King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
99%. Hata kama ni Tigo pesa ujue kuna mwanaume. Awe wake au hata kwa kuuza nyapu.
Hata kwenye vyeo ni hivyo hivyo awe amesoma au hajasoma.
Wahenga tunaelewana
100% mkuu , ila mwenyewe atakwambia nimepambana nimejibana bana mpaka nikapata ila 100% ameboostiwa na njemba....wanawake fedha zao wanainvest kwenye mionekano/urembo na si kuwekeza kwenye mitaji/biashara ,ukiona ameanzisha biashara maana yake njemba imefanya yake ,huo ndiyo ukweli tusipepese macho.