Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

Unaonekana huelewi, uko biased sana na analysis yako..go educate yourself
Maneno uliyoyaandika ni kichaka cha wajuaji wanaojivika koti la wanajua!

Kwa kifupi kwa maandishi yako kwa mwenye ufahamu unaonekana mzugaji.

Kama unaona sipo sahihi onyesha. Kama hauna kaa kimya!
 
Kama lengo ni kuwatuliza tu it's better not to engage in the whole issue.
Lengo liwe ni total elimination na kudhibiti eneo zima pawe na amani
Wawafanye kama jwtz kule Kibiti kwa wale magaidi. Husikii tena ujinga.
 
Kuna natafuta yamepeleka askari wao kupigana upande wa congo Kama:- Burundi,south Africa, Tanzania,Kenya,kwahiyo jipe siku 3 mbele, utasikia M23 ana Hali gani, sababu majeshi ya washirika ndo yanaingia site Sasa, yaani kumzuia M23 ni kazi inayo fanywa na washirika,niliowataja hapo juu,halafu jeshi la Kongo na raia vijana wa Kongo wameingia mzuka vibaya mno wameingia Gisenyi ( Rwanda) wametembeza kichapo kitakatifu Hadi Rwanda wamezima internet, yaani ni mchapano hasa huko ndani ya Rwanda pia kati ya wakongo na wanyarwanda
 
Amka usingizini wewe, kumekucha, hizo ni za alinacha. BU, SA, TZ, ML wote wako wanafanya mazungumzo wapewe askari wao ambao wako under M23, kwa taarifa yako baadhi ya hao askari wako kwenye masanduku. Wazung wameshafanya negotiation cap chap wakapewa mamluki wao, Viongozi wa Afrika wanasua sua kwa aibu.
 

Attachments

  • SADC Forces under Guard in Goma.mp4
    4.3 MB
  • Mecenaries.jpg
    79.8 KB · Views: 4
Mwanzishaji wa hii Mada kwanini asiwe professional ajye atueleze kulikoni? Kwa Kichwa cha habari na jinsi alivyo anza angepaswa sasa hivi awe amekuja ku change tamko lake. Nauliza Ndugu @ Mobby_255

Earthmover naye aliingia kwa fujoo lakini sijui kapotelea wapi.
 
Where are you, why are you not updating us πŸ€ͺ 😜😜😜. Unaleta porojo za vijiweni kwenye issue nzito nzito kama hizi
 
Wale ni jeshi kamili linakuwa trained Rwanda na Uganda hata mkiwafurusha Leo watarudi kwenye makambi ya Rwanda na Uganda wanaendelea na mazoezi na wanapatiwa siraha zote za kijeshi Kisha wanarudi tena

Sema congo ni banana republic
 
Mkuu nini kinashindikana elimination ya hawa M23?

Naomba elimu tafadhari
Walishindwa wanakimbili Uganda na Rwanda wanaenda kujiunga upya kijeshi na wale ni wanajeshi kamili wa RDF
 
Walishindwa wanakimbili Uganda na Rwanda wanaenda kujiunga upya kijeshi na wale ni wanajeshi kamili wa RDF
Kwanini wakikimbilia nchi jirani wasiweke gadi hapo mpakani, kuhakikisha hawarudi? au wakawafuata huko huko nchi jirani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…