Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

Mbinu ni kupiga risasi Kijiji kimoja mkifika cha pili raia wenyewe wanataja nani ni mwenyeji nani si mwenyeji na tayari mnawapata.
Mbona hii mbinu ilitumika hata hapo Uganda baada ya Tz kumshinda Amin ambapo wanajeshi wa Uganda walivua gwanda na kupigana kea kustukiza wakiwa kama raia.
 
Hamna waasi wa aina hiyo Drc, waasi wa Drc ni kama Codeco, maimai na wengine kutoka nchi jirani kama Fdlr, Adf.....

Hao uliowaona ni jeshi vamizi kutoka nchi jirani na Drc linalotumia kivuli cha M23 kuendesha shughuli zao huko.
Richard Moronight walker
 
Nimejaribu kuwafuatilia M23 sana nimegundua sio wale wa 2013 sasa hivi wana silaha Nzito na wako well organized nimeona wakishambulia possitions za Jeshi la DRC kwa Grad Missille launchers.
Hizo silaha nzito wamepata wapi?..kama sio ufadhili wa nchi hasimu ?.. kwanini wao tu wawe nazo na sio makundi mengine ya waasi ?
 
Askari tunaopeleka ni kwa ajili ya kwenda kuwafunza Jeshi la Kongo jinsi ya Upiganaji na nidhamu ya Jeshi sio kama walivyo sasa Askari yuko Frontline amelewa chakari na ana simu mkononi anasikiliza miziki.
Mwaka flan UN ilikataa ikabidi wake wàfundishiwe bongo..
Baadae tz ilashambuliwa na m23 mda mchache tu baada ya mizinga na silaha zingine kurudishwa nyumbani baada ya agizo LA UN
 
Huyo mzee ni Luten general mstaafu kwa walio karibu wanadai mzee anaishi zama za mawe yawezekana hata hajui kinachoendelea now
 
wasipo muondoa uganda katika kudi lao la opperation ujue watauwawa sana, jeshi zima la uganda ni watusi, watajifanya wapo nao kumbe wanawajulisha wenzao watusi wa m23 position zote, uganda na rwanda na hao m23 woote ni watusi nia yao ni kuitawala africa mashariki yote wawe wao watusi kwenye uongozi, watusi wapo wengi sana tanzania wamejipenyeza serikali na wameshika nafasi kubwa kubwa tatizo hakuna wa kuwachunguza asili zao. tanzania wao wamebaki kuwachunguza wasomali wazawa na wahindi wazawa na warabu wazawa. lakini watusi wamejaa mpaka uhamiaji
 
Taja waziwazi wao viongozi wakubwa wa kitusi walijipenyeza humu nchini.
 
Turudi kwenye lile swali...kwanini iitwe anti-tusis propaganda na sio anti-hutu ?....kwani Rwanda ndio muwakilishi wa watusis wote wa ukanda huu ?
Hili Anti Tutsis Propganda ilianzishwa kipindi cha utawala wa George Kaibanda na ikaendelezwa na Utawala wa Habyarimana ambae alikataa kabisa kuruhusu Wakimbizi wa Kitutsi waliokuwa Uganda kurudi Nyumbani kwao Rwanda.

Umma wa Rwanda uliaminishwa kuwa Watutsi ni INYENZI

Watutsi walipoamua kurudi kwao kwa kutumia Mtutu Habyarimana akaja kusaidiwa na Majeshi ya Zaire DRC ya leo kwa hiyohiyo ajenda ya Anti Tutsi ajenda.

Mimi nimekaa sana Rwanda ya Habyarimana nilkuwa najionea live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…