Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

..naona unamwandama sana.

Mpwayungu Village ana hoja nzito sana kwa waalimu, tatizo ni uwasilishaji.

Walimu wengi mnatatizo ambslo mnalirithi na halimjui
Na wewe una support walimu Wana tatizo, serious?
Walimu hawana tatizo lolote, walimu wamesahaulika na mfumo,wa kulaumiwa hapa labda ni serikali yetu inayowapa salary ndogo....lakini Kwa Nini walimu tu ndio waonekane wanalipwa kidogo na ikiwa police,manesi,mahakimu wote wanalipwa almost the same,tatizo walimu hawana mianya ya kutengeneza kipato Cha ziada kama wenzao ambacho ni RUSHWA...
 
Ukiona Taifa ambalo watu wanataka wakafanye kazi zenye fursa ya rushwa, hilo Taifa haliwezi kabisa kuendelea!
 
Na wewe una support walimu Wana tatizo, serious?
Walimu hawana tatizo lolote, walimu wamesahaulika na mfumo,wa kulaumiwa hapa labda ni serikali yetu inayowapa salary ndogo....lakini Kwa Nini walimu tu ndio waonekane wanalipwa kidogo na ikiwa police,manesi,mahakimu wote wanalipwa almost the same,tatizo walimu hawana mianya ya kutengeneza kipato Cha ziada kama wenzao ambacho ni RUSHWA...
Walimu ni watu muhimu.
Tatizo lao wameruhusu njaa ifanye haya:
1. Njaa imewagawa...hawawezi kudai haki psmoja.

2. Njaa iwatumie...wanaiba kura, katika hili siwezi kuwasamehe.

Wangeungana wasingedharaulika na wangelipwa vizuri.

Umewahi kusikia mgomo wa waalimu uliofanikiwa?

Wakiongezwa tu 20k kwa salary wanamvalia Rais tsheti za shukrani kama vile zawadi kumbe ni haki yao.

Walimu nchi hii safari ni ndefu na hawafiko leo
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Bora hata nimemwona kwa sura
 
Hayo ni maneno ya kufikirika!! Ni wafanya biashara wangapi TZ wanaingiza 1M kwa siku? Ingekuwa ni hivyo makusanyo ya TRA kwa mwezi yangekuwa ni matrilioni maana wafanya biashara TZ ni wengi sana kuliko wafanyakazi!! Biashara ni ngumu sana!! Unakuta mtu amejaza duka lakini kimahesabu faida halisi kwa siku ni pesa kidogo sana!! Profit margin kwenye biashara halali ni ndogo sana!! Usiangalie mauzo, angalia net profit!! Ukiona wafanyabiashara wanavutana na TRA ni ushahidi tosha kuwa faida ni ndogo sana!!.
Huwezi jua Siri za biashara,hakuna mfanyabiashara anakwambia faida yake kiukweli, always their like""biashara ngumu sana hii,Haina faida"Cha kushangaza haichi,anajenga,anasomesha,ananunua magari so akili mtu wangu
 
Fikiria kazi nzuri ya kuwa mhudumu wa ndege za Fastjet lakini huyu Dada akaona anapoteza muda kwani hatatajirika kwa kuajiriwa ikabidi akafungua glocery akaweka vinywaji hata vya laki tano havifiki.

Baada ya miaka mitano akaanza kukua kibiashara mwisho wa siku bar za kitambaa cheupe zinatikisa Dar nzima.

Inahitaji commitment na dedication kuacha kazi unayolipwa zaidi ya $3000 Kwa mwezi ukaenda kufungua kigrocery ukiwa na ndoto ipo siku itakuwa bar kubwa.

Lakini akili za walimu ukiwaambia vitu kama hivi wanaishia kudondosha udenda tu ila kufanya maamuzi kama haya hawawezi. Walimu mtabaki makapuku mpaka kaburini, mnaona hiyo kazi ni alpha na omega, mimi bora nikaendeshe guta sokoni.

View attachment 2708851
Stori za vijiweni hizi.

Nyuma ya utajiri wa mtu kuna siri nyingi ambazo huwa kamwe hawazisemi sehemu yoyote.
We baki kuona tunl watu wanatajirika.

Diamond ni Tajiri kwa sasa. Ni mwanamziki.

Nataka nikuulize na niwaulize nyie wana JFs

Naomba wajitokeze majina 20 humu ambao wameshawahi kununua mziki wa Diamond au Kuingia kwenye Show ambayo anafanya mara moja kwa mwaka au anaweza kabisa asifanye.

Then tukae kimya kila mtu azisake kwa mbinu zake.
Acheni kulalia milango ya watu wazi😅
 
Stori za vijiweni hizi.

Nyuma yanutajiri wa mtu kuna siri nyingi ambazo huwa kamwe hawazisemi sehemu yoyote.
We baki kuona tunwatu wanatajirika.

Diamondi ni Tajiri kwa sasa. Ni mwanamziki.

Nataka nikuulize na niwaulize nyie wana JFs

Naomba wajitokeze majina 20 humu ambao wameshawahi kununua mziki wa Diamond au Kuingia kwenye Show ambayo anafanya mara moja kwa mwaka au anaweza kabisa asifanye.

Then tukae kimya kila mtu azisake kwa mbinu zake.
Acheni kulalia milango ya watu wazi😅

Kwa mfano wa diamond. Watu karibu wote humu tumewai mchangia hela kwa kununua mziki wake bila sisi kujijua kama tunanua hizo nyimbo.

Diamond anakusanya hela nyingi sana kwenye digital platforms kama youtube, boom play etc.

Mimi ama wewe tukidownload wimbo wa diamond kwenye hizo digital ama tukisikiliza hizo nyimbo hapo ndipo tunakuwa tumemchangia diamond hela. Maana analipwa mapato kutokana na idadi yetu tuliosikiliza nyimbo zake
 
Sasa kama ni per year, hio ni hela ndogo sana, it means ni usd 3500 approximately kwa mwezi. Kama anaishi marekani, huyu mtu ni maskini. Pesa ndogo sana hio.

Unapima mishahara mizuri kwenye sector moja..??
Ushafatilia kuona Arabs wanalipaje kwenye kazi nyingine..?
Ulifatilia reasons as why westerners walikuwa hawataki World cup ifanyike Qatar..??
Take your time usome link nakuwekea chini hapa,
Alafu jichange omba Visa katembee, wenzako wakiongelea mambo ya nje na wewe uwe na exposure kidogo.

Ukiangalia takwimu latest kutoka vyanzo vingi kuhusu mishahara mfano ya walimu USA haipo hata top 10.

Saudi Arabia inaipiku mbali tu.
 
Ki ben ten kimekabidhiwa BMW kitembelee faaa masihala nini..alafu jamaa alikuwa mpiga picha wake tu kaulaaa kiulainiiiiii na mtoto kamzalisha na dini kambadilisha jamaa akipita mtaani na BMW yake kila mtu anamuangalia watu wanajiuliza jamaa ametumia ndagu gani [emoji3][emoji3]
🤣 Hahahah hio kweli ndagu kmmmk. Unaambiwa mapenzi hayachagu,tawala, fukara, dini, kabila, desturi, mila!
 
Back
Top Bottom