Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa

Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas niachie nikupokeze mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..." kinachoendelea ni kinyume kabisa ya walichotegemea

Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
 
Duh kunajamaa yangu anakuambia bora usimuliwe hicho KISHINDO.....mengi media zinaficha hata hii hapo juu huioni kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani
Naiogopa sana Sayansi hawa watu wakiamuwa kukumaliza wanakumaliza huruma yangu tu kwa watoto wadogo wasiojuwa chochote kuwa majivu dah visasi vya Maangamizi

Mnatishia watu huko barabarani na silaha za kivita marungu mask tena nduguzenu hawana hata upinde kisa ubabe ....natamani mgekuwepo pembeni ya hiyo gharika hapo juu mjifunze .... Amani ni Tunu mtu aki chafukwa ....
Wenye kufunguwa Code mmenisoma....
 
Israel hapigani na Lebanon anapigana na magaidi Hezbollah ambao wanaitumia ardhi ya Lebanon kufanya mashambulizi kuelekea Israel
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Lebanon waligana nchi kwa misingi ya dini,

Hezbollah ni Washia na kwa sababu wanasilaha nyingi kutoka kwa Washia wenzao wa Iran wanawaonea watu wengine wasio Washia.

Israel inaonekana ni msaada kwa Wasunni na Wakristo wa middle east yote hasa Syria, Lebanon na Yemen.

Sababu kubwa Israel imetumia siku 10 tu kuipiga Hezbollah kwa sababu ya Taarifa sahihi na za kweli kutoka kwa watu wa Lebanon wasio Washia
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Jeshi la Lebanon limeenda kulinda ubalozi wa USA wakati IDF wanafanya striking. Hawa hawana tofauti na Saudi Arabia. Iran ana kazi ya kufanya hapa kuondoka huu ukiritimba uliojengwa hapa Lebanon.
 
Duh kunajamaa yangu anakuambia bora usimuliwe hicho KISHINDO.....mengi media zinaficha hata hii hapo juu huioni kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani
Naiogopa sana Sayansi hawa watu wakiamuwa kukumaliza wanakumaliza huruma yangu tu kwa watoto wadogo wasiojuwa chochote kuwa majivu dah visasi vya Maangamizi

Mnatishia watu huko barabarani na silaha za kivita tena nduguzenu hawana hata upinde jifunzeni hapo juu Amani ni Tunu mtu aki hafukwa ....
Silaha zimetoka marekani hizo
 
Back
Top Bottom