Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Niweke mambo sawa tu.
Iran inaogopwa sana na tuangalie kwa nini inaogopwa?
Toka mwaka 1979 Iran wanaivimbia USA huku wanaitazama USA usoni,licha ya vikwazo vikali imezidi kuwa na vikundi vya kijeshi middle east ikiwemo Lebanon,Syria,Iraq na sasa Yemen.
Kwa maana moja niseme Iran middle East ameiweka kiganjani.

Ukizungumzia vikwazo kwa Iran sio mambo mageni, Iran imewekewa vikwazo ni zaidi ya miaka 40 sasa huku miaka 30 mfululizo ikiwa ni vikwazo vikali zaidi lakini USA ameamua kucheza karata yake ya mwisho hapo 2019 kwa kuongeza sanctions [emoji23] [emoji23] .

Licha ya Iran kuwa chini ya vikwazo katika huo muda wote wametengeneza ndege vita kama Saeqi ambayo ina uwezo mkubwa wa radar, pia ina uwezo mkubwa wa kutazama ramani chini, avionics mpya na pia wanaweza kuzizalisha kwa wingi.
Kngine ni kwamba jeshi la Iran lina nguvu sio mchezo, wana nguvu katika middle east kuwazidi Saudi ,Bahrain na hao Israel hio iko wazi.
Kumbuka nchi inaipiga drone ya USA kama vile RQ 4 na pia RQ 170 na pia ilisha wateka askari wa marekani, kupiga hizo drone na hazijarudishwa kwenda USA, so jiulize nchi gani nyingine itaweza hivyo?

Iran imeisaidia Syria kuendelea kusimamisha uongozi wao pia Russia imetoa msaada wake.
Wamewamaliza ISIS nchini Iraq na sasa tazama Houthi wa Yemen wanazidi kujitanua zaidi na mliona Saudi ilifanywa nini kwenye vile visima vya mafuta.
Yote hayo yanatokea mbele ya macho ya USA.

Licha ya Iran kutopata msaada wa kijeshi ulimwenguni, waliweza kuindoa Iraq katika eneo lake ndani ya miezi michache mno, kumbuka kuwa wakati huo wakati wa mapinduzi uwezo wake wa kijeshi ulipungua, vifaa vya kijeshi viliharibiwa na hao wakandarasi wa magharibi kabla ya kukimbia, kumbuka hio vita Iran mapinduzi yamefanyika 1978 hadi 1979 na mwaka huo huo Iraq ikisaidiwa silaha bora toka magharibi, askari na pesa toka mataifa mengi ya kiarabu, nchi za ulaya na USA, Licha ya silaha bora toka USA na USSR, Iraq ilipewa msaada wa kifedha na hata silaha za sumu toka kwa wazungu,intelejensia za ku target lengo likiwa kuimaliza kabisa Iran amabayo si muda walikuwa wamefukuzia mbali uongozi ambao ulikuwa ni wa ukandamizaji toka USA.
Lakini Iran ilipambana kiume kwa miaka 8, bila kuomba poo wala samahani, mpaka Sadam akaanza kupiga sumu, what? USA alishika kichwa.(Hii story nitaandaa uzi maalumu kusimulia jinsi gani Iran iliweza kuhumili hii vita licha ya kuwa na uhaba wa silaha na kukosa msaada)

Ndio nasikiaga humu wapuuzi wanasema USA hajaamua, eti akiamua anaimaliza Iran, niwacheke kwanza, kama waliishindwa Iran ya 1979 wataiweza Iran ya leo?

Licha ya kuwa chini ya vikwazo vibaya zaidi katika historia kwa miongo minne, Iran imekuwa inaendeleza uwezo wake katika nuclear, imekuwa na uwezo mkubwa kisayansi kiasi cha kushangaza, sayansi kiwango cha juu mashariki ya kati ukiwatoa Israel inayopewa msaada na USA na mwenzake Saudia.

