Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

99%. Hata kama ni Tigo pesa ujue kuna mwanaume. Awe wake au hata kwa kuuza nyapu.

Hata kwenye vyeo ni hivyo hivyo awe amesoma au hajasoma.

Wahenga tunaelewana

100% mkuu , ila mwenyewe atakwambia nimepambana nimejibana bana mpaka nikapata ila 100% ameboostiwa na njemba....wanawake fedha zao wanainvest kwenye mionekano/urembo na si kuwekeza kwenye mitaji/biashara ,ukiona ameanzisha biashara maana yake njemba imefanya yake ,huo ndiyo ukweli tusipepese macho.
 
Mimi na wewe tunaujua ukweli huu kwa sanani ni wahongaji wazuri.

Pia mimekuwa na michepuko kadhaa naona mambo yao.

Twaweza sema nearly 100%
 
Mzee aliukataa unafiki kabisa. Akawaeleza ukweli. Huyo ni mtu mzuri mno.
 
 
Hapa tunaongelea walimu sio polisi Wala nurse, kwanini mnapenda kuingiza kada ambazo hazipo kwenye mada.

We Dada angu bhnaa unanipinga tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena nakuheshimu kama unavyoniheshimu ila hapa Kwa walimu hapana......
Nawaingiza police na wafanyakazi. wa kada tofauti tofauti Toka serikali I maana mishahara Yao tofauti ni ndogo sana,ila mwalimu anaoneka takataka Kwa vile Hana njia nyingine ya kujipatia kipato,kada nyingine wanaweza kupata vimchongo akala Rushwa mambi yakasonga,mwalimu zake chaki na watoto.....Ipigieni kelele serikali sio walimu
 

Sasa wote wakiacha kazi ya uwalimu, nani atafundishaa. Lkn lingine kuwa na ufanisi wa kifedha, haimaanishi ndiyo kuwa na ufanisi wakimaisha. Kuna mambo mengi yanahusika.
 
Usijali Dada angu nimekuelewa [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Air hostess aishi US Kwa lipi?

Nyie bwana wadogo exposure hamna ila mnaongoza kwa ubishi. Mimi nimeishi Doha Qatar na nimefanya kazi States for more than 30 years. Here is the thing, sijui una elimu kiasi gani ila tangu dunia izaliwe haijawahi kutokea tukapima au kufanya mlinganisho wa salary payment between two different countries kwa kutazama kwenye sector moja. Tunatafuta average salary payment kwa kuangalia sector zote. Na sijui hata unabisha nini maana world statistics kwenye labour day ya 2023, States ni wa 4 globally for paying good salary kwa wafanyakazi wake.
 
Weka pichake bila makeup nione
 
Mkuu kumbe we ni mzee?? Kufanya kazi miaka 30 maana ake ulienda huko una miaka 25 hivi. Kwahiyo saizi uko na miaka 55 or above
 

Teacher..., nakuona mzee wa Itel!!!
 
Akili za kuambiwa changanya na zako hawa wanawake wenye mafanikio historia yao huwa CD imescratch sehemu hata alikuwa na sponsor hiyo hata ingiza mtoto mzuri kama huyu uniambie hata laki tano alianza nayo kama mtaji ntabisha hadi Yesu arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…