Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

T

Yesu ni myahudi mtupu na tunaiunga mkono Israel dhidi ya magaidi

Yesu aliwaambia wayahudi

Mayahudi waliitwa: β€œKizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).

Mayahudi waliitwa β€œWazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

β€œOle wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

β€œOle wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

. β€œEnyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
 
Israeli taifa la wakristo wenzetu inaendelea kumaliza magaidi
Either wewe ni LIJINGA au LIPUMBAVU,Israel ina waislamu mara 9 ya wakristoπŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£,......jumapili kama Leo munaenda kuwatijirisha wenzenu huku wakiwaombea kwa mungu wa IsraelπŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Attachments

  • Screenshot_20241004-184152.png
    205.5 KB · Views: 2
Hata ukisemaje unakua unajisumbua tu tunaiunga mkono Israel na tunatambua kama ni wakristo wenzetu wanaofyeka magaidi sababu Israel ni taifa teule
wakiristo wenzako walioko uko Israel na maeneo mengine duniani wanaandamana kupinga ugaidi wa Netanyahu ni wewe wa ufipa tu usiyejielewa, hard-headed, mayahudi si wakiristo nenda ata ka-google ujuwe dini ya mayahudi, usiwe mjinga wa ufahamu
 
Usa ashindwe kwa iranπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ wewe sijui wa wapi??!! Na kingine kama hujui wayahudi na wakristo lao ni moja soma historia ujue usikurupuke
 
Usa ashindwe kwa iranπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ wewe sijui wa wapi??!! Na kingine kama hujui wayahudi na wakristo lao ni moja soma historia ujue usikurupuke

historia hii hapa isome wewe kama lao kweli ni moja

Your browser is not able to display this video.
 
Kama hujui
wakiristo wenzako walioko uko Israel na maeneo mengine duniani wanaandamana kupinga ugaidi wa Netanyahu ni wewe wa ufipa tu usiyejielewa, hard-headed, mayahudi si wakiristo nenda ata ka-google ujuwe dini ya mayahudi, usiwe mjinga wa ufahamu
Kama hujui kitu kaa kimya wewe nikweli ukristo na uyahudi ni ndugu kabisa kiimani,ni bora ukatulia kwenye uislam wako,hao wanaoandamana wana yao nyuma ya pazia kusiasa zaidi jiongeze wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…