KIVU ITAJITENGA LABDA MADINI YAKIISHA!!!Laana hii ya Ubaguzi ndio itakuwa chanzo cha kuzaliwa kwa nchi mpya iitwayo Jamhuri ya Watu wa Kivu huko Congo DR.
Wether you like it or not, Ukweli mchungu Sana ni kwamba Kivu lazima itakuja kujitenga na Congo DR na kisha kuzaliwa kwa nchi nyingine itakayokuwa inajitegemea yenyewe. Nchi ya Jamhuri ya Kivu inakuja, ipo njiani inakaribia kuwasili.