Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

Seems huna uelewa na zana za kivita coz umekuja na sababu ya moja kwa moja (uwezo wa roketi) ku justify nani kahusika. Kila upande anamtuhumu mwenzie, ila cha kushangaza sijaona utetezi wa Hamas ku declare kwamba hawana rockets zenye uwezo huo zaidi ya kusema ni air strike. Sijui unatumia source gani kufuatilia hili tukio na kinachoendelea baada ya hapo.
 
Hili ni swali la kijinga sana ulilouliza... Silaha ziko sehemu nyingi sana Duniani, kupata silaha sio shida... Al-shabab tu hapo wanapata Silaha, Sembuse Hamas ambao wanasapotiwa na IRAN na nchi zote za uarabuni.
Silaha nzito zinapitia wapi wakati wamezingirwa na Israel pande zote, pembeni bahari na kusini ni Misri?
 
Kwenye rangi nyekundu.....sio kweli...rudia kuangalia tena ..
 
Imefika Siku 30?
 
Hamas waache kuhifadhi silaha kwenye mahospitali,wamerusha makombora Yao yametua hapo hospital walipokua wamehifadhi silaha zao nyingine kitu kikajipa halafu wanakuja singizia Israel.
Mpaka nyinyi wenyewe mmeanza kuona aibu kwa mambo yanayo fanywa na taifa lenu teule.
 
ndo muache kuchokoza watu , maana mlianza wenyew kuua watu wao 260 , mnahisi kuua watu 260 ni jambo la kuchekewa?
 
ndo muache kuchokoza watu , maana mlianza wenyew kuua watu wao 260 , mnahisi kuua watu 260 ni jambo la kuchekewa?

“Muache kuchokoza watu” kiasi gani cha ujinga hiki kipo kichwani mwako?

Mi sio mjinga kama ww kufurahia upumbavu wa kushangilia vita
 
kwamba wapalestina hawawez miliki roket za namna hiyo , si juz mlisema hamas ananunua silaha ukraine kupitia black market
 
Naona mpaka nyinyi wenyewe mmeanza kuona aibu kwa mambo ya hovyo yanayo fanywa na taifa lenu teule.

Hamas imetoa wapi silaha zenye uwezo wa kuuwa watu wengi kiasi hicho?
hahaaa silaha zinapatikana mbinguni ? kwamba mdhamin wao Iran hana silaha za uzito huo ? ebu tumien akil mbus nyny
 
Sio swali la kijinga islael anawaua sana wapalestina ni vile tu swahiba wake marekan vinginevyo ingekuwa story tofauti hizo siraha zote ni za islael wanaogopa na kuona aibu wanatengeneza script waonekane ni hamas
kikundi cha kigaidi kimevamia nchini kwako na kuua watu 260 kwa mkupuo , serikali yenu ingekaa kimya ? MUDA MWINGINE TUMIEN AKILI SIO MAKALIO , MAGAID NI WENGI DUNIAN ILA KUUA WATU 260 HII NI ISHARA YA VITA NA VITA LZM UWE UMEJIPANGA LA SIVYO HAKUNA HURUMA YA HUENDA UNAULIWA SANA AU UNAUA SANA
 

Wenye akili ni hawa sio wewe mjinga
Uwe unasoma mambo na kuelewa badala ya kutumia kichwa chako kama mfuko wa kuhifadhia meno

Yani mtu anajivamia nyumbani kwake? How jinga sana ww
 
endeleen kuficha silaha huko hospitalin , mtatatndikwa tu , mlianza wenyew mnahisi ni sw kuua raia wa wenzenu lkn wenu wanawauma
 
Hamas waache kuhifadhi silaha kwenye mahospitali,wamerusha makombora Yao yametua hapo hospital walipokua wamehifadhi silaha zao nyingine kitu kikajipa halafu wanakuja singizia Israel.
Onesho silaha zilizopo kwenye hiyo hospitali.kama huna evidence shut up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…