Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

US hawezi kumpiga Iran na ICBM, Iran mtoto sana kwa silaha hizo. Hizo zipo kwa ajili ya kina Russia na China na maadui wengine wanaojiweza. Umpige Iran kwa ICBM ili wafe mamilioni kwa kosa lipi?
Hiyo accuracy ya Iran kupiga kambi za US si kitu cha ajabu, Iraq alipiga kambi za US mwaka 1991 kwenye Gulf war kwa missiles zake mwenyewe, tena zile ziliua kabisa achana na hizi za Iran. We ndo unaona kitu cha ajabu leo Iran kushambulia kambi za US.

Kama unahisi US anaogopa vita pale middle east, nitajie eneo gani duniani lina vita zaidi ya lile.
Kwanza Israel ashawachakaza wote, ikaja vita ya Iran-Iraq, ikaja tena Israel, ikaja Guf war, ikaja tena Desert Storm, bado kuna ISIS, Syrian civil war na magaidi wa kutosha. Hapo US bado anabeba mafuta business as usual. Wewe unatoka uko unaamini eti US anaogopa vita pale.
Vita ya Libya ilitokea ulisikia miundombinu ya mafuta imeharibiwa?

Na kwa kuwa inajulikana Iran anataka vita iwe na hasara kiuchumi huyu atapigwa mapema mno, yani hizo boots on ground ulizoona kule Iraq hapa hazitokuwepo maana kuna resistance kubwa na nchi ni kubwa. Ukimmwagia mabomu kwenye miundombinu yake na maghala yake atabaki na wanajeshi tu, watapiga mbizi kuvamia?
Israel tu hapa kila siku inavamia convoy za Iran, unahisi inaambiwa na nani? Kila siku silaha za siri zinazopelekwa Syria zinashambuliwa, wanajuaje? Sasa kama Israel tu inamtesa Iran, US ndo ashindwe?
 
Mkuu hizo F-5 na Saeqeh kwa dunia ya sasa si kama majeneza yanayopaa?

Unadhani zinaweza kuhimili 'dog fight' na ndege kama F-22 au tolea jipya la F-15 na F-16 zinazotumiwa sasa na Israel na Marekani?
F-5 ni fighter ya mwaka 1959 huyu yuko hapa anashangilia nayo. Ndege ambayo US walitengeneza kabla hatujapa Uhuru Iran wako HAWAJAITENGENEZA. Atadai zipo, sasa fighters tisa tu zifanye nini kwenye vita.
 
Sasa si wameiba tech ya mwaka 1959. Ndege ambayo sahivi ukienda US ziko museum na nyingine ziko vyuma chakavu kuyeyusha aluminium. Kuna ajabu gani katika hilo. Kwanza unajua ndege zao ziko ngapi. Na waliuziwa na US.
 
Mungu yalinde Mapinduzi ya Kiislam ya Iran...Hawa ndio watu pekee wanaopinga Global Arrogance inayoongoza na US...........Zidumu fikra za #KhomeiniForAll
 
israel haina uwezo wa kujipima na Iran, waache wapambane na vikundi vidogo vidogo hapo middle East.
 
ISRAEL kamshambulia IRAN lini !?

ISRAEL anamshambulia SYRIA kila siku nakusisitiza Haitakuja Habari IRAN imeshambuliwa Utaambiwa vikosi vya IRAN vilivyopo SYRIA kama ISRAEL anaweza ashambulie IRAN ili wasimpe sapoti SYRIA kuishambulia SYRIA kwakigezo cha IRAN niutoto.
 
Sasa si wameiba tech ya mwaka 1959. Ndege ambayo sahivi ukienda US ziko museum na nyingine ziko vyuma chakavu kuyeyusha aluminium. Kuna ajabu gani katika hilo. Kwanza unajua ndege zao ziko ngapi. Na waliuziwa na US.
Hizo ndege zipo in-service nambie chanzo gani kinasema zipo kwenye vyuma chakavu?
angalia hata wikipedia
 
US akiamua kumchapa Iran hakuna ubishi anaweza. Russia alikuwa aaminiki kama anaweza leta ugomvi na NATO lakini aliitwaa Crimea yake pamoja na vikwazo alivyopewa.
Wewe ukijiaminisha eti US hawezi ipiga Iran kisa uchumi, hiyo ndiyo sababu itakayomfanya aipige Iran, Uchumi. Hatoenda kumpiga kwa kuwa alishambulia kambi yake na kusababisha matatizo ya kisaikolojia sijui, kazi ambayo hata Idris Sultan alifanya.
Iran huyuhuyu anapigika kila siku na Israel, Netanyahu alivyo mkorofi Iran haijawahi peleka pia yake. Utasikia "death to Zionist cabal (Israel)" wakati silaha zake na wanajeshi wake wako wanateketea Syria.
 
IRAQ hajawahi kutengeneza silaha wacha kutulisha matango pori MKUU scud alizifanyia reverse tu

IRAQ alipiga kambi zajeshi wakati wa VITA halaumiki IRAN kapiga kambi wakati ambao hakuna vita

IRAQ kumfananisha na IRAN wakat huyo IRAQ alipigana na IRAN zaidi yamiaka mitano halafu ulitegemea ampige US [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi ya IRAN inapatikana SYRIA [emoji16][emoji16]


ISRAEL anashambulia sehemu yawanamgambo wa IRAN waliopo SYRIA halaf anajisifu kama anaweza kuishambulia IRAN kama unavyodai aishambulie IRAN kama IRAN asiwapige wanamgambo wanaopelekewa SILAHA pale SYRIA na IRAN

Apige ndani yamipaka ya IRAN hapa tutasema kweli anaweza ila kama atakua anaishambulia SYRIA atakua coward tu

Kwani wanamgambo wangapi wanaoungwa mkono na US wanachapwa na IRAN ?!
 
Kwamba Stinger itaipiga B-2 angani? Hizo si ni silaha za kumpiga helicopters na ground attack jets kama Warthog.
Kwanza kule Iraq mfano tu, hawakudondosha Apache hata moja. Na hizo ATM hawakuharibu Abrams hata moja wakati walikuwa na ngonjera nyingi kabla ya vita kama nyinyi hapa.
Hizo speed boat ndo zipige aircraft carrier? Kwanza zina range gani, boti kama boti izifate carrier kule baharini ndani kabisa, na zipelekwe na nani? Yani shore based defense ndo unataka zitumike kwenye attack, hiyo imekuwa vita ya majirani kwani.
 
Ngonjera alipiga trump kwenye twita MKUU kama unatunza kumbu kumbu vizuri lkn.....
 
Hofu yao dhidi ya Iran iko wazi kabisa.....warushe hata njiti ya kibiriti ndani ya Jamuhuri ya Kiislam.
Kna mtu anakwambia kila siku IRAN anapigwa SYRIA wakat IRAN na SYRIA nimataifa mawili tofauti kabisa

Kama wanaweza IRAN kashasema na anasema atakaejaribu kuishambulia JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN hatoachwa nawanaelewa kweli kweli kama hatoachwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…