mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hivi unaanzaje mwanamume kulalamika kuwa wanaume huwa hawafui boxer zao!! Lini umeziona? Ina maana umeziona mara nyingi mpaka ukafikia hitimisho kuwa kuna ambao hawafui boxer zao!! Mwanamke akilalamika tutamwelewa maana yeye kukutana na boxer za wanaume ni sawa fundi makenika kukutana na magari mabovu!! Lakini kwa mwanamume kukutana na boxer za wanaume wenzake, itakuwa ni shoga huyo!! Huyu hapa Mpwayungu village:
www.jamiiforums.com
Huyu sasa anahitaji maombi!!
Wanaume jitahidini kufua boxer zenu nauwe na boxer zaidi ya moja
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo? Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje...
Huyu sasa anahitaji maombi!!