Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

Kuna hadithi ya Mtume Muhammad Israel atafika mpaa Damascus, afu bada ya hapo ndipo itakombolewa Palestine, na haswa Masjid Al Aqsa.

Kwa hio kila Israel akimeza Syria ndio anajichimbia kaburi lake. Hata wayahudi wanajua hayo.
"Hadithi"!
 
Hakuna kitu kama hicho ,hizo ni hadithi za Abunuasi
 
Walivyoupamba kwa uzuri dah! Sema ni vile tone la maji jangwani huwa na thamani kuu!

Siamini kama huo mlima ni mzuri kuliko the Alps, Andes, Rocky, Himalayas, au hata Mt. Kilimanjaro. Ni vile upo eneo watu waliamka mapema huku kwingine tukiitwa washenzi.
🤣🤣🤣Dah wewe jamaa
 
Kuna hadithi ya Mtume Muhammad Israel atafika mpaa Damascus, afu bada ya hapo ndipo itakombolewa Palestine, na haswa Masjid Al Aqsa.

Kwa hio kila Israel akimeza Syria ndio anajichimbia kaburi lake. Hata wayahudi wanajua hayo.
Hiyo imeandikwa wapi.?
 
Oh great! What about this one - Mt. Hermoni!? Uko kwenye maandiko yoyote?
Mlima Moria mdip Ibrahimu alipewa agizo la kumtoa Isaka kama sadaka (Mwanzo 22:2).

Eneo hilo ndio pia mahali ambapo Hekalu la Sulemani lilijengwa huko Yerusalemu, kulingana na maandiko ya 2 Mambo ya Nyakati 3:1. Ulipo mlima Moria ndiyo sehemu ya Yerusalemu, hasa pale ambapo ipo Dome of the Rock.

Wakati Mlima Hemoni, Zaburi 133:3, "Ni kama umande wa Hermoni, ushukao juu ya milima ya Sayuni."

Katika Agano Jipa, kuna wanaamini kuwa Yesu alibadilika sura (Transfiguration) pale Hermoni (Mathayo 17:1-9), ingawa wengine hudhani kuwa tukio hilo lilifanyika Mlima Tabor.
Hermoni iko kaskazini mwa Israeli, karibu na mpaka wa Lebanon na Syria. Ni mlima mkubwa zaidi katika eneo hilo, unakaribia kuringana urefu na Milima ya Rungwe na Uluguru. pia ni chanzo muhimu cha maji yanayolisha Mto Yordani.
 
Inasikitisha sana.....uko Syria

Ufunuo 13:11-18 inatimia, USA inatenda kama joka na ita SUBJUGATE(tiisha) mashariki ya kati yote na kupachika World federation. Vita vya Syria ni njia ya kuifikia Iran kisha uchumi utatikiswa na nchi nyingi zitasalimu amri ikiwemo China.
 
Halafu wabongo nao wanashangilia huu ujinga wa nchi moja kuchukua sehem ya nch nyingine
Kwa asili Israel alipoteza maeneo mengi sana yalivyotajwa katika Biblia, akisema ayakomboe yote ataingia migogoro karibu nchi zote za jirani. Mahusiano yake na Mungu yalipoharibika Mungu akaruhusu watawanywe kama adhabu na kupoteza ardhi kubwa sana.
 
Mlima Moria mdip Ibrahimu alipewa agizo la kumtoa Isaka kama sadaka (Mwanzo 22:2).

Eneo hilo ndio pia mahali ambapo Hekalu la Sulemani lilijengwa huko Yerusalemu, kulingana na maandiko ya 2 Mambo ya Nyakati 3:1. Ulipo mlima Moria ndiyo sehemu ya Yerusalemu, hasa pale ambapo ipo Dome of the Rock.

Wakati Mlima Hemoni, Zaburi 133:3, "Ni kama umande wa Hermoni, ushukao juu ya milima ya Sayuni."

Katika Agano Jipa, kuna wanaamini kuwa Yesu alibadilika sura (Transfiguration) pale Hermoni (Mathayo 17:1-9), ingawa wengine hudhani kuwa tukio hilo lilifanyika Mlima Tabor.
Hermoni iko kaskazini mwa Israeli, karibu na mpaka wa Lebanon na Syria. Ni mlima mkubwa zaidi katika eneo hilo, unakaribia kuringana urefu na Milima ya Rungwe na Uluguru. pia ni chanzo muhimu cha maji yanayolisha Mto Yordani.
Mavazi yake yakawa meupe kama theluji! Mlima Hermoni una theluji ule. Asante Kiongozi.
 
Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel.

Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa wa kudhoofisha majeshi ya Assad kwa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za Assad, msaada huu umechangia pakubwa waasi kuitwaa nchi, hivyo wamewapa eneo hili la kimkakati kama "Asante"

Faida kwa Israel kuchukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermon

Kilele cha Mlima Hermon ni mahali pa juu kabisa, kinachowezesha Israeli kufuatilia harakati za kijeshi za Syria na Hezbollah kutoka mbali.

Mahali hapa pa juu hufanya kuwa vigumu kwa adui kushambulia Israeli moja kwa moja bila kutambuliwa.

Israel inaweza kusakinisha mifumo ya hali ya juu ya rada na vifaa vya mawasiliano kwa ajili ya kuchunguza harakati za vikosi vya adui, mizinga, makombora, au ndege zisizo na rubani.

Movement za Hezbollah za kusafirisha silaha kutoka Syria kwenda Lebanon au mipango ya uvamizi zinaweza kufuatiliwa mapema.

Kilele hiki kinatoa nafasi nzuri ya kijeshi kulinda mipaka ya kaskazini ya Israel, hasa kutoka kwa shambulio lolote la anga au ardhini.

Milima ya Hermon ni njia muhimu ya usafirishaji wa silaha kati ya Syria na Hezbollah. Udhibiti wa Israel utaifanya kuwa vigumu kwa wapinzani kutumia njia hiyo.

View attachment 3172549

Ukitaka kunua kwa nini israel hiyo milima ya golani ni muhimu kwake angalia hii clip

View: https://youtu.be/ENumCCEQ9yU?si=aSJj7pHWj15wHS2A

Hiyo clip itakuonyesha kwa nini Israel ili awe na amani ni lazima ahakikishe anakuwa step moja mbele ya adui zake ambao kazungukwa nao la
Sivyo atafutwa kwenye uso wa dunia

Pamoja na kupokea misaada ya US lakini jews wenyewe wako smart sana

La sivyo misaada bila kuwa inteligent ni bure.. ushahidi tunao afrika huku
 
Kuna series yake ipo, hawa jamaa linapokuja suala la kukusanya intelejensia watafanya usichofikiria

View: https://www.youtube.com/watch?v=5UijUOy0MmE
 
Huu ni mlima ambao Malaika waasi walishuka kutoka mbinguni.watoto wao wanataka kuuchukua
 
Nimesoma Article ya press TV Iran wanapatwa na donge mno kuhusu Golan eti Israel anapata faida nyingi za kiuchumi kwenye milima maji ya chini ya ardhi ya milima ndio inanywesha waisrael pia kwenye milima hiyo kuna reserves ya mamilion ya mafuta. So wanajaribu kuleta uchochezi ili waasi waingie chaka la kupigania kisha wajitokeze kama kawaida yao eti kusaidia hahaha Netanyahu keshasema anakata mikono yote miwili kwa anayetaka super ring na Israel.. no more kucheka na nyani ni kuzabua tu haswa ukijua hakuna anayekupenda.

Kiufupi Waasi wamesema No ti Iran yaani wamempa ile do me a favor plz gerara here you know whara am saying shit
 
Back
Top Bottom