Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Analeta masihala huyo.Kama million 7 kwa mwezi ni ndogo acha nishoboke tu mkuu. Wapo watu budget ya kuwalipa ofisi nzima haizidi hio figure. Na wananyonga tai kama kawa.
Kuna ofisi monthly salary invoice hazifiki hata milion 5 na watu wana familia.
Acha awaze anachoamini.