Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Acha kuchekesha watu,yaani chanzo chako cha habari ni Iran observer,hakuna habari hapo,hizo propaganda za ayatollah na chawa wake lakini Israel (taifa teule) hali ni shwari kabisa na magaidi yanazidi kupelekewa moto maana ndio lugha yanaelewa.Wenzako wanajificha kwenye mahema huko Israeli wewe unapiga domo huko tandika.
Leta facts acha porojoNamna unavyoandika ni kama mtu aliyevaa miwani ya mbao asione kabisa,yaani akili yako haiko tayari kupokea tofauti na kile ulichokariri/karirishwa!
Inatia uvivu kuanza kumuelimisha mtu wa namna hii!
Ayatollah kaishiwa propaganda mpaka kaanza kutumia picha za 2021 😂😂😂😂😂😂😂Wenzako wanajificha kwenye mahema huko Israeli wewe unapiga domo huko tandika.
Picha yenyewe ni ya 2021😂😂😂Acha kuchekesha watu,yaani chanzo chako cha habari ni Iran observer,hakuna habari hapo,hizo propaganda za ayatollah na chawa wake lakini Israel (taifa teule) hali ni shwari kabisa na magaidi yanazidi kupelekewa moto maana ndio lugha yanaelewa.
Unajua unachokiongea au...Hitler na Wajapan walijisemeshaga hivyo hivyo kilichowakuta kila mtu anajua, Zionism ideology sijui inahitaji kuifanya nn dunia wakimalizana na waarabu watakuja kusema Afrika ni yao sijui utakubali...Israel keshasema anaweza piga middle east yote wewe ka tulia enjoy the moment wew si unafurahia downfall ya Israel hutakiwi kuwaonea huruma Wala kuwakosoa subria Iran ipige tukio uje kifua mbele netanyau anajua achofanya
Misikitini Huwa mnafundishwa haya?Wamechanganyikiwa walijua Hamas ni wiki 1 tu watakua wamewamaliza wanashangaa wanaume bado wanawashughulikia . Kwa hasira wanaua raia , watoto na watoa missada.
Hebu twende kama wewe utakavyo halafu nione tuone kama mind yako iko free!Leta facts acha porojo
Hili suala linajukana siku nyingi, hii ni Report ya UN ikikiri Hamas wanarusha rockets toka kwenye mashule
UN admits Palestinians fired rockets from UNRWA schools
UN admits Palestinians fired rockets from UNRWA schools - UN Watch
Umeandika mengi Ila sijaona la maana.Hebu twende kama wewe utakavyo halafu nione tuone kama mind yako iko free!
Israel na collective west wamepitisha kuwa Hamas ni terrorist group!Kwa maana hiyo IDF imeingia Gaza kupambana na kikundi cha kigaidi!Kwahiyo sitegemei uniambie hapa kuwa kikundi ambacho kimetambulika kama cha kigaidi kifuate sheria za vita,unless huo ugaidi ni propaganda!Tuje kwa IDF,yenyewe ikifanya mauaji holela huko gaza basi na yenyewe inapaswa kutambulika kama kikundi cha kigaidi!Sheria ya kimataifa inasema kunatakiwa kuwe na proportionality!Huwezi kutupa bomu kwenye halaiki ya watu kisa tu kuna hamas umejua wapo humo!Kama unakumbuka IDF iliingia kwenye lawama baada ya kuua mamia ya raia katika shambulio moja,Israel ikaja kujitetea kuwa kulikuwa na kamanda mmoja wa Hamas!Ndio swali linakuja,kuna justification kuua mamia ya raia wakiwamo watoto na wanawake kisa unataka roho ya kamanda mmoja?Ndio hapo int law inataka kuwe na proportion!
IDF imefanya matukio mengi gaza ambayo ni kinyume na int law na imekuwa ikikaidi uchunguzi kufanyika!Kwa mantiki hiyo,kama israel haifuati int law basi haina tofauti na Hamas!IDF nao watambulike kama kikundi cha kigaidi ili sasa na wao waendelee kuua watu kiholela kama wafanyavyo!
Sir John Roberts kweli umeishiwa propaganda hebu soma tarehe kwenye hio picha 12 may 2021Wenzako wanajificha kwenye mahema huko Israeli wewe unapiga domo huko tandika.
Ndio maana nikasema akili yako tayari iko biased,huangalii facts!Wewe unaendeshwa na hisia!Ni vigumu sana kufanya mjadala na wewe,tutaishia tu kwenye maneno ya rejareja!Uwe na mchana mwema!Umeandika mengi Ila sijaona la maana.
