Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huwezi ukawapa ulinzi watu ambao wanataka kuleta vurugu na kukwamisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi. CHADEMA ihangaike na namna ya kujenga chama kilichokosa ushawishi kwa wananchi na kupuuzwa na kila mtanzania
Ingekua haina ushawishi msingekua mnaangaika hivi.nchi imewashinda ndo maana mnaangaika kuwazuia wapinzani wenu.Kwa ujinga wako unadhani huo ujinga utaenda nao mtaenda nao milele.jinga wewe.
 
mbona wanajieleza sana, kwani wanaogopa nini? aliye karibu nao atusaidie kuwauliza.
 
Huwezi ukawapa ulinzi watu ambao wanataka kuleta vurugu na kukwamisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi. CHADEMA ihangaike na namna ya kujenga chama kilichokosa ushawishi kwa wananchi na kupuuzwa na kila mtanzania
60yrs ya utawala wa ccm,maendeleo gani yaliyoletwa hapa nchini?
 
Ccm huwa ni waoga mno, CHADEMA yenyewe mmeivunja vunji miguu lakini mnaigopa balaa
Lazima waogope kwasababu zama zao zimeshapita na uwezo wao umeshafika kikomo kilichobaki sasa ni kulindana ili waendelee kunufaika,ila wanasahau kua muda hauko upande wao.
 
Mbowe kaona hana jipya kaamua kutunga uongo eti polisi wemekubali bila hata kuwaonesha nyumbu kibali. Sasa watalalamika kwamba wamenyang'anywa kibali. Kumbe hakukuwa hata na mtu wa kuandamana.
wewe na mtoa mada na wengine wenye akili finyu akili zenu ni finyu zaidi.
 
..Na anayetaka kufanya vurugu ktk jambo lolote hawezi kuwashