Sheria zipo lakini kunapotokea vita mara nyingi sheria hizo zinavunjwa.Ndio maana nikakwambia lazima kuwe na proportionality!Hapa tunazungumzia int law!
The principle of proportionality (Article 51(5) (b) API) states that even if there is a clear military target it is not possible to attack it if the expected harm to civilians, or civilian property, is excessive in relation to the expected military advantage.
Wanalinda raia wao! Sio kama Hamas wanaanzisha vita halafu wanakimbilia kujificha nyuma ya wanawake na watoto. Bure kabisa haya magaidiWenzako wanajificha kwenye mahema huko Israeli wewe unapiga domo huko tandika.
Tatizo ni Bwana Manyau na Mjukuu wake Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy ... hawa watu waanataka kuingizi Dunia kwenye Vita visivyotuhusu... Mkombozi hapa ni Trump tu...hizi Vita zitaisha baada ya Marekani kuacha kulipia gharama za kuendesha hizi vita.Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.
Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui nini kinawasibu au overconfidence ya kuwa wana backup kubwa ya mataifa ya magharibi ?
Unajiuliza taifa lako lipo kwenye vita ambayo hata hamjaimaliza wala malengo yenu kutimia bado hapo hapo unashambulia balozi za taifa hasimu lako hawa watu wapo timamu ?
Hivi hata washauri wenye hekima kwenye jeshi lao wapo ? Au kwao kila kitu nguvu akili kisoda. Unaweza vipi kushambulia ubalozi wa taifa lengine kama kweli wewe ni nchi unayo jitambua.
Huyu Israel hapo mashariki ya kati hana tofauti na Japan wakati ule wa miaka ya vita vya dunia kule Asia.
Japan alikuwa kama amechanganyikiwa yeye kila jirani yake ni kuanzisha ugomvi pale anapoa jisikia bila kujali madhara ila baada kutulizwa katulia tuli hadi leo sawa tu na ujerumani.
Nae huyu Israel anaelekea kulekule kwenye kutulizwa.
Kwa hii vita ya Gaza imezidi kipimo,imevunja record nyingi za vita combined!Ndio maana hata ICJ wameona kuna viashiria vya Genocide!Hii vita kinachofanyika ni collective punishment!Sheria zipo lakini kunapotokea vita mara nyingi sheria hizo zinavunjwa.
Rejea Iraq War, Ukraine war, Gaza war.
Kama putin eeh kobaz wanafiki sana kwa hiyo hadi sasa putin kashindwa kisa vita havijaisha?Wamechanganyikiwa walijua Hamas ni wiki 1 tu watakua wamewamaliza wanashangaa wanaume bado wanawashughulikia . Kwa hasira wanaua raia , watoto na watoa missada.
Mudi mtoe hatumtambui usimjumuishe na mitume wa kweli.Vita ina sheria zake wewe hii ipo tangu enzi za mitume.
Mwambie putin unaona anachelewa eeeh?maziro mnasumbua sana,umesoma islamic school gani?Kwa nini Urusi haipigi mabomu ikulu ya Kyiv aisambaratishe ?
Unaruhusiwa kujifariji hali ni mbaya sana hapo Israeli kwasasaAcha kuchekesha watu,yaani chanzo chako cha habari ni Iran observer,hakuna habari hapo,hizo propaganda za ayatollah na chawa wake lakini Israel (taifa teule) hali ni shwari kabisa na magaidi yanazidi kupelekewa moto maana ndio lugha yanaelewa.
Ayatollah haongeagi mara 2Ayatollah kaishiwa propaganda mpaka kaanza kutumia picha za 2021 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo picha zimetoka hapa OPINION: Huddled in the bomb shelter, waiting for the boom ni taarifa ya 2021.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fresh tu mbona nyie udugu wenu hauna mipaka(dunia nzima) hata awe jambazi ni ndugu katika imani na tunaona mnavyoteteana katika conditions zote ,hayo ndio madhara ya mtume wenu kuwahi kuwa mshika jambia,mnapenda sana shari.Unajua unachokiongea au...Hitler na Wajapan walijisemeshaga hivyo hivyo kilichowakuta kila mtu anajua, Zionism ideology sijui inahitaji kuifanya nn dunia wakimalizana na waarabu watakuja kusema Afrika ni yao sijui utakubali...
Wewe Sunday school padre aliacha kukuchezea baada ya kipaimara au kabla.Misikitini Huwa mnafundishwa haya?
Tulia we mlokole upige makofi hosssana juu mbinguni.Mudi mtoe hatumtambui usimjumuishe na mitume wa kweli.
Kwa vita ya Gaza sikatai.Kwa hii vita ya Gaza imezidi kipimo,imevunja record nyingi za vita combined!Ndio maana hata ICJ wameona kuna viashiria vya Genocide!Hii vita kinachofanyika ni collective punishment!
Kauli hizo zilisema mwanzo kabisa na viongozi wa Israel kabla ya vita kuanza!Walisema "we are fighting human animals so no food,no water,no energy,nothing"!Ndicho kimechotokea!
Baadhi ya record hii vita iliyovunja ni kama hizi
*Kuua watoto wengi zaidi kwa muda mfupi kuliko vita nne za hivi karibuni combined!
*Kuua AID workers wengi zaidi kuliko vita yeyote ile!
*Kuua wauguzi wengi zaidi
*Kushambulia hospital nyingi zaidi
*Kushambulia vituo vingi zaidi vya UN
Tulia wewe mvaa rozari Hamas watawanyoosha tu mtake msitakeKama putin eeh kobaz wanafiki sana kwa hiyo hadi sasa putin kashindwa kisa vita havijaisha?
Wangekua wanajua kulinda raia wao wale 1400 wa tarehe 7 oktoba wangekua hai mpaka leoWanalinda raia wao! Sio kama Hamas wanaanzisha vita halafu wanakimbilia kujificha nyuma ya wanawake na watoto. Bure kabisa haya magaidi
Kwa taarifa yako Kuna vitu hizi serikali huviacha vitokee for the great causeWangekua wanajua kulinda raia wao wale 1400 wa tarehe 7 oktoba wangekua hai mpaka leo
Oct 7 ilikua shambulizi la ghafla.Wangekua wanajua kulinda raia wao wale 1400 wa tarehe 7 oktoba wangekua hai mpaka leo
Mkuu umekunywa wanzuki?Israel ni kama genge la wahuni, vibaka na watu wasiowatakia mema wananchi wao.
Hata US mwenyewe licha ya kuwa na misilaha, uchumi wa hali ya juu na nguvu za kijeshi hajawahi kufanya huo ujinga kushambulia makamanda wa North Korea licha ya NK kutest makombora kila siku.
Israel haifahamu vita ikoje wanaume waliopigana WWII wanafahamu vita ipo vipi, achana na huyo kichaa anajisifu na six days war na operation Entebbe.
Watu wanetwangana vita karibu miaka 7, Iran imepigana miaka 8 chini ya vikwazo akiwepo Sadam akisaidiwa na USSR, Europe ,US Saudia , Qatar n.k Iran ni kama ilikuwa inapigana na dunia lakini wanaume akuna mpuuzi alipiga hatua hata km 1 kwenye mipaka yake. Hilo battle Israel haiwezi miaka 100.
Wanaoifahamu vita wanapenda amani.
Israel kushambulia balozi ya Iran ni kucheza mind game na kuionyesha dunia kwamba bado ina nguvu na haitetereshwi na kikundi kidogo kama Hamas lakini deeply inside jamaa wapo hoi na nafikiri hadi hivi sasa wanajutia walichofanya.
Unaweza kutambua kwamba Israel ipo hoi kutokana na Iran hatua iliyoichukua hajawahi kutokea, intelligence ya Iran imegundua jamaa ni mdebwedo na wamefanya calculation zao wameona Israel ni paka tu. Middle East intelligence ya Iran ipo juu sana wale sio walevi kukurupuka.
Wanaoifahamu vita ni wapenda amani lakini ni mashetani wanyonya damu endapo wakiamua kuingia vitani.
Hata US hakujibu Iran ilipopiga kambi zake pale Iraq kwa sababu wanaifahamu vita itakuaje.