inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
We jamaa umechanjiwa ubishi.
Ukijua kwanini M23 wanapigana solution itakuwa rahisi sana, kwa ufupi ni ukabila wa wacongo na kukataa kuwatambua M23 kama raia na kutaka kuwamaliza wote, hata mimi nisingekubali na zingepigwa mpaka mshindi apatikaneVita ni biashara na uchumi kwa mataifa mengine. Lakini hao M23 kwanini hawadhibitiki, au huo ndio uwanja wa majaribio ya silaha zao?
DRC itakuwa kama Israel na palestina, Sioni ni namna gani watapata suluhu ya kudumu.
Goma ishachukuliwa kitambo na M23, ww unaandika porojo tu hapa🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:
"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa upinzani wa kishujaa wa wapiganaji wetu mashujaa."
Vikosi vyetu havikusimamisha maendeleo ya M23 tu, lakini pia viliweza kuwarudisha. nia ya M23, pamoja na mambo mengine, ilikuwa kuudhibiti mji wa Goma, lakini walipata upinzani mkali kutoka kwa kikosi cha Afrika Kusini kilichowazuia kufika Goma. "
COMMUNICATED ⤵️
View attachment 3214162
Siyo yoteGoma ishachukuliwa kitambo na M23, ww unaandika porojo tu hapa
Uko sahihi kabisa ila POw's ya Bamutu unailewa lakini?🤣🤣🤣🤣PoW ni kawaida vitani
🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:
"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa upinzani wa kishujaa wa wapiganaji wetu mashujaa."
Vikosi vyetu havikusimamisha maendeleo ya M23 tu, lakini pia viliweza kuwarudisha. nia ya M23, pamoja na mambo mengine, ilikuwa kuudhibiti mji wa Goma, lakini walipata upinzani mkali kutoka kwa kikosi cha Afrika Kusini kilichowazuia kufika Goma. "
COMMUNICATED ⤵️
View attachment 3214162
Madai ya M23 yote unayajua?Ukijua kwanini M23 wanapigana solution itakuwa rahisi sana, kwa ufupi ni ukabila wa wacongo na kukataa kuwatambua M23 kama raia na kutaka kuwamaliza wote, hata mimi nisingekubali na zingepigwa mpaka mshindi apatikane
Madai yao ni ya kipuuzi tu!Tutsi community wana haki ya kujilinda
Nasikia fardc wanatembeza kichapo huko goma,wameenda na kichwa cha chigoro ntawirigado, general wa rpf huko m23Uko sahihi kabisa ila POw's ya Bamutu unailewa lakini?🤣🤣🤣🤣
Ukisikia mauza uza basi ndo hayo hakuna cha Pows hapo jiongeze kidogo tu utaelewa
Jeshi la Congo limekimbilia Rwanda uko wamekimbia vitaSiyo yote
JWTZ wapo sake, nyuma ya goma kuelekea kinshasa,kila mtu na chimbo lake na jukumu lake,japo nasikia wana kambi pia gomaMbona JWTZ wasitoe media statement kama hii?
Miakq mitano ijayo jamaa wa SANDF watajibebea maujiko kwamba bila wao..kingenuka
WachacheJeshi la Congo limekimbilia Rwanda uko wamekimbia vita
Sio zile special unit za kutoka Kinshasaa na Lubumbashi kweli? Mana wale kweli wazee wa kazi kuliko hawaNasikia fardc wanatembeza kichapo huko goma,wameenda na kichwa cha chigoro ntawirigado, general wa rpf huko m23
ItakuaSio zile special unit za kutoka Kinshasaa na Lubumbashi kweli? Mana wale kweli wazee wa kazi kuliko hawa
View attachment 3216420
🤣🤣
Wanataka kutambuliwa kama raia wa Congo, haki na usalama wao, hizo za kusema wanataka kujitenga ni uhuni tuu ili kuwamalizaMadai ya M23 yote unayajua?
Kuna jengine umesahau!Wanataka kutambuliwa kama raia wa Congo, haki na usalama wao, hizo za kusema wanataka kujitenga ni uhuni tuu ili kuwamaliza
Mkuu kwani ktk hayo makabila inayosema yapo mengi congo hayapo kwenye serikali? Je hayapo jeshini?Kuna jengine umesahau!
Wanataka wawepo jeshini tena kwenye nyadhifa za juu!
Na wanataka wawepo kwenye serikali nyadhifa za juu!
Congo kuna makabila mengi, kwa nini kabila hili moja ndilo linataka lipewe umuhimu wa namna hiyo?
Umeelewa nilichokiandika?Mkuu kwani ktk hayo makabila inayosema yapo mengi congo hayapo kwenye serikali? Je hayapo jeshini?
Sasa kama watusi wakitambuliwa kuwa ni moja ya kabila ndani ya congo kwanini unadhani hawana haki ya kuwa jeshini wala serikalini?
Hii shida inaanzia hapa ' Ubaguzi'
Unaonekana huelewi, uko biased sana na analysis yako..go educate yourselfUmeelewa nilichokiandika?
Suala si kuwepo jeshini, suala ni kuwa kwenye nafasi za juu jeshini.
Halikadhalika wanataka vivyo hivyo mpaka kwenye madaraka ya kiserikali.
Na ili kuweka rekodi sawa kila wanapopigwa M23 hukimbilia Rwanda au Uganda ila mara nyingi ni Rwanda.
Swali la muhimu: Ikiwa wamo madarakani utiifu wao utakuwa kwa nani?
Na pasipo kujificha PK inafahamika kuwa inawasaidia na mfano mzuri Kikwete aliliweka wazi hili! Kikwete Ni rais mstaafu na bila shaka ana taarifa sahihi zaidi kuliko mimi na wewe.
Ikiwa hii ndiyo hali; mamlaka wanayoyahitaji wakipatiwa utiifu wao utakuwa kwa nani? Utakuwa kwa dola ya Congo au kwa yule bwana (PK) waliyekuwa wakimtumikia?