Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Iran hana silaha ya au missile inayojulikana mpaka sasa ya kufika USA, but missile kufika USA sio ndio kumnkomesha USA.

Unapaswa kujiuliza kwa nini USA hataki kutoka middle East?
Kwa sababu ya economic interests.
Kwa sababu ya kuweza kuendesha uzalishaji na usambazaji wa mafuta duniani kwa kutumia dollar ili iwe yenye thamani(strongest) zaidi duniani.
Kuzifanya nchi za kiarabu ziwe weak ili Israel iwe king mashariki ya kati na ku dominate nchi zingine, remember Israel ipo chini ya USA.

Kumbuka hata Sadam alipigwa kwa sababu alitaka kuanza kufanya biashara ya mafuta kwa pesa zinginena sio dollar, USA wakaona huyu jamaa anatumaliza, wakammaliza.🙂.

Sasa baada ya kujua kwa nini USA hatoki middle east tuangalie. je Iran kuikomesha USA ikome kabisa anahitaji kurusha missile kwenda kupiga New-York? au Washington DC?
Jibu ni Hapana, Iran atampiga USA pigo ambalo hata angeomba apigwe intercontinental ballistic missile angeona ni ahueni kuliko kumfukuza middle east.

Huo ndio ukweli, Iran wapo vizuri mno tena saaana, kwa kweli accuracy ya zile missile kutua kwenye zile kambi za USA ni ya kustahajabisha katika historia, hata USA wenyewe hawakutegemea, guess what? ilikuwa ni warning, kwamba tuna uwezo wa kupiga kambi zote za USA middle East within minutes if not seconds with highest accuracy.

Kumbuka Iran haitaki USA awe pale, siku USA akibugi atajua apambane na Iran uchumi wake udorore au akubali kutoka middle east uchumi wake pia udorore[emoji23][emoji23], ndio maana alipigwa missiles kwenye zile kambi na kuharibu vifaa vyenye thamani ya 2 billion dolars, ila alitulia tu, kama mgonjwa anayepimwa tezi dume.

Iran wapo smart sana wale jamaa, wana uwezo na walisema wana uwezo wa kunda kombora la kufika USA but wanaweka range within middle east, na ninajua kambi zote za USA zipo targeted muda wote yaani ni ku push button tu.
Kwa maana majibu walijibu haraka sana,sasa jiulize wali test hio accuracy wapi?

Ripoti inamnukuu mkuu wa Mlinzi mwenye nguvu ya Mapinduzi ya Iran, Jenerali Mohammad Ali Jafari, akisema: "Tuna uwezo wa kisayansi kuongeza umbali wa kusafiri wa kombora zetu , lakini sio sera yetu ya sasa."

Mwa Jafari aliongezea maadui wengi wa Irani tayari wako ndani ya eneo la kilomita 2,000 (1,240-mile).

Mnamo mwaka wa 2017, Kiongozi Mkuu wa Irani Ayatollah Ali Khamenei aliamuru mipaka juu ya mpango wa kombora la shambulio la nchi hiyo kwa kilomita 2000.

Iran haihitaji Intercontinental Ballistic Missile ambazo kutakuwa na uwezekano mdogo wa kufika USA kwa sababu mpaka hapa NATO wana ushirikiano katika Ballistic Missile Defense System, ambapo nchi zote za NATO wana shirikiana na kusaidiana juu ya shambulio lolote lile la missile.
Wana infra red satellite zitakuwa zina track missile tokana na joto inalotoa, Then taarifa zinatumwa kwenye ground stations zote zilizopo kwenye nchi zote za NATO, then wanakuwa wanajadili kwenye NATO headquarters kufahamu kama ni missile,
wakiona ni missile wanatuma taarifa sasa kwenye command centres zote na weapons systems pia radars kama ile ya USA an/tpy-2 , pia kuna kuwa na sea based radars, zote hizo zinaangalia missile moja na kuifuatilia, jinsi radar zinavyofuatilia missile ndivyo accuracy inaongezeka at the same time kuna kuwa na mawasiliano na systems zoote, then wanaweza ku intercept missile nje ya atmosphere,
Kumbuka wana ushirikiano, missile ikionwa na satellite nchi zooote zinakuwa alerted,