Iran ina akiba kubwa mno ya mafuta na gesi,utajiri wa madini pia hivyo jamaa wapo vizuri, juzi hapa wamesafirisha mafuta meli 5 toka Iran mpaka Venezuela, USA imebaki ina tazama tu.[emoji23]
@Bwana Utam njoo hapa uone ndege yako ya Saeqeh aliyotaja mkuu hapa. Ndege hizi ziko tisa (9) tu, sasa katika dunia hii unamiliki flying coffin tisa ili umtishe nani[emoji23]?
Hiyo ndege ni copy ya F-5 Phamton ndege ya Marekani iliyotengenezwa mwaka 1959. Eti Iran ampige US na ndege za 1959. Na wakati huo ulikataa kuwa Iraq hakutengeneza zile al-Hussein missiles, vipi hapa Iran alipewa na US hizi ndege zake tisa?
Picha zenye blue na njano-hivi ndo za Iran, hizo nyingine ni F-5 Phantom ambazo kwa sasa Marekani anaweza amua kufugia vyura humo.
images%20-%202020-06-02T182532.422.jpg
images%20-%202020-06-02T182505.547.jpg
images%20-%202020-06-02T182434.947.jpg
images%20-%202020-06-02T182418.126.jpg
 
Kuhusu b2 mkuu nina mashaka hata nikiangalia mission zake, b2 imekwenda Afghanistan, Libya kupiga Isis 2011 na pia Serbia kwenye kosovo war 1999, sijaona cha ajabu hapo kwenda kupiga watu wana RPG na AK-47.
Kumbuka rq-170 ilikuwa stealth na USA walijidanganya hivyo hivyo kwamba isingeonekana, they were wrong, hawakuipiga hata missile, wali intercept mawasiliano wakakiteremsha chini kama cha kwao, ilikuwa ni aibu kubwa mnoo kwa USA.
Hapo unajua hao jamaa sio tu kwenye radar systems wapo vizuri bali hata electronic warfare wapo far away.yaani ili kuwa detected halafu ikawa hacked, shikamoo Iran.

Shangaa rq 170 ilivyo shushwa na ilikuwa stealth right?
kitendo cha USA kurusha stealth drone kama ile nchini Iran ilikuwa wana jiamini asilimia zote hakitoonekana right?
kumbuka hio rq 170 ilisha tumiwa afghanistan na pia Pakistan kwenye ile mission ya kumsaka Osama, USA walifanya pia jamming kwenye radar za Pakistan na Pakistan hawakujua nini kinaendelea.
Hio b2 inakwenda altitude ya 50000 feet kama ilivyo rq 170 pia ni 50000 feet, kwa kuwa waliona imefanikiwa hio aircraft kuingia sehemu mbali mbali kwenda kupiga picha za kishu shu shu, wakaona sasa ni wakati murua wa kuingiza Iran, guess what? nakumbuka tu USA ilisema hio ndege ilikuwa operated na CIA na sio USAF [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Sasa na hio b2 tusubiri tu ifike na yenyewe kwenye anga la Iran ushuhudie mwenyewe, Iran sio Serbia,Iraq au Libya.Tegemea kukutana na challenge nzito sana ikiwemo kuipoteza hio b2 wakati zipo 21 tu kama sikosei.
So its not easy tukizungumzia kwa mifano hai.

intxt%202.jpg

rq 170


b2_6.jpg

b2 bomber

Kwa hio wazo lako la kutuma b2 Iran hata USA hawaliwazii plus kumbuka stealth aircraft haina maana haionekani bali hata radar za bongo zinaweza kuona b2, ipo hivi.
Radar ina uwezo hadi wa ku detect drops za maji, yaani mvua ikiwa inanyesha radar inaona vizuri tu zile drops na vitu vingine kama ndege wa angani ila vinakuwa vidogooo mno, ndio maana utasikia kuna radar za hali ya hewa.

Kwa kesi ya stealth bomber kama b2 zimetengenezwa ku absorb radar waves au pengine kuzi direct pengine, tazama vizuri b2 muundo wake, hivyo kwa kufanya hivyo waves zinarudi kidogo kwenye radar, radar inaona ni kadude kadogo tuseme ndege wa angani na ina ignore, kwa maana ukisema utazame kila kitu kwenye radar utaanza kuona kama zile tv za visogo zinapokosa channel sisi tulikuwa tunasema inaonyesha mchele.