IDF wanafanya makosa kuua kamanda mmoja kwenye halaiki ya watu Ila Hamas inafanya sawa kurusha maelfu ya maroketi kwenye maeneo ya raia kule Israel?!
Gaidi linajificha nyuma ya kinamama na watoto halafu likifumuliwa mnalalamika likiachwa mnasema Israel dhaifu. Juzi magaidi yamedakwa pale Shifa hospital ikiwemo kamanda mmoja wa Hamas, wakipigwa wanakimbilia Al Jazeera kujiliza. UPUUZI!!!!
Unaporusha roketi tokea shule, jengo la raia tayari hiyo inakua legitimate target. Hata Urusi mwanzoni ilikua ikishambulia sehemu za raia ambazo Ukraine ilikua ikitumia kurusha makombora.Hebu twende kama wewe utakavyo halafu nione tuone kama mind yako iko free!
Israel na collective west wamepitisha kuwa Hamas ni terrorist group!Kwa maana hiyo IDF imeingia Gaza kupambana na kikundi cha kigaidi!Kwahiyo sitegemei uniambie hapa kuwa kikundi ambacho kimetambulika kama cha kigaidi kifuate sheria za vita,unless huo ugaidi ni propaganda!Tuje kwa IDF,yenyewe ikifanya mauaji holela huko gaza basi na yenyewe inapaswa kutambulika kama kikundi cha kigaidi!Sheria ya kimataifa inasema kunatakiwa kuwe na proportionality!Huwezi kutupa bomu kwenye halaiki ya watu kisa tu kuna hamas umejua wapo humo!Kama unakumbuka IDF iliingia kwenye lawama baada ya kuua mamia ya raia katika shambulio moja,Israel ikaja kujitetea kuwa kulikuwa na kamanda mmoja wa Hamas!Ndio swali linakuja,kuna justification kuua mamia ya raia wakiwamo watoto na wanawake kisa unataka roho ya kamanda mmoja?Ndio hapo int law inataka kuwe na proportion!
IDF imefanya matukio mengi gaza ambayo ni kinyume na int law na imekuwa ikikaidi uchunguzi kufanyika!Kwa mantiki hiyo,kama israel haifuati int law basi haina tofauti na Hamas!IDF nao watambulike kama kikundi cha kigaidi ili sasa na wao waendelee kuua watu kiholela kama wafanyavyo!
Kwanini niendeshwe na hisia wakati vitu viko wazi kabisaNdio maana nikasema akili yako tayari iko biased,huangalii facts!Wewe unaendeshwa na hisia!Ni vigumu sana kufanya mjadala na wewe,tutaishia tu kwenye maneno ya rejareja!Uwe na mchana mwema!
We ni mpumbavuKwa nini Urusi haipigi mabomu ikulu ya Kyiv aisambaratishe ?
Mara ngapi israel wametishiwa kupigwa nuke na iranAu wafanyiwe walichofanyiwa Wajapani wakati wa vita kuu ya dunia?.
Labda mtoa mada hujui kwamba Israeli imekuaHili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.
Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?
Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?
Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.
Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.
Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.
Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Ndio maana nikakwambia lazima kuwe na proportionality!Hapa tunazungumzia int law!Unaporusha roketi tokea shule, jengo la raia tayari hiyo inakua legitimate target. Hata Urusi mwanzoni ilikua ikishambulia sehemu za raia ambazo Ukraine ilikua ikitumia kurusha makombora.
U.N. Says Ukraine Bears Share of Blame for Nursing Home Attack
Share:
Two weeks after Russia launched its invasion of Ukraine, Kremlin-backed rebels assaulted a nursing home in the eastern region of Luhansk. Dozens of elderly and disabled patients, many of them bedridden, were trapped inside without water or electricity.
The March 11 assault sparked a fire that spread throughout the facility, suffocating people who couldn’t move. A small number of patients and staff escaped and fled into a nearby forest, finally getting assistance after walking several miles.
In a war awash in atrocities, the attack on the nursing home near the village of Stara Krasnyanka stood out for its cruelty. And Ukrainian authorities placed the fault squarely on Moscow, accusing Russia of killing more than 50 vulnerable civilians in a brutal and unprovoked attack.
But a new United Nations report has found that Ukraine’s armed forces bear a large, and perhaps equal, share of the blame for what happened at the care home in Stara Krasnyanka, which is about 360 miles southeast of Kyiv. A few days before the March 11 attack, Ukrainian soldiers took up positions inside the nursing home, effectively making the building a target. U.N. Says Ukraine Bears Share of Blame for Nursing Home Attack
kwani Israeli amepiga bomu ikulu Tehran?Kwa nini Urusi haipigi mabomu ikulu ya Kyiv aisambaratishe ?