo halijawaji kuwezekana pia na halitawezekana...
Kumbukeni nyakati zile za WWI & II. Shetani alijegeuza sura na kuwa binadamu wakiongozwa na Adolf Hitler akiwa na agenda kuu kukifuta kizazi cha wayahudi popote walipo duniani. HAKUWEZA...!!
Unaweza kuwaua wote, lakini ukibakisha wawili au watatu watazaana tena kwa wingi na kwa kasi ya ajabu sana na kuwa na nguvu isiyo ya kawaida tena na tena...
Hao (Israel/Waisrael) waacheni hivyo hivyo. Hilo ni taifa teule la Mungu na ndiko alikotokea Yesu Kristo .... Yeye (Yesu Kristo) ni wa ukoo huo pia...
Ukitaka kuishi na kubarikiwa, jiungamanishe na Israel. Ukitaka kufa kifo cha milele na kuishi maisha ya laana, jaribu kumshambulia na kulitakia mabaya taifa hilo na watu wake. Huko ni kugusa mboni ya jicho la Mungu...!!
Arabs hao walihamia tu na waliwakuta wayahudi na Wasamalia na Makabira mengine ya Waisrael wakiishi hapo Tawala vamizi za Kiislam ndio zilijaza arabs hapo from Arabian Peninsula... and from 1948 hadi 1968 Gaza ilikuwa under Egyptian rules After war Israel akatake over Gaza and Sinai hadi pale walipoingia mkataba wa Amani na Israel. So Gazan ni Egyptian japo Egypt alikataa kuwapa passport watu wa jimbo la Gaza japo niAsili moja na wao..
Westbank na Jerusalem zilikuwa zinatawaliwa na Jordan na Asilimia 70 ya Raia wa Jordan wanasema ni Arabs from Palestina land ambao ni Asili yao niAl masri ambayo ni from Egypt pia... so kuna zaidi ya raia m6 had 7 walikimbia kichapo cha vita na Israel maana Waisrael waliokimbia Ulaya walipokuwa wanarejea Arabs wakaanzisha vita... so uhasama ukaanza Vita wakashinda Israel ila kusingekuwa na vita amani ingetawala hadi leo hii.
So huu upuuzi anaoufanya Iran na kushawishi direct wapalestina kupigana vita na Israel ulishafanywa sana na Arabs Country na mara zote arabs walifail... na wanaendelea tu kufail na kuloose more...
Hiyo land zamani iliitwa Caanan na Mji huru aliohamia Ibrahim Mzee wa Imani babu wa Mataifa Mengi. Mwanae Isaka aliishi akamzaa Esau na Yacob na kisha Watoto watoto wa Yacob aliyeuzwa Misri na kaka zake akawa mtu Mkubwa Katika serikali ya Pharao Misri akawachukua ndugu zake Wote wakahamia Misri wakazaana sana ukaja utawala mpya Yusuph akawa akasahaulika wakawa Watumwa hadi Mungu wao akaamua kuwaokoa kwa Kumtumia Mussa as Mesenja wake so wakatakiwa kurejea Caanan ambapo Mji ulishahamiwa na jamii nyingine za watu haswa Philistines ambao sio hawa Palestines kwa vinasaba wala maumbo wala rangi zao so Miaka ikaenda Israel ikajisimamia ikawa na Tawala nyingi ikajenga miji yake na kuipa majina ambayo hadi leo yapo, Gaza, Samaria,Jerusalem,Nazareth n.k Waroman walizingua kwa kuwanyima haki ya Uraia Wayahudi japo kabira zingine kama Samaria waliendelea kuishi hapo hapo hadi leo hii kumbuka Israel ni Watoto 12 wa Jacob ambao kila jina la Mtoto linarepresent one of the tribe of 12 tribes of Israel na kila tribe lilikuwa na kazi zao utawala walikuwa ni Jews Dini waliwa Dan koo ya Mussa, na nyingineza kama Samaria,Manashe, n.k jina hilo la Palestin land likuja baadae sana na Roman likiwa na Maana yake Ardhi ya Wafilisti. but sio Arabs hawa wa Leo ni Tofauti kabisa..
Watu wanaoisha Katika Mji huo enzi za Watawala wa Kale waliitwa Palestine but if Israel akirejea Utawala wake ardhi inarudia old name yake Caana Na Taifa ni Israel..
Arabs hawana chao pale... na Mistake zao kukataa offer zote za UN na za Israel yenyewe hadi leo hii hawataki... Na Israel ameshasema wazi Arabs watabakia na wao wanakubali na Arabs pia watambue akilini mwao kuwa Israel ipo na itaendelea kuwepo hivyo wakitaka amani na kuishi side by side bila ugomvi Israel inabariki ila wakitaka vita basi sawa wakianzisha watapigana tu mbwai mbwai tu.
