Jeshi la Guinea-Bissau lachukua madaraka baada ya Uchaguzi wenye utata

Jenerali gani unakuwa chawa wa wanasiasa? Unaiuza nchi yako na wananchi wanauwawa kwa sababu ya kujipendekeza kwako kwa Wanasiasa?
 
Jeshi la Guinea-Bissau limechukua uongozi wa nchi kutoka kwa uongozi wa kiraia baaada ya chama tawala kuharibu taratibu za uchaguzi na kumzuiaa mgombea wa chama kikuu cha upinzani asishiriki uchaguzi.

Uchaguzi ulifanyika Jumapili iliyopita, na wananchi walikuwa wakisubiri matokeo ya kupikwa kwa hasira....,jeshi la nchi yao limeamua kuingilia kati na kumshikilia rais aliyepo madarakani Umaro Sissoko Embolo.

JWTZ walishindwa kuchukua hatua kama hiyo baada ya ccm na mgombea wao kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi toka ule wa serikali za mitaa mwaka jana.
 
JWTZ ni wangese sana. Njia ilkuwa nyeupe wakatuzingua
 
Sie hatuna jeshi boss. Tunawatumishi wa ccm
 


Wanajeshi wakifanya doria katikati ya mji wa Bissau karibu kabisa na Ikulu ya Guinesa Bissau, baada ya mapinduzi yalotokea leo Jumatano tarehe 26 Novemba. Picha na Patrick Meinhardt wa AFP.

Sambamba na aliekuwa raisi bwana Sissoco Embalo kuwekwa chini ya ulinzi, mnadhimu mkuu wa majeshi jenerali Biaguê Na Ntan, na naibu wake jenerali Mamadou Touré, pamoja na waziri wa mambo ya ndani bwana Botché Candé nao pia wamewekwa rumande..
 
Hawa ndo wanajeshi sasa .Sisi wanajeshi wetu njaa ni nyingi na uoga sana wa maisha
 
Hiu huwapa nightmare CCM sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…