Ili kuleta maana wataalamu wana seti aina fulani za waves tu ziweze kuonekana kwenye radar na hapo ndipo stealth aircraft ina ichanganya radar kwa kuwa inarudisha waves sawa na mwewe anapaa angani, hivyo wana ignore, lakini b2 hata radar ya bongo inaona vizuri tu, hakuna stealth ya kui confuse radar 100%, beleive it or not.

Kuna bomber ilikuwa inaitwa f-117 ilipigwa huko serbia ikashuka ilikuwa ni stealth kama hio b2 ilikuwa ni mwaka 1999 na kipindi hicho f-117A ilikuwa ni mtambo hasa na USA alikuwa ana bomber ambayo ni stealth na advanced sana, but guess what? ilipigwa na s-125 missile[emoji23][emoji23][emoji23].Yugoslavia hao waliiteremsha vizuri mno.
F-117.jpg

f-117a

Sasa USA hakutegemea s-125 ingepiga f-117a right? so tegemea b2 kupigwa hata na s-300.


Iran ina speed boats zenye kubeba cruise missiles, submarines ambazo ni stealth zinabeba torpedoes, pia kwenye radar technology usiwapimie, wana boats zinakimbia sana kuliko hizo ships na boats za US navy hapo nazungumzia boat zinaitwa seraj ambazo zinashikilia record kwa kasi.

USA wamekuwa wakijaribu sana kutengeneza silaha ya kuzikabili hizo boats lakini gharama inakuwa kubwa sana kuweka hizo laser weapon kwenye kila meli na mpaka sasa wanayo 1 tu.

Range ya hio laser ni 2km wakati missile za kwenye speed boats za Iran ni cruise missile, hivyo zitatumwa boats za kutosha hapo na missile ambazo hazina idadi zitaanza kumiminwa kuelekea kwenye hilo li carrier kwa mbali kabisa, pia hizo warships zitaweza kukabili mashambulizi toka speed boats kwa kuzishambulia au kulinda hilo li carrier?
Hapo unaona warships zitazidiwa kabisa, hazitoweza hilo battle.

Iran wana anti ship missile kama vile noor, halafu mmevamia Iran kwenye eneo lake bado USA ana kibarua.
Ukizingatia Iran ita target military za base ya USA hapo middle east kwa missile za ballistic


Hizo ndege ni za kawaida sana sijui unatumia kigezo gani kusema haziezi dondoshwa, ipo hivi.
Hio Poseidon ni imetokana na boeing 737 na hio Sentry ni boeing 707, uwezo wao wa kuruka juu ni wa kawaida kama ndege za kawaida tu, 12km above au 40000 feet, kumbuka bomber huwa zinakwenda mpaka 50000 feet na bado zinatandikwa tu, niseme hakuna tofauti na ile boeing 747 ya raisi wa USA, ikiwa imeongezewa mifumo ya ulinzi na mengineyo, lakini hizo ni boeing 737 na nyingine ni boeing 707, sasa how comes SAM itashindwa kufika?[emoji23][emoji23]




Unadhani hata hapo watafika? sidhani!! Hizo Poseidon zipata nafasi gani kufanya surveillance angani? how?
Hapo Iran kaishasambaza base zote middle east, hilo li carrier limepiigwa na speed boats na war ships zimezamishwa, hizo f16 na f15 zinatokea wapi? kumbuka narudia tena mmeivamia Iran.