EINSTEIN112 wewe hukuwaona hao juu hapo walivyochangia mpaka uone mimi niko nje ya madaUsihame MADA unafeli jikite kwenye mada
Haya mkuu.EINSTEIN112 wewe hukuwaona hao juu hapo walivyochangia mpaka uone mimi niko nje ya mada
Waisraeli wapi unao wazungumzia wewe ?Kwa mda mrefu kumekuwepo na mzozo kati ya wa-Palestina wa- Israel. Wa-Palestina wanadai hapo wa- Israel walipo ni kwao kwa asili.
Swali langu, je madai haya ni sahihi na halali kiasi gani?
Je, wakati wa- Israel wanawekwa hapo wao walikuwa wameenda kutalii wapi?
Duh. So wao waliomuua yeah Kristi kwa majivuno?Yeyote atakaye kujua ugomvi wa hawa watu, lazima achimbe historia kutoka kwa Ibrahimu (Abraham) na kizazi chake chote kilichofuata mpaka kwa Yakobo na Essau...
Ni maswala ya ugomvi wa urithi. Na ugomvi huo hakuna awezaye kuuamua isipokuwa ni Mungu mwenyewe kwa wakati wake aliopanga mwenyewe...
Na kizuri kingine ni kuwa Taifa la Israeli na ardhi yake ndilo lenye haki zote 100% na eneo hilo wanalolitaka Wapalestina...
Mkono na nguvu ya ulinzi wa Mungu Yehova iko juu ya taifa lake teule. Chokochoko wanazofanyiwa wana wa Israel na taifa lao ni za kawaida kwa shetani kwa sababu ni kawaida yake kumpinga Mungu Yehova. Kamwe hawezi kuacha kumchokoza na kumchokonoa Mungu Yehova mpaka wakati wake utakapofika wa kufungwa milele...
Pamoja na yote haya, ukweli ni huu, hakuna wa kuweza kuwapiga hao akawaua wote na kisha kuwanyang'anya ardhi yao na kuishi hapo. Hayupo...!!
Israel limekuwa ni taifa ambalo mara zote limekuwa linawindwa sana ili ikiwezekana lifutwe kabisa duniani na kukiteketeza kizazi chote, lakini hakuna aliyewahi kufanikiwa na hakuna wa kufanikiwa leo, kesho na hata milele...
Mara nyingi ambacho hufanikiwa huwa ni kuwandoa kwa muda ktk ardhi yao na kukaa utumwani ktk nchi za watu wengine wakiteswa na kutumikishwa sana kama watumwa kama vile walivyochukuliwa utumwani Misri na kuishi huko kwa miaka 430, Babeli (Iraki ya leo) nk nk
Majaribio mengi pia yamefanyika kwa lengo la kukifuta kizazi cha Wayahudi (Waisrael) lakini nalo halijawaji kuwezekana pia na halitawezekana...
Kumbukeni nyakati zile za WWI & II. Shetani alijegeuza sura na kuwa binadamu wakiongozwa na Adolf Hitler akiwa na agenda kuu kukifuta kizazi cha wayahudi popote walipo duniani. HAKUWEZA...!!
Unaweza kuwaua wote, lakini ukibakisha wawili au watatu watazaana tena kwa wingi na kwa kasi ya ajabu sana na kuwa na nguvu isiyo ya kawaida tena na tena...
Hao (Israel/Waisrael) waacheni hivyo hivyo. Hilo ni taifa teule la Mungu na ndiko alikotokea Yesu Kristo .... Yeye (Yesu Kristo) ni wa ukoo huo pia...
Ukitaka kuishi na kubarikiwa, jiungamanishe na Israel. Ukitaka kufa kifo cha milele na kuishi maisha ya laana, jaribu kumshambulia na kulitakia mabaya taifa hilo na watu wake. Huko ni kugusa mboni ya jicho la Mungu...!!
Unaijua saudia wewe kuhusu swala la uchumi? Wanaishi vibaya ? Hii miujiza!umeongea ukweli wa mungu mtupu Taifa lolote likiichukia israel utakuta lina uchumi mbaya, haliwiki ktk mashindano ya Olyimpic, halichezi world cup na hata hapa africa utakuta ligi ya kuingia world cup inawapa ugumu. tazama mataifa yaliolinda na kujenga urafiki na wajukuu wa Rebeca yaani israel, Ulaya magharibi , kenya, Marekani na misri yalivyo nona kiuchumi na Riadha /soka. Tazama mataifa yaliochukia Israel yasivyojua kutumia pesa, Saudi Arabia, Libya, Sudan kaskazini,somalia na Mali. mungua katika mwanzo hakuongopa kuhusu laana ya mchukia Israel!
