Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Halafu alikuwa na sponsor, sema hongera kwake maana alijiongeza.Katumia pesa za sponsor kuinvest. Baadae kampiga chini sponsor na kaibuka na kiben ten.
Ukiwa sponsor hakikisha unamtumia sly queen as much as possible kabla hajaenda kwa Rika lake na sponsor kurudi kwa mama watoto.
Usije ukamnunulia mchepuko gari, mpe hela ya bolt hata Kama Ni kila siku.
Usije ukamjengea mwanamke wa nje nyumba utakuja kulia. Mkodishie nyumba hata Kama Kodi Ni laki moja.
Mwisho epuka mchepuko mwenye tabia za kiswahili.
 
Hebu nawe na Likud lako hilo kafungue grosare uone kama bia hazitachacha, yeye hata bila kufungua grosare angeweza kutajirika.
 
Umeanza vizuri ila mwishoni umemaliza na ujinga.Haukuwa na sababu ya kuwazungumzia walimu au ajira ya mtu ilitosha kuzungua gatway ya huyo dada
 
Kumbe sponsor huwa haachwi?Ikute sponsor hana nguvu za kiume na bibi kaona anaweza kusimama kwa miguu yake akaamua sasa atafute mtu wa kumsugua vizuri,baada ya mihangaiko ya kila siku katika kusaka noti.
Hilo suala la nguvu si kwa sponsor tu, hata mume wake anaweza kuwa nalo. Halafu suala hili la nguvu za kiume sidhani kama ni real kivile linakuzwa tu mitandaoni.
 
Wewe thubutu kukutwa na mwanamke wa kichaga MREMBO, MWEREVU...utauza figo.
Siku mteja hajafika kwenye biashara anapigiwa simu.

Utasikia, boss wangu sijakuona kwanza uko salama?

Mwusho anamalizia...unajua bila wewe mimi mjini siwezi ishi🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…