Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Wewe mwagilia maua hapo kigangoni acha kuotaNipo kwenye whatsapp group moja na Ayatollah, sijui nani ame screeshot na kumtumia hii comment yako, na yeye kaituma group na kuweka caption inasomeka; "Msiwasikilize watu wa aina hii, wanataka kutujaza ujinga halafu watuchuuze. Wasalamu waleko".
wao hawana wa kuwapa silaha?Silaha zimetoka marekani hizo
Hawapewi wanatengeneza wenyewewao hawana wa kuwapa silaha?
Hata pale Middle East hakuna wa kumbishia Israel na jana Babu Neta kawambia kuwa hakuna sehemu Middle East Israel hawezi fika.Africa hakuna nchi ya kupigana na hawa jamaa....nimewaogopa sana
Kwahiyo hawa waliopiga Israel asubuhi hii ni mashetani siyo? Mtaongea yote subiriniMlisema hana ubavu wa kuipiga Hezbollah kaisambaratisha in 10 days
Sema akya mungu!Israel anajiandaa kutangaza kusimamisha vita Hali ni tete
Netanyahu mikwara mingi Leo mwaka mzima kashindwa kuwapata wayahudi zaidi ya 100 hapo Gaza tu puwa na mdomo itakua hayo mengine?Hata pale Middle East hakuna wa kumbishia Israel na jana Babu Neta kawambia kuwa hakuna sehemu Middle East Israel hawezi fika.
Ule ujumbe ni kuwa acha au tukufuate
Middles East is Mossad's play groundIsrael Hana ubavu wa kuipiga Iran atazionea tu vinchi vidogo vidogo Tena kwa msaada wa marekani
Haya mapolisiccm wanamzingira Mbowe na mabunduki kibao wakati Hana hata kisu? Aisee! Waende Lebanoni waone magaidi!Duh kunajamaa yangu anakuambia bora usimuliwe hicho KISHINDO.....mengi media zinaficha hata hii hapo juu huioni kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani
Naiogopa sana Sayansi hawa watu wakiamuwa kukumaliza wanakumaliza huruma yangu tu kwa watoto wadogo wasiojuwa chochote kuwa majivu dah visasi vya Maangamizi
Mnatishia watu huko barabarani na silaha za kivita marungu mask tena nduguzenu hawana hata upinde kisa ubabe ....natamani mgekuwepo pembeni ya hiyo gharika hapo juu mjifunze .... Amani ni Tunu mtu aki chafukwa ....
Wenye kufunguwa Code mmenisoma....
Subiri utaasikiaSema akya mungu!
Washakufa wote hadi SinwarNetanyahu mikwara mingi Leo mwaka mzima kashindwa kuwapata wayahudi zaidi ya 100 hapo Gaza tu puwa na mdomo itakua hayo mengine?
Swali la kipuuzi kwani IDF wanaokufa Kila siku ndani ya Israeli wanauliwa vipi?Middles East is Mossad's play ground
Jiulize Haniyeh kauliwa vp ndani ya Iran
Tumeshazoea uongo wa Israel. Hamas au Hezbollah wakikuambia kuwa flani kafa amini ila usiamini taarifa za IDFWashakufa wote hadi Sinwar
Mashambulizi ya Israel dunia yote inashuhudia halafu Israel wenyewe hawaingea, ila mashambulizi ya Hezbollah ni Hezbollah mwenyewe anayekuwa ana claim na kutuma video lakini wengine hawaini nje ya hizo video na zitazungushwa hizo video mbele kwenye magrupu yote duniani🤣🤣 na kila chombo kitakwa 'They claim'.Kwahiyo hawa waliopiga Israel asubuhi hii ni mashetani siyo? Mtaongea yote subirini
'They claim'🤣🤣Subiri utaasikia
Acha ubishi, kumbuka kumswalia Sinwar apumzike kwa amaniTumeshazoea uongo wa Israel. Hamas au Hezbollah wakikuambia kuwa flani kafa amini ila usiamini taarifa za IDF
Wiki moja tu chaliDuuuh kelele zote zile kwamba hao ndio kiboko ya Israël mbona wanabondwa kuliko hata wale ndugu zao Hamas..
Kweli mwarabu ni kiumbe dhaifu!
Tunautaka uongozi BAQWATA utoe tamkoMakao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa
Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.
Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas niachie nikupokeze mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..." kinachoendelea ni kinyume kabisa ya walichotegemea
View attachment 3108670