So Iran sio wajinga, tunawatandika tu hapo hapo middle east mpaka mkimbie. [emoji23] [emoji23]

ICBM zenyewe USA kazitumia kwenye vita ipi zikamsaidia? tusiwe tunatajiana tu ooooh ina range ya 15000km za kwenye mdomo.
USA kupigana na Iran hana budi kusogea middle East kuweka kambi, usifikiri wanawaza kama wewe eti wakae nyumbani wawe wanatuma hayo ma ICBM, binafsi i beleive kwenye hizi medium range kwa sababu naona kazi zinazofanya,mfano mzuri zilizotua Iraq.
US hawezi kumpiga Iran na ICBM, Iran mtoto sana kwa silaha hizo. Hizo zipo kwa ajili ya kina Russia na China na maadui wengine wanaojiweza. Umpige Iran kwa ICBM ili wafe mamilioni kwa kosa lipi?
Hiyo accuracy ya Iran kupiga kambi za US si kitu cha ajabu, Iraq alipiga kambi za US mwaka 1991 kwenye Gulf war kwa missiles zake mwenyewe, tena zile ziliua kabisa achana na hizi za Iran. We ndo unaona kitu cha ajabu leo Iran kushambulia kambi za US.

Kama unahisi US anaogopa vita pale middle east, nitajie eneo gani duniani lina vita zaidi ya lile.
Kwanza Israel ashawachakaza wote, ikaja vita ya Iran-Iraq, ikaja tena Israel, ikaja Guf war, ikaja tena Desert Storm, bado kuna ISIS, Syrian civil war na magaidi wa kutosha. Hapo US bado anabeba mafuta business as usual. Wewe unatoka uko unaamini eti US anaogopa vita pale.
Vita ya Libya ilitokea ulisikia miundombinu ya mafuta imeharibiwa?

Na kwa kuwa inajulikana Iran anataka vita iwe na hasara kiuchumi huyu atapigwa mapema mno, yani hizo boots on ground ulizoona kule Iraq hapa hazitokuwepo maana kuna resistance kubwa na nchi ni kubwa. Ukimmwagia mabomu kwenye miundombinu yake na maghala yake atabaki na wanajeshi tu, watapiga mbizi kuvamia?
Israel tu hapa kila siku inavamia convoy za Iran, unahisi inaambiwa na nani? Kila siku silaha za siri zinazopelekwa Syria zinashambuliwa, wanajuaje? Sasa kama Israel tu inamtesa Iran, US ndo ashindwe?
 
Mkuu hizo F-5 na Saeqeh kwa dunia ya sasa si kama majeneza yanayopaa?

Unadhani zinaweza kuhimili 'dog fight' na ndege kama F-22 au tolea jipya la F-15 na F-16 zinazotumiwa sasa na Israel na Marekani?
F-5 ni fighter ya mwaka 1959 huyu yuko hapa anashangilia nayo. Ndege ambayo US walitengeneza kabla hatujapa Uhuru Iran wako HAWAJAITENGENEZA. Atadai zipo, sasa fighters tisa tu zifanye nini kwenye vita.
 
Kasome operation Mount hope 3 uone kwa nini waliiba dege la kirusi kule libya(Ml-24 Hind) wakalipakia kwenye Chinook kwa usiri mkubwa na kwenda ku copy na ku paste technology yake, pia kufundishia askari wake weakness za helicopter hio.
Israel pia soma operation Diamond uone kwa nini waliiba Mig-21 ya Russia?
Kama walikuwa hawaibi technology walikuwa wanafanya nini?

Kama wenyewe ni wakali kwa nini waliiba technology?
Kuiba technology ni ujanja sio ujinga, hio ipo duniani kote, kitendo cha Iran kuwa na F-5 na kuiendeleza kuwa advanced nawasifu, japo sijazungumzia wala kujivunia uwezo wa Saeqeh kwamba ni deadly, ila nimesema wamejitahidi sana tokana na vikwazo walivyo wekewa still bado wanatengeneza fighter jets zao, its amazing.
Hata Israel na USA still wanazitumia F-15 na F-16 wakati ni za miaka 1970's, sio kigezo.

