Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

Kutunga na kuimba ngonjera ni rahisi sana,lakini ukweli ni kwamba israeli hawezi kuipiga iran
 
Sasa dini inakujaje hapo kwenye geopolitical ya middle east mbona unakua poyoyo na zezeta pia hata muandiko tu unaonesha jinsi gani upo unga kichwani
Umewahi kuona msudan anapigwa mkenya,mtanzania,mganda anaingilia?
Kwa nini uwekezaji mkubwa ufanyike kumuua muisrael tena kwenye ardhi isiyo na rutuba,madini wala mafuta?
Motivation yenu ni dini.Ndoto ya kila muislam ni kumuua myahudi hilo hata mtoto wa darasa la pili analijua.
Imagine uwekezaji wa Iran naataifa ya kiarabu ungeingizwa kwenye kuimarisha hali za maisha ya watu wa Gaza badala ya kujenga mahandaki na kununua silaha.
Ukibanwa ukakosa hoja unatoa mitusi,sikushangai wenye akili wameshaona kati yangu mimi na wewe nani ana unga kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…