Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Hivi unaanzaje mwanamume kulalamika kuwa wanaume huwa hawafui boxer zao!! Lini umeziona? Ina maana umeziona mara nyingi mpaka ukafikia hitimisho kuwa kuna ambao hawafui boxer zao!! Mwanamke akilalamika tutamwelewa maana yeye kukutana na boxer za wanaume ni sawa fundi makenika kukutana na magari mabovu!! Lakini kwa mwanamume kukutana na boxer za wanaume wenzake, itakuwa ni shoga huyo!! Huyu hapa Mpwayungu village:

Huyu sasa anahitaji maombi!!
 
$3000 kwa air hostess inawezekana ila kwa Fastjet sijui.

Betty Ajenta air hostess aliyeacha kazi Doha, Qatar na kwenda kufa njaa Shakahola kwa Pastor Mackenzie ilisemekana alikuwa anakunja $41,000/month baada ya miaka 11 kwenye ajira hiyo.
Wewe una kichaa wewe, tatizo mnadanganya alafu hata kenya hapo hamjawahi kufika. Hakuna kampuni inayolipa hio hela kwa air hostess per month. People are working 17 hours per day marekani pale, kazi nzuri na bado kwa mwezi hawafikishi hata USD 12000, sembuse ndo aje kuwa air hostess 🚮😂
 
Ni makosa ya uandishi ni $41,000/year.

Sasa kama ni per year, hio ni hela ndogo sana, it means ni usd 3500 approximately kwa mwezi. Kama anaishi marekani, huyu mtu ni maskini. Pesa ndogo sana hio.
 
Wewe una kichaa wewe, tatizo mnadanganya alafu hata kenya hapo hamjawahi kufika. Hakuna kampuni inayolipa hio hela kwa air hostess per month. People are working 17 hours per day marekani pale, kazi nzuri na bado kwa mwezi hawafikishi hata USD 12000, sembuse ndo aje kuwa air hostess 🚮😂
Ilitakiwa kuwa per year ni makosa ya kiuandishi tu.

Qatar airways mishahara yao kwa cabin crew ina range $2,600-$3,600/month.

BTW:USA haiwezi kuwa kipimo cha nchi inayolipa vizuri duniani.

Angalia mzigo wanaoweka waarabu kwenye soka kwa sasa!
 
Unapima mishahara mizuri kwenye sector moja..??
Ushafatilia kuona Arabs wanalipaje kwenye kazi nyingine..?
Ulifatilia reasons as why westerners walikuwa hawataki World cup ifanyike Qatar..??
Take your time usome link nakuwekea chini hapa,
Alafu jichange omba Visa katembee, wenzako wakiongelea mambo ya nje na wewe uwe na exposure kidogo.

vijana wanapenda maisha ya mserereko anawaza akiajiriwa tu anunue gari, ajenge nyumba na weekend akashinde kidimbwi.
Ndio maana wengi wameishia kuvuliwa ubingwa.
Acheni kuwadharau walimu na kuwatolea maneno ya kejeli. Kama hupendi hiyo kazi achana nayo kaa kimya.
 
Back
Top Bottom