Endelea kusema hivyo.
Sasa si wameiba tech ya mwaka 1959. Ndege ambayo sahivi ukienda US ziko museum na nyingine ziko vyuma chakavu kuyeyusha aluminium. Kuna ajabu gani katika hilo. Kwanza unajua ndege zao ziko ngapi. Na waliuziwa na US.
 
Mungu yalinde Mapinduzi ya Kiislam ya Iran...Hawa ndio watu pekee wanaopinga Global Arrogance inayoongoza na US...........Zidumu fikra za #KhomeiniForAll
 
US hawezi kumpiga Iran na ICBM, Iran mtoto sana kwa silaha hizo. Hizo zipo kwa ajili ya kina Russia na China na maadui wengine wanaojiweza. Umpige Iran kwa ICBM ili wafe mamilioni kwa kosa lipi?
Hiyo accuracy ya Iran kupiga kambi za US si kitu cha ajabu, Iraq alipiga kambi za US mwaka 1991 kwenye Gulf war kwa missiles zake mwenyewe, tena zile ziliua kabisa achana na hizi za Iran. We ndo unaona kitu cha ajabu leo Iran kushambulia kambi za US.

Kama unahisi US anaogopa vita pale middle east, nitajie eneo gani duniani lina vita zaidi ya lile.
Kwanza Israel ashawachakaza wote, ikaja vita ya Iran-Iraq, ikaja tena Israel, ikaja Guf war, ikaja tena Desert Storm, bado kuna ISIS, Syrian civil war na magaidi wa kutosha. Hapo US bado anabeba mafuta business as usual. Wewe unatoka uko unaamini eti US anaogopa vita pale.
Vita ya Libya ilitokea ulisikia miundombinu ya mafuta imeharibiwa?

Na kwa kuwa inajulikana Iran anataka vita iwe na hasara kiuchumi huyu atapigwa mapema mno, yani hizo boots on ground ulizoona kule Iraq hapa hazitokuwepo maana kuna resistance kubwa na nchi ni kubwa. Ukimmwagia mabomu kwenye miundombinu yake na maghala yake atabaki na wanajeshi tu, watapiga mbizi kuvamia?
Israel tu hapa kila siku inavamia convoy za Iran, unahisi inaambiwa na nani? Kila siku silaha za siri zinazopelekwa Syria zinashambuliwa, wanajuaje? Sasa kama Israel tu inamtesa Iran, US ndo ashindwe?
israel haina uwezo wa kujipima na Iran, waache wapambane na vikundi vidogo vidogo hapo middle East.
 
ISRAEL kamshambulia IRAN lini !?

ISRAEL anamshambulia SYRIA kila siku nakusisitiza Haitakuja Habari IRAN imeshambuliwa Utaambiwa vikosi vya IRAN vilivyopo SYRIA kama ISRAEL anaweza ashambulie IRAN ili wasimpe sapoti SYRIA kuishambulia SYRIA kwakigezo cha IRAN niutoto.
 
Sasa si wameiba tech ya mwaka 1959. Ndege ambayo sahivi ukienda US ziko museum na nyingine ziko vyuma chakavu kuyeyusha aluminium. Kuna ajabu gani katika hilo. Kwanza unajua ndege zao ziko ngapi. Na waliuziwa na US.
Hizo ndege zipo in-service nambie chanzo gani kinasema zipo kwenye vyuma chakavu?
angalia hata wikipedia
 
Nikuambie kitu kimoja kimoja, USA hayupo tayari kupoteza silaha na pesa kiasi hicho alichopoteza WW2 labda kama amechoka kuwa katika nafasi iliyopo, Mkuu ile ni vita ya dunia, kama unataka ashinde vita hata akipoteza uchumi wake ni sawa haina shida, muache China awe super power, ww2 nchi zote ulaya zilikuwa hoi taabani, USA at least kwa sababu hakuwa kwenye ugomvi toka mwanzoni alikuwa yupo vizuri kuliko wenzie, na hapo akawa super power mpaka leo, alipoteza askari, silaha, pesa na muda, kama unataka afanye hivyo dhidi ya Iran ndio wanataka sasa, North Korea wanataka, China wanataka, Russia wanataka, Syria wanataka, Cuba wanataka ,Germany wanataka e.t.c, kwa nini asiweke mkia kati kati ya miguu?

