Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

..naona unamwandama sana.

Mpwayungu Village ana hoja nzito sana kwa waalimu, tatizo ni uwasilishaji.

Walimu wengi mnatatizo ambslo mnalirithi na halimjui
Na wewe una support walimu Wana tatizo, serious?
Walimu hawana tatizo lolote, walimu wamesahaulika na mfumo,wa kulaumiwa hapa labda ni serikali yetu inayowapa salary ndogo....lakini Kwa Nini walimu tu ndio waonekane wanalipwa kidogo na ikiwa police,manesi,mahakimu wote wanalipwa almost the same,tatizo walimu hawana mianya ya kutengeneza kipato Cha ziada kama wenzao ambacho ni RUSHWA...
 
Ukiona Taifa ambalo watu wanataka wakafanye kazi zenye fursa ya rushwa, hilo Taifa haliwezi kabisa kuendelea!
 
Walimu ni watu muhimu.
Tatizo lao wameruhusu njaa ifanye haya:
1. Njaa imewagawa...hawawezi kudai haki psmoja.

2. Njaa iwatumie...wanaiba kura, katika hili siwezi kuwasamehe.


Wangeungana wasingedharaulika na wangelipwa vizuri.

Umewahi kusikia mgomo wa waalimu uliofanikiwa?

Wakiongezwa tu 20k kwa salary wanamvalia Rais tsheti za shukrani kama vile zawadi kumbe ni haki yao.

Walimu nchi hii safari ni ndefu na hawafiko leo
 
Bora hata nimemwona kwa sura
 
Huwezi jua Siri za biashara,hakuna mfanyabiashara anakwambia faida yake kiukweli, always their like""biashara ngumu sana hii,Haina faida"Cha kushangaza haichi,anajenga,anasomesha,ananunua magari so akili mtu wangu
 
Stori za vijiweni hizi.

Nyuma ya utajiri wa mtu kuna siri nyingi ambazo huwa kamwe hawazisemi sehemu yoyote.
We baki kuona tunl watu wanatajirika.

Diamond ni Tajiri kwa sasa. Ni mwanamziki.

Nataka nikuulize na niwaulize nyie wana JFs

Naomba wajitokeze majina 20 humu ambao wameshawahi kununua mziki wa Diamond au Kuingia kwenye Show ambayo anafanya mara moja kwa mwaka au anaweza kabisa asifanye.

Then tukae kimya kila mtu azisake kwa mbinu zake.
Acheni kulalia milango ya watu wazi😅
 


Kwa mfano wa diamond. Watu karibu wote humu tumewai mchangia hela kwa kununua mziki wake bila sisi kujijua kama tunanua hizo nyimbo.

Diamond anakusanya hela nyingi sana kwenye digital platforms kama youtube, boom play etc.

Mimi ama wewe tukidownload wimbo wa diamond kwenye hizo digital ama tukisikiliza hizo nyimbo hapo ndipo tunakuwa tumemchangia diamond hela. Maana analipwa mapato kutokana na idadi yetu tuliosikiliza nyimbo zake
 
Sasa kama ni per year, hio ni hela ndogo sana, it means ni usd 3500 approximately kwa mwezi. Kama anaishi marekani, huyu mtu ni maskini. Pesa ndogo sana hio.


Ukiangalia takwimu latest kutoka vyanzo vingi kuhusu mishahara mfano ya walimu USA haipo hata top 10.

Saudi Arabia inaipiku mbali tu.
 
🤣 Hahahah hio kweli ndagu kmmmk. Unaambiwa mapenzi hayachagu,tawala, fukara, dini, kabila, desturi, mila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…