Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Nipo kwenye whatsapp group moja na Ayatollah, sijui nani ame screeshot na kumtumia hii comment yako, na yeye kaituma group na kuweka caption inasomeka; "Msiwasikilize watu wa aina hii, wanataka kutujaza ujinga halafu watuchuuze. Wasalamu waleko".
Wewe mwagilia maua hapo kigangoni acha kuota
 
Africa hakuna nchi ya kupigana na hawa jamaa....nimewaogopa sana
Hata pale Middle East hakuna wa kumbishia Israel na jana Babu Neta kawambia kuwa hakuna sehemu Middle East Israel hawezi fika.
Ule ujumbe ni kuwa acha au tukufuate
 
Hata pale Middle East hakuna wa kumbishia Israel na jana Babu Neta kawambia kuwa hakuna sehemu Middle East Israel hawezi fika.
Ule ujumbe ni kuwa acha au tukufuate
Netanyahu mikwara mingi Leo mwaka mzima kashindwa kuwapata wayahudi zaidi ya 100 hapo Gaza tu puwa na mdomo itakua hayo mengine?
 
Duh kunajamaa yangu anakuambia bora usimuliwe hicho KISHINDO.....mengi media zinaficha hata hii hapo juu huioni kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani
Naiogopa sana Sayansi hawa watu wakiamuwa kukumaliza wanakumaliza huruma yangu tu kwa watoto wadogo wasiojuwa chochote kuwa majivu dah visasi vya Maangamizi

Mnatishia watu huko barabarani na silaha za kivita marungu mask tena nduguzenu hawana hata upinde kisa ubabe ....natamani mgekuwepo pembeni ya hiyo gharika hapo juu mjifunze .... Amani ni Tunu mtu aki chafukwa ....
Wenye kufunguwa Code mmenisoma....
Haya mapolisiccm wanamzingira Mbowe na mabunduki kibao wakati Hana hata kisu? Aisee! Waende Lebanoni waone magaidi!
 
Kwahiyo hawa waliopiga Israel asubuhi hii ni mashetani siyo? Mtaongea yote subirini
Mashambulizi ya Israel dunia yote inashuhudia halafu Israel wenyewe hawaingea, ila mashambulizi ya Hezbollah ni Hezbollah mwenyewe anayekuwa ana claim na kutuma video lakini wengine hawaini nje ya hizo video na zitazungushwa hizo video mbele kwenye magrupu yote duniani🤣🤣 na kila chombo kitakwa 'They claim'.
Kama hii habari yako kila chombo kinasema they claim to attack lakini picha inayopamba in the background ni lile tukio la bomb burster🤣🤣
 
Duuuh kelele zote zile kwamba hao ndio kiboko ya Israël mbona wanabondwa kuliko hata wale ndugu zao Hamas..

Kweli mwarabu ni kiumbe dhaifu!
 
Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa

Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas niachie nikupokeze mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..." kinachoendelea ni kinyume kabisa ya walichotegemea

View attachment 3108670
Tunautaka uongozi BAQWATA utoe tamko
 
Back
Top Bottom