Endelea kusema tu siku wakiamua, labda wakiamua ugomvi.
US akiamua kumchapa Iran hakuna ubishi anaweza. Russia alikuwa aaminiki kama anaweza leta ugomvi na NATO lakini aliitwaa Crimea yake pamoja na vikwazo alivyopewa.
Wewe ukijiaminisha eti US hawezi ipiga Iran kisa uchumi, hiyo ndiyo sababu itakayomfanya aipige Iran, Uchumi. Hatoenda kumpiga kwa kuwa alishambulia kambi yake na kusababisha matatizo ya kisaikolojia sijui, kazi ambayo hata Idris Sultan alifanya.
Iran huyuhuyu anapigika kila siku na Israel, Netanyahu alivyo mkorofi Iran haijawahi peleka pia yake. Utasikia "death to Zionist cabal (Israel)" wakati silaha zake na wanajeshi wake wako wanateketea Syria.
 
US hawezi kumpiga Iran na ICBM, Iran mtoto sana kwa silaha hizo. Hizo zipo kwa ajili ya kina Russia na China na maadui wengine wanaojiweza. Umpige Iran kwa ICBM ili wafe mamilioni kwa kosa lipi?
Hiyo accuracy ya Iran kupiga kambi za US si kitu cha ajabu, Iraq alipiga kambi za US mwaka 1991 kwenye Gulf war kwa missiles zake mwenyewe, tena zile ziliua kabisa achana na hizi za Iran. We ndo unaona kitu cha ajabu leo Iran kushambulia kambi za US.

Kama unahisi US anaogopa vita pale middle east, nitajie eneo gani duniani lina vita zaidi ya lile.
Kwanza Israel ashawachakaza wote, ikaja vita ya Iran-Iraq, ikaja tena Israel, ikaja Guf war, ikaja tena Desert Storm, bado kuna ISIS, Syrian civil war na magaidi wa kutosha. Hapo US bado anabeba mafuta business as usual. Wewe unatoka uko unaamini eti US anaogopa vita pale.
Vita ya Libya ilitokea ulisikia miundombinu ya mafuta imeharibiwa?

Na kwa kuwa inajulikana Iran anataka vita iwe na hasara kiuchumi huyu atapigwa mapema mno, yani hizo boots on ground ulizoona kule Iraq hapa hazitokuwepo maana kuna resistance kubwa na nchi ni kubwa. Ukimmwagia mabomu kwenye miundombinu yake na maghala yake atabaki na wanajeshi tu, watapiga mbizi kuvamia?
Israel tu hapa kila siku inavamia convoy za Iran, unahisi inaambiwa na nani? Kila siku silaha za siri zinazopelekwa Syria zinashambuliwa, wanajuaje? Sasa kama Israel tu inamtesa Iran, US ndo ashindwe?
IRAQ hajawahi kutengeneza silaha wacha kutulisha matango pori MKUU scud alizifanyia reverse tu

IRAQ alipiga kambi zajeshi wakati wa VITA halaumiki IRAN kapiga kambi wakati ambao hakuna vita

IRAQ kumfananisha na IRAN wakat huyo IRAQ alipigana na IRAN zaidi yamiaka mitano halafu ulitegemea ampige US [emoji23][emoji23][emoji23]
 
US akiamua kumchapa Iran hakuna ubishi anaweza. Russia alikuwa aaminiki kama anaweza leta ugomvi na NATO lakini aliitwaa Crimea yake pamoja na vikwazo alivyopewa.
Wewe ukijiaminisha eti US hawezi ipiga Iran kisa uchumi, hiyo ndiyo sababu itakayomfanya aipige Iran, Uchumi. Hatoenda kumpiga kwa kuwa alishambulia kambi yake na kusababisha matatizo ya kisaikolojia sijui, kazi ambayo hata Idris Sultan alifanya.
Iran huyuhuyu anapigika kila siku na Israel, Netanyahu alivyo mkorofi Iran haijawahi peleka pia yake. Utasikia "death to Zionist cabal (Israel)" wakati silaha zake na wanajeshi wake wako wanateketea Syria.
Nchi ya IRAN inapatikana SYRIA [emoji16][emoji16]

