Air hostess aishi US Kwa lipi?Kwani QA haiendi states..? QA haina wafanyakazi wanaoishi states..?
Mbona unauliza maswali mepesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Air hostess aishi US Kwa lipi?Kwani QA haiendi states..? QA haina wafanyakazi wanaoishi states..?
Mbona unauliza maswali mepesi
Tuanzie hapaAir hostess Gani anaelipwa Dola 3000
Na wewe una support walimu Wana tatizo, serious?..naona unamwandama sana.
Mpwayungu Village ana hoja nzito sana kwa waalimu, tatizo ni uwasilishaji.
Walimu wengi mnatatizo ambslo mnalirithi na halimjui
Ukiona Taifa ambalo watu wanataka wakafanye kazi zenye fursa ya rushwa, hilo Taifa haliwezi kabisa kuendelea!Na wewe una support walimu Wana tatizo, serious?
Walimu hawana tatizo lolote, walimu wamesahaulika na mfumo,wa kulaumiwa hapa labda ni serikali yetu inayowapa salary ndogo....lakini Kwa Nini walimu tu ndio waonekane wanalipwa kidogo na ikiwa police,manesi,mahakimu wote wanalipwa almost the same,tatizo walimu hawana mianya ya kutengeneza kipato Cha ziada kama wenzao ambacho ni RUSHWA...
Walimu ni watu muhimu.Na wewe una support walimu Wana tatizo, serious?
Walimu hawana tatizo lolote, walimu wamesahaulika na mfumo,wa kulaumiwa hapa labda ni serikali yetu inayowapa salary ndogo....lakini Kwa Nini walimu tu ndio waonekane wanalipwa kidogo na ikiwa police,manesi,mahakimu wote wanalipwa almost the same,tatizo walimu hawana mianya ya kutengeneza kipato Cha ziada kama wenzao ambacho ni RUSHWA...
Nashangaa hilo??, kazi za kuvuka border unafikili wanapewa pesa za mbuzi kama walimu??, Kuna mataifa hiyo pesa inalipwa unskilled laborer
🤣🤣🤣Kuna role model wengine kuwatumia inaleta ukakasi Kwa vizazi vichangaSema dogo unabugi kumtumia Jesca kama mfano. Jesca ni dalali, danga wa wapopo.
Bora hata nimemwona kwa suraFikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Huwezi jua Siri za biashara,hakuna mfanyabiashara anakwambia faida yake kiukweli, always their like""biashara ngumu sana hii,Haina faida"Cha kushangaza haichi,anajenga,anasomesha,ananunua magari so akili mtu wanguHayo ni maneno ya kufikirika!! Ni wafanya biashara wangapi TZ wanaingiza 1M kwa siku? Ingekuwa ni hivyo makusanyo ya TRA kwa mwezi yangekuwa ni matrilioni maana wafanya biashara TZ ni wengi sana kuliko wafanyakazi!! Biashara ni ngumu sana!! Unakuta mtu amejaza duka lakini kimahesabu faida halisi kwa siku ni pesa kidogo sana!! Profit margin kwenye biashara halali ni ndogo sana!! Usiangalie mauzo, angalia net profit!! Ukiona wafanyabiashara wanavutana na TRA ni ushahidi tosha kuwa faida ni ndogo sana!!.
Stori za vijiweni hizi.Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.
Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.
Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.
Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.
View attachment 2708851
Tatizo ni kubwa aiseeUkiona Taifa ambalo watu wanataka wakafanye kazi zenye fursa ya rushwa, hilo Taifa haliwezi kabisa kuendelea!
Stori za vijiweni hizi.
Nyuma yanutajiri wa mtu kuna siri nyingi ambazo huwa kamwe hawazisemi sehemu yoyote.
We baki kuona tunwatu wanatajirika.
Diamondi ni Tajiri kwa sasa. Ni mwanamziki.
Nataka nikuulize na niwaulize nyie wana JFs
Naomba wajitokeze majina 20 humu ambao wameshawahi kununua mziki wa Diamond au Kuingia kwenye Show ambayo anafanya mara moja kwa mwaka au anaweza kabisa asifanye.
Then tukae kimya kila mtu azisake kwa mbinu zake.
Acheni kulalia milango ya watu wazi😅
Sasa kama ni per year, hio ni hela ndogo sana, it means ni usd 3500 approximately kwa mwezi. Kama anaishi marekani, huyu mtu ni maskini. Pesa ndogo sana hio.
Unapima mishahara mizuri kwenye sector moja..??
Ushafatilia kuona Arabs wanalipaje kwenye kazi nyingine..?
Ulifatilia reasons as why westerners walikuwa hawataki World cup ifanyike Qatar..??
Take your time usome link nakuwekea chini hapa,
Alafu jichange omba Visa katembee, wenzako wakiongelea mambo ya nje na wewe uwe na exposure kidogo.
Mishahara ya kibongo tunaelewa ni laki 8 hadi 1M 🤣!!! Walioko humo ndio wanalipwa vizuri.Kwanza fastjet imlipe air hostess million 6 wanaumwa?ukiwa nje ya aviation industry watu huwa wakiuona zile uniform wanahisi wale watu wanalipwa vizuri,kumbe kiukweli hamna kitu
🤣 Hahahah hio kweli ndagu kmmmk. Unaambiwa mapenzi hayachagu,tawala, fukara, dini, kabila, desturi, mila!Ki ben ten kimekabidhiwa BMW kitembelee faaa masihala nini..alafu jamaa alikuwa mpiga picha wake tu kaulaaa kiulainiiiiii na mtoto kamzalisha na dini kambadilisha jamaa akipita mtaani na BMW yake kila mtu anamuangalia watu wanajiuliza jamaa ametumia ndagu gani [emoji3][emoji3]