MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Dah! Mbowe mwongo sana. Kaudanganya umma wa nyumbu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima uombe ulinzi wa polisi ili walinde amani katika maandamano yako. Bila polisi chawa wanaweza kujipenyeza na kuanzisha vurugu na uvunjifu wa amani ikawa ndiyo precedent ya kupokonywa hiyo haki ya kikatiba.Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba yamegeuka barua ya mapenzi ya kizamani mpaka wasubiri majibu ya kukubaliwa kwa barua?
Taarifa za awali zinasema walikuwa kwenye kikao, Mbowe sio kichaa akurupuke kusema ambacho hawakuwa wamekubaliana.Ni lazima uombe ulinzi wa polisi ili walinde amani katika maandamano yako. Bila polisi chawa wanaweza kujipenyeza na kuanzisha vurugu na uvunjifu wa amani ikawa ndiyo precedent ya kupokonywa hiyo haki ya kikatiba.
Polisi nao wana haki ya kukataa hasa wakiwa na taarifa za kiintelijensia kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani.
Ni haki ya kikatiba ndiyo lakini ni lazima kuwe na utaratibu!
Mbowe kaona hana jipya kaamua kutunga uongo eti polisi wemekubali bila hata kuwaonesha nyumbu kibali. Sasa watalalamika kwamba wamenyang'anywa kibali. Kumbe hakukuwa hata na mtu wa kuandamana.
Ndio kawaida yake kuwadanganya wafuasi wake ambao alishawachukilia kama watu ambao hawana akili na manyumbu tu wakuburuzwa na kukokotwa tu.Ni aibu kubwa kwa mtu wa umri wa Mbowe, miaka 70 ya kuzaliwa, kusema uongo hadharani.
Just imagine kadanganya mangapi kwa wanachadema tangu aingie kwenye siasa.
Hii nchi imeshakua ni police state, SIO WAJIBU WA POLICE KUTOA PERMIT, wajibu WAO ni kutoa ULINZIeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January 23,2024 kama maandamano yawepo au yasiwepo na kusisitiza kuwa hadi kufikia sasa Polisi hawajakubali wala kukataa uwepo wa maandamano hayo.
Akiongea na TBC, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema “Baada ya kuwaona Katibu Mkuu wa CHADEMA akitangaza kwa kutumia Vyombo mbalimbali kwamba tarehe 24 lazima atafanya maandamano suala hili tumelifuatilia kwa ukaribu na leo January 22,2024 tulimuita Katibu Mkuu wa Chama hicho lakini akatuma ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu akiwa na wenzake na tumefanya nao mahojiano mbalimbali kwa kina kulingana na suala walilotangaza”
“Mimi nikiwa na Maofisa wa Kamisheni mbalimbali baada ya kuwasikiliza kwa kina na sisi kufuatilia kwa kina dhamira yao na kwasababu walituletea taarifa yao kimaandishi sisi hatujakubali au kukataa maandamano yao, majibu yao tumekubaliana kwamba tutawaapa kimaandishi kesho January 23,2024”
“Hatujaawambia maandamano yapo au hayapo kwasababu walituandikia barua kwenye Himaya zao na sisi majibu watayapata kwenye Himaya walizoandika barua hizo ambapo utakuwa ndio mwongozo wa nini kinafanyika huku tukizingatia masuala ya kiusalama na Maslahi ya Taifa kwa ujumla, tumezingatia suala la amani na majibu yao watayapata kesho”
Huwezi ukawapa ulinzi watu ambao wanataka kuleta vurugu na kukwamisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi. CHADEMA ihangaike na namna ya kujenga chama kilichokosa ushawishi kwa wananchi na kupuuzwa na kila mtanzaniaAcha ujinga wa kipumbavu, police wanawajibika kutoa ulinzi kwa wote na SIO KIBALI, Tanzania sio ya wavaa kijani pekee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseee sasa hapo maana yake nini yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Police kazi yao ni kupewa taarifa ili watoe ulinzi na si kutoa vibali
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January 23,2024 kama maandamano yawepo au yasiwepo na kusisitiza kuwa hadi kufikia sasa Polisi hawajakubali wala kukataa uwepo wa maandamano hayo.
Akiongea na TBC, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema “Baada ya kuwaona Katibu Mkuu wa CHADEMA akitangaza kwa kutumia Vyombo mbalimbali kwamba tarehe 24 lazima atafanya maandamano suala hili tumelifuatilia kwa ukaribu na leo January 22,2024 tulimuita Katibu Mkuu wa Chama hicho lakini akatuma ujumbe wa Naibu Katibu Mkuu akiwa na wenzake na tumefanya nao mahojiano mbalimbali kwa kina kulingana na suala walilotangaza”
“Mimi nikiwa na Maofisa wa Kamisheni mbalimbali baada ya kuwasikiliza kwa kina na sisi kufuatilia kwa kina dhamira yao na kwasababu walituletea taarifa yao kimaandishi sisi hatujakubali au kukataa maandamano yao, majibu yao tumekubaliana kwamba tutawaapa kimaandishi kesho January 23,2024”
“Hatujaawambia maandamano yapo au hayapo kwasababu walituandikia barua kwenye Himaya zao na sisi majibu watayapata kwenye Himaya walizoandika barua hizo ambapo utakuwa ndio mwongozo wa nini kinafanyika huku tukizingatia masuala ya kiusalama na Maslahi ya Taifa kwa ujumla, tumezingatia suala la amani na majibu yao watayapata kesho
Millard Ayo
Peter Kuga Mziray aliunda chama cha siasa cha wapare, kwa nini mmekitelekeza?Police kazi yao ni kupewa taarifa ili watoe ulinzi na si kutoa vibali
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaka kumtia kwenye mtego muliro!😂😂😄
Chadema bhana wanakuwa kama maalim aliyejitangazia Ushindi 2015 kisha Jecha akaifutilia mbali Uchaguzi wenyewe!