Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

Hamas wanarusha rocket na misfire ya rocket Moja haiwezi kudismantle hospital nzima na kuua 500 people. Ile ni AIR STRIKE MISSILE.
Either walifanya by makosa au waliamua makusudi.
Maana the real aim ya hii vita na ndio maana Israel waliruhusu washambuliwe ni kuwa WANAPATAKA GAZA kuweka jews settlements maana huko kwingine kumeshajaa. So wanaforce Hao wapalestina waende Sinai peninsula desert,wao wajisogeze hapo Gaza na waongeze Hilo Li ukuta Lao. Maana nchi haiwatoshi tena.
Seems huna uelewa na zana za kivita coz umekuja na sababu ya moja kwa moja (uwezo wa roketi) ku justify nani kahusika. Kila upande anamtuhumu mwenzie, ila cha kushangaza sijaona utetezi wa Hamas ku declare kwamba hawana rockets zenye uwezo huo zaidi ya kusema ni air strike. Sijui unatumia source gani kufuatilia hili tukio na kinachoendelea baada ya hapo.
 
Hili ni swali la kijinga sana ulilouliza... Silaha ziko sehemu nyingi sana Duniani, kupata silaha sio shida... Al-shabab tu hapo wanapata Silaha, Sembuse Hamas ambao wanasapotiwa na IRAN na nchi zote za uarabuni.
Silaha nzito zinapitia wapi wakati wamezingirwa na Israel pande zote, pembeni bahari na kusini ni Misri?
 
Wamefanya,waliweka na video huko x kuisingizia Islamic jihad,baada ya mchambuzi wa video wa CNN kusema video si ya kweli, waisrael wakashusha video wamebakiza maandishi, roketi moja la kipalestina haliwezi ua watu 500 na kubomoa hospital completely,na kabla walipost video ya shambulio Hilo la ndege wakijisifia,wakaiondoa baada ya kupata matokeo ardhini
Kwenye rangi nyekundu.....sio kweli...rudia kuangalia tena ..
1697620722242.jpeg
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 ndani ya siku 30 nusu ya vita ya urusi na ukraine waliua watu 9500 miaka miwili ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Mbaya zaidi islael anaua watoto.

Israel ni taifa la hovyo.
Imefika Siku 30?
 
Hamas waache kuhifadhi silaha kwenye mahospitali,wamerusha makombora Yao yametua hapo hospital walipokua wamehifadhi silaha zao nyingine kitu kikajipa halafu wanakuja singizia Israel.
Mpaka nyinyi wenyewe mmeanza kuona aibu kwa mambo yanayo fanywa na taifa lenu teule.
 
Islael inauwa watu hadi muda huu wameua watu 4000 ndani ya siku 30 nusu ya vita ya urusi na ukraine waliua watu 9500 miaka miwili ina maan wakiongeza miez miwili washavuka mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Mbaya zaidi islael anaua watoto.

Israel ni taifa la hovyo.
ndo muache kuchokoza watu , maana mlianza wenyew kuua watu wao 260 , mnahisi kuua watu 260 ni jambo la kuchekewa?
 
ndo muache kuchokoza watu , maana mlianza wenyew kuua watu wao 260 , mnahisi kuua watu 260 ni jambo la kuchekewa?

“Muache kuchokoza watu” kiasi gani cha ujinga hiki kipo kichwani mwako?

Mi sio mjinga kama ww kufurahia upumbavu wa kushangilia vita
 
Wamefanya,waliweka na video huko x kuisingizia Islamic jihad,baada ya mchambuzi wa video wa CNN kusema video si ya kweli, waisrael wakashusha video wamebakiza maandishi, roketi moja la kipalestina haliwezi ua watu 500 na kubomoa hospital completely,na kabla walipost video ya shambulio Hilo la ndege wakijisifia,wakaiondoa baada ya kupata matokeo ardhini
kwamba wapalestina hawawez miliki roket za namna hiyo , si juz mlisema hamas ananunua silaha ukraine kupitia black market
 
Naona mpaka nyinyi wenyewe mmeanza kuona aibu kwa mambo ya hovyo yanayo fanywa na taifa lenu teule.

Hamas imetoa wapi silaha zenye uwezo wa kuuwa watu wengi kiasi hicho?
hahaaa silaha zinapatikana mbinguni ? kwamba mdhamin wao Iran hana silaha za uzito huo ? ebu tumien akil mbus nyny
 
Sio swali la kijinga islael anawaua sana wapalestina ni vile tu swahiba wake marekan vinginevyo ingekuwa story tofauti hizo siraha zote ni za islael wanaogopa na kuona aibu wanatengeneza script waonekane ni hamas
kikundi cha kigaidi kimevamia nchini kwako na kuua watu 260 kwa mkupuo , serikali yenu ingekaa kimya ? MUDA MWINGINE TUMIEN AKILI SIO MAKALIO , MAGAID NI WENGI DUNIAN ILA KUUA WATU 260 HII NI ISHARA YA VITA NA VITA LZM UWE UMEJIPANGA LA SIVYO HAKUNA HURUMA YA HUENDA UNAULIWA SANA AU UNAUA SANA
 
Wenye akili ni hawa sio wewe mjinga
IMG_1568.jpg

Uwe unasoma mambo na kuelewa badala ya kutumia kichwa chako kama mfuko wa kuhifadhia meno

Yani mtu anajivamia nyumbani kwake? How jinga sana ww
 
Ndiyo maana balozi wa Palestine UN kakutana na wanahabari na kaonesha video na tweets za Israel,na kasema Israel walisema toka mwanzo kwamba tokeni mahospitalini which means hospitals ni target,siku za uwongo wa Israel zimekwisha,mitandao ya kijamii inawatafuna,tofauti na zamani CNN na BBC tu ambao hawatoi maovu ya Israel, Hamas hawana bom moja la kuua watu 600,acha uwongo,na Wala Israel hawakusema Hamas Bali Islamic jihad na ni roketi moja lililoenda sivyo,rocket ya Islamic jihad haiwezi ua watu 600 na kubomoa ahli baptist hospital
endeleen kuficha silaha huko hospitalin , mtatatndikwa tu , mlianza wenyew mnahisi ni sw kuua raia wa wenzenu lkn wenu wanawauma
 
Hamas waache kuhifadhi silaha kwenye mahospitali,wamerusha makombora Yao yametua hapo hospital walipokua wamehifadhi silaha zao nyingine kitu kikajipa halafu wanakuja singizia Israel.
Onesho silaha zilizopo kwenye hiyo hospitali.kama huna evidence shut up.
 
Back
Top Bottom