Maswali mazuri mkuu!Ila mi huwa nafikiri tofauti kidogo wakuu. Hivi mungu aliamuaje viumbe wake wengine (wafilist) wauawe na waisrael? Ila waisrael wakafanya fair kuto_wipe out wafilist. Na leo ndo wasumbufu?
He mungu ana upendeleo?
Kwanini awapendelee?
Wakristo wanamwamini yesu Kama mwokozi lakini nilichokijua Jana kumbe yeah aliuawa na waisrael?
Ni ajabu kwangu (sijui wengine?) Mtu aliekuulia mwokozi wako bado unampenda eti Ni mteule
Yeyote atakaye kujua ugomvi wa hawa watu, lazima achimbe historia kutoka kwa Ibrahimu (Abraham) na kizazi chake chote kilichofuata mpaka kwa Yakobo na Essau...
Ni maswala ya ugomvi wa urithi. Na ugomvi huo hakuna awezaye kuuamua isipokuwa ni Mungu mwenyewe kwa wakati wake aliopanga mwenyewe...
Na kizuri kingine ni kuwa Taifa la Israeli na ardhi yake ndilo lenye haki zote 100% na eneo hilo wanalolitaka Wapalestina...
Mkono na nguvu ya ulinzi wa Mungu Yehova iko juu ya taifa lake teule. Chokochoko wanazofanyiwa wana wa Israel na taifa lao ni za kawaida kwa shetani kwa sababu ni kawaida yake kumpinga Mungu Yehova. Kamwe hawezi kuacha kumchokoza na kumchokonoa Mungu Yehova mpaka wakati wake utakapofika wa kufungwa milele...
Pamoja na yote haya, ukweli ni huu, hakuna wa kuweza kuwapiga hao akawaua wote na kisha kuwanyang'anya ardhi yao na kuishi hapo. Hayupo...!!
Israel limekuwa ni taifa ambalo mara zote limekuwa linawindwa sana ili ikiwezekana lifutwe kabisa duniani na kukiteketeza kizazi chote, lakini hakuna aliyewahi kufanikiwa na hakuna wa kufanikiwa leo, kesho na hata milele...
Mara nyingi ambacho hufanikiwa huwa ni kuwandoa kwa muda ktk ardhi yao na kukaa utumwani ktk nchi za watu wengine wakiteswa na kutumikishwa sana kama watumwa kama vile walivyochukuliwa utumwani Misri na kuishi huko kwa miaka 430, Babeli (Iraki ya leo) nk nk
Majaribio mengi pia yamefanyika kwa lengo la kukifuta kizazi cha Wayahudi (Waisrael) lakini nalo halijawaji kuwezekana pia na halitawezekana...
Kumbukeni nyakati zile za WWI & II. Shetani alijegeuza sura na kuwa binadamu wakiongozwa na Adolf Hitler akiwa na agenda kuu kukifuta kizazi cha wayahudi popote walipo duniani. HAKUWEZA...!!
Unaweza kuwaua wote, lakini ukibakisha wawili au watatu watazaana tena kwa wingi na kwa kasi ya ajabu sana na kuwa na nguvu isiyo ya kawaida tena na tena...
Hao (Israel/Waisrael) waacheni hivyo hivyo. Hilo ni taifa teule la Mungu na ndiko alikotokea Yesu Kristo .... Yeye (Yesu Kristo) ni wa ukoo huo pia...
Ukitaka kuishi na kubarikiwa, jiungamanishe na Israel. Ukitaka kufa kifo cha milele na kuishi maisha ya laana, jaribu kumshambulia na kulitakia mabaya taifa hilo na watu wake. Huko ni kugusa mboni ya jicho la Mungu...!!
Silly, rude and absolutely rubbish..Yeyote atakaye kujua ugomvi wa hawa watu, lazima achimbe historia kutoka kwa Ibrahimu (Abraham) na kizazi chake chote kilichofuata mpaka kwa Yakobo na Essau...

Sawa kabisa...1948 baada ya mwingereza kuondoka palestina, kipande cha gaza kilichukuliwa na Misri na west bank kilichukuliwa na Jordan. Misri na Jordan walikali ardhi hizo kwa miaka 19 wakilima na kupanua himaya yao. Maajabu hawakuthubutu kuwapa wapalestina ardhi hizo wakijua fika hakuna mpalestina mwenye haki ya kumil;iki ardhi ile. Baada ya kushindwa vita vya six day war 1967 gaza ilitekwa na israel na vile vile west bank ikachukuliwa na wanajeshi wa israel. hapo ndipo kukazaliwa PLO na nchi zote za kiarabu wakanza kudai uhuru wa palestina na Gaza na west bank eti ya mpalestina ! sasas mbona misri na Jordan hawakuwapa ardhi ya Gaza na west bank wapalestina wakati mwingereza anaondoka palestina mwaka 1948?