Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

Webabu Adiosamigo niliwaambia ni Suala la muda tu
 
Sioni sababu ya msingi ya kupigana (kuuana ) hapa duniani wakati tumekuja kutalii tu kwa muda kidogo kisha turejee tulikotoka.
Nadhani Mwenyezi Mungu huwa anawashangaa sana wanadamu.
Watu wanapambana utadhani hii dunia wanaishi milele.
Ila hapo middle east kuna watu watata Sana.
Pale hata wakimuondoa Israel bado watapigana wenyewe Kwa wenyewe.
Mfano Sudan wote ni dini moja,ila ukiangalia wale makamanda wanavyopambana kutaka madaraka huku watu wanakufa na wengine kukimbia nchi yao unastaajabu sana.
Ngoja tuone mwishowake utakuaje.
Ila ningekuwa na uwezo kuna kizazi na ukanda fulani ningeuondoa kabisa huku Duniani.
 
Sioni sababu ya msingi ya kupigana (kuuana ) hapa duniani wakati tumekuja kutalii tu kwa muda kidogo kisha turejee tulikotoka.
Nadhani Mwenyezi Mungu huwa anawashangaa sana wanadamu.
Watu wanapambana utadhani hii dunia wanaishi milele.
Ila hapo middle east kuna watu watata Sana.
Pale hata wakimuondoa Israel bado watapigana wenyewe Kwa wenyewe.
Mfano Sudan wote ni dini moja,ila ukiangalia wale makamanda wanavyopambana kutaka madaraka huku watu wanakufa na wengine kukimbia nchi yao unastaajabu sana.
Ngoja tuone mwishowake utakuaje.
Ila ningekuwa na uwezo kuna kizazi na ukanda fulani ningeuondoa kabisa huku Duniani
 
Nasrullah kaliwa kichwa
 
Baada ya shambulio hili NETANYAU amempigia simu waziri wa ulinzi akimwambia aongeze mashambulizi makali zaidi(NETANYAU ni zaidi ya chizi).

Kama kawaida wakazi wa vitongoji vya kaserwan,kahala,Aley,Jbeil na Tripoli wamepewa SAA moja ya kujiandaa kuhama kwenye nyumba zao na kwenda wilaya nyingine
 
All the best 🇮🇱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…