ISRAEL anashambulia sehemu yawanamgambo wa IRAN waliopo SYRIA halaf anajisifu kama anaweza kuishambulia IRAN kama unavyodai aishambulie IRAN kama IRAN asiwapige wanamgambo wanaopelekewa SILAHA pale SYRIA na IRAN

Apige ndani yamipaka ya IRAN hapa tutasema kweli anaweza ila kama atakua anaishambulia SYRIA atakua coward tu

Kwani wanamgambo wangapi wanaoungwa mkono na US wanachapwa na IRAN ?!
 
Mkuu unachopaswa kufahamu silaha haipimwi uwezo wake kwa kuangalia ukubwa, nimekuambia hizo boats za Iran zinateka hilo li carrier ambapo nimekuambia hio ni air base iliyoko majini, hizo boats zipo very very fast na uwezo wake unatisha.

Labda nikuambie kitu kimoja, kuna silaha moja inaitwa Stinger mfano FIM-92 Stinger hio ni Portable air defense system ya kimarekani, hio ni portable na inawekwa begani tu but inapiga airbus 380 na hakuna abiria anabaki kama ndege imebeba abiria 300 ujue wameisha. hio hio stinger ya kubeba begani inapiga hata yale madege ya kirusi ya kivita kama Kamov Ka vizuri tu bila shida.
Taiwan_will_take_delivery_of_250_Stinger_MANPADS_missiles_later_this_year_925_001.jpg

stinger

Unaifahamu Javelin? hio ni portable pia, ni ya kuweka begani tu, but ni anti tanker mzee, inatungua kifaru huwezi kuamini, minyororo inakaa kulia, engine kushoto, sasa endele kudharau silaha kisa unaizidi urefu, ndio silaha utaizidi urefu, utaizidi uzito, utaibeba but inapotumiwa itakuzidi kila kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
javelinmp_h15.jpg

javelin

Hizo boats zina piga rockets, zina vifaa vya kisasa na radar, pia zina uwezo mkubwa wa kuhimili bahari iliyo chafuka, sasa endelea kujidanganya, wanazo boats zaidi ya 1500, thats why unaona USA ina tengeneza laser weapon kuangamiza boats hizo but range ya laser ni fupi (2km) wakati hizo boats zina rocket launcher na heavy machine gun, so what do you expect mzee? Endelea kusema unazizidi urefu.
_600.jpg

Seraj-1.
Kwamba Stinger itaipiga B-2 angani? Hizo si ni silaha za kumpiga helicopters na ground attack jets kama Warthog.
Kwanza kule Iraq mfano tu, hawakudondosha Apache hata moja. Na hizo ATM hawakuharibu Abrams hata moja wakati walikuwa na ngonjera nyingi kabla ya vita kama nyinyi hapa.
Hizo speed boat ndo zipige aircraft carrier? Kwanza zina range gani, boti kama boti izifate carrier kule baharini ndani kabisa, na zipelekwe na nani? Yani shore based defense ndo unataka zitumike kwenye attack, hiyo imekuwa vita ya majirani kwani.
 
Ngonjera alipiga trump kwenye twita MKUU kama unatunza kumbu kumbu vizuri lkn.....
 
Hofu yao dhidi ya Iran iko wazi kabisa.....warushe hata njiti ya kibiriti ndani ya Jamuhuri ya Kiislam.
Kna mtu anakwambia kila siku IRAN anapigwa SYRIA wakat IRAN na SYRIA nimataifa mawili tofauti kabisa

Kama wanaweza IRAN kashasema na anasema atakaejaribu kuishambulia JAMHURI YA KIISLAM YA IRAN hatoachwa nawanaelewa kweli kweli kama hatoachwa.....
 
Back
Top Bottom