Kiu halisia ingekuwa simple hivyo USA kutaka kuikabili Iran sio leo, Iran imepiga mkono miaka 8 akiwa na wanaompatia misaada ni Syria na Libya can you imagine?
Iraq iliyokuwa ina pigana na Iran ilikuwa na msaada toka USA, USSR, Saudia, Kuwait, European countries n.k, kumbuka Iran ilikuwa katika kipindi kigumu cha vikwazo katika manunuzi ya silaha n.k, so wale wa Persia waone vile tu, USA inawajua vizuri, in short Iran ilichangiwa na licha ya Iraq kupewa modern tools zote, haikufua dafu. Respect to Iran


Hata troops hawatoingia Iran, plus Iran ni kubwa 3x ya Iraq, so usichukulie ita ile ya Iraq uje ufananishe na vita ya Iran.
Uko sahihi kabisa. Lakini msibadili mada kwenda kuwa Iran vs Iraq pale nilitoa mfano tu, kwa hali hii nikitoa mfano wa North Korea mtaanza kuzungumzia vita ya 1950's.
Katika vita yoyote lazima kuna silaha zitapotezwa as friendly fire, accident au enemy attack, hilo hata mgambo anajua. Tunachotazama ni ushindi, Barcelona ikishiriki UEFA haiendi na wendawazimu wa kucheza mechi zote bila kufungwa goli hata moja, inaenda kuchukua kombe tu.
Hizo Nighthawks zilikuwa ni early stealth fighters na radar absorbion yake ni kubwa kabisa. Ilikuwa ni somehow stealth.

Sasa mkuu unaamini kupigwa kwa B-2 kumi au hata zote Marekani atakimbia? Unajua ni ndege ngapi alizopoteza Marekani kwenye WW2? Ni maelfu, unajua ni meli ngapi alipoteza? Ni maelfu, je aliacha au alishindwa vita?
Huyo Iran ana silaha gani za kushambulia Marekani maeneo kama Michigan, Ohio, Washington, New Jersey? Ana silaha gani mbona hamsemi?

Hakuna vita utapigana vya defensive ushinde, ukiwa defensive unaamuliwa na adui ni lini atashambulia ndo mapigano yawepo, kwahiyo US akiretreat kujaza mafuta na kupumzika na Iran anabaki anategeshea lini adui arudi. Vita ni kushambulia ukajibu, Iran atajibu kwa zile boti ambazo nazizidi urefu pale bandari ya New York[emoji23][emoji23]?
 
Wakati wote huo Irani watakuwa kwenye usingizi wa pono!!!!
Ingekuwa kirahisi hivyo,wangekuwa wameahawapiga toka 1979. Au juzi alipo wageuza mamia wa askari wa marekani kuwa wagonjwa wa mtindio wa ubongo kwenye zile kambi mbili za Iraq
Muuache atangaze hisia zake tumjue Kama ana mccmko mkali, inaonekana kipindi anaandika alikua kafumba macho huku akivutia hisia anachokiandika kiwezekane kwenda hivyo .
 
Muuache atangaze hisia zake tumjue Kama ana mccmko mkali, inaonekana kipindi anaandika alikua kafumba macho huku akivutia hisia anachokiandika kiwezekane kwenda hivyo .
Nyuzi za Amber Rutty zipo unaweza kwenda kule kuchangia. Watu wote walioko hapa wana akili isipokuwa wewe unayetumia fasihi matusi wakati watu wanatoa facts. Kama uwezo wa kuchangia huna soma tu.
 
Iran wana silaha kibao wamereverse engineer kwa Russian systems, China wana silaha kibao wamekopi, India wame-licence produce jetfighters za Tejas kutoka Sukhoi za Russia.
Xiaomi wameiga baadhi ya mbinu za iPhone.

Kubwa zaidi, Wasovieti waliiba teknolojia ya nyuklia kutokea Marekani. Kwa hiyo wote hao unadai hawana vitu hivyo?
Haya ushahidi kutoka article ileile uliyoleta. Bisha tena...View attachment 1466808View attachment 1466809
IRAN wame reverae injini wala sijakataa nanijambo lakawaida sana wala sijakataa

Ishu nikwamba hilo scud halikua made in IRAQ mfano IRAN wana zile ndege zinaitwa TOM CAT wamefanya featuring yakutosha je maana yake ndio wameunda wao?!

Kuna utofauti wakuunda silaha (hapa una anza mwanzo mpaka mwisho wewe binafsi bila yamkono wamtu wapili)

Kuna utofauti wakutengeneza silaha (hapa ndio unaweza ukapunguza ama ukaongeza vitu ila silaha husika imetoka sehem nyengine hujaibuni wewe)


Kumodify jambo lakawaida ila ishu nikwamba scud haikua made in IRAQ.
 
Uko sahihi kabisa. Lakini msibadili mada kwenda kuwa Iran vs Iraq pale nilitoa mfano tu, kwa hali hii nikitoa mfano wa North Korea mtaanza kuzungumzia vita ya 1950's.
Katika vita yoyote lazima kuna silaha zitapotezwa as friendly fire, accident au enemy attack, hilo hata mgambo anajua. Tunachotazama ni ushindi, Barcelona ikishiriki UEFA haiendi na wendawazimu wa kucheza mechi zote bila kufungwa goli hata moja, inaenda kuchukua kombe tu.
Hizo Nighthawks zilikuwa ni early stealth fighters na radar absorbion yake ni kubwa kabisa. Ilikuwa ni somehow stealth.

Sasa mkuu unaamini kupigwa kwa B-2 kumi au hata zote Marekani atakimbia? Unajua ni ndege ngapi alizopoteza Marekani kwenye WW2? Ni maelfu, unajua ni meli ngapi alipoteza? Ni maelfu, je aliacha au alishindwa vita?
Huyo Iran ana silaha gani za kushambulia Marekani maeneo kama Michigan, Ohio, Washington, New Jersey? Ana silaha gani mbona hamsemi?

Hakuna vita utapigana vya defensive ushinde, ukiwa defensive unaamuliwa na adui ni lini atashambulia ndo mapigano yawepo, kwahiyo US akiretreat kujaza mafuta na kupumzika na Iran anabaki anategeshea lini adui arudi. Vita ni kushambulia ukajibu, Iran atajibu kwa zile boti ambazo nazizidi urefu pale bandari ya New York[emoji23][emoji23]?
Mkuu kama unataka boat ndio iende ikashambulie NEW YORK pole sana

Nandio maana ukaambiwa sasa hv kuna moderwarfare ambalo mpaka sasa IRAN wamekichafua vyema kabisa wamewaprove wrong watu wengi tu kuanzia Rq mpaka global hawk

Unahisi lifanyike shambulizi moja dhidi ya IRAN kunandege ambayo itakua salama kuruka angani kirahisi rahisi?!

IRAN kwenyesuala la modern warfare sihaba sana nahata hao US wanatambua nandio maana wanamgwaya...
 
Mkuu kama unataka boat ndio iende ikashambulie NEW YORK pole sana

Nandio maana ukaambiwa sasa hv kuna moderwarfare ambalo mpaka sasa IRAN wamekichafua vyema kabisa wamewaprove wrong watu wengi tu kuanzia Rq mpaka global hawk

Unahisi lifanyike shambulizi moja dhidi ya IRAN kunandege ambayo itakua salama kuruka angani kirahisi rahisi?!

IRAN kwenyesuala la modern warfare sihaba sana nahata hao US wanatambua nandio maana wanamgwaya...
Swali ni moja tu, IRAN ATATUMIA SILAHA GANI KWENDA MAREKANI KUSHAMBULIA?
Jibu na fafanua, konakona za nini? Si mseme tu hizo silaha Iran hakuna?
 
Mimi nasema Iran hana missiles za kufika US, wewe unasema anazo. Prove that
Pole ,mwaka Jana Iran alionyesha baadhi ya makombora yake na kusema hii ni sehem ndogo tu ya makombora ya Iran akiyapanga Kwenye range tofauti la mwisho lilikua linafika mpaka Russia
 
Mimi nasema Iran hana missiles za kufika US, wewe unasema anazo. Prove that
namimi nasema US hana missile zakufika IRAN ukiachana na kipigo atakachokipata katika kambi zake pale akishakua kamalizika hana lakufanya kama anazo prove...



Ama ulikua unataka prove ya vp MKUU ?!
 
namimi nasema US hana missile zakufika IRAN ukiachana na kipigo atakachokipata katika kambi zake pale akishakua kamalizika hana lakufanya kama anazo prove...



Ama ulikua unataka prove ya vp MKUU ?!
Kakimbia [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom