Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Kwa hyo alikuwa analipwa dola 3000 takriban milion 6 plus then akafungua biashara ya vinywaji ambayo haifiki laki 5?

Hv ulijifunza kweli LOGIC darasani?
Unafikiri gharama ni kununua vinywaji tu mkuu? Kuna mafriji na mafriza, kulipia frem, ukarabati na pia biashara unaanza kidogo kidogo usiingie mazima
 
Mkuu kitendo tu cha kuwa stable kwenye biashara yake ni ushindi tosha. Haijalishi alipitia mangapi kufika hapo
 
Twendeni taratibu jamani, mtapoteza watu na hizi motivational stories.
Story ya mtu haipo kwenye nilikua pale, nikaacha sasa hivi nipo hapa, story halisi ni ile ambayo yupo tayari ameze kaa la moto kuliko kuisumulia.
Apongwzwe tu kwa pale alipofika, ila kwa sababu ya mafanikio ya huyu, usimbeze yule mwingine kwa pale alipo, labda mpaka uyajue yale yasiyosimuliwa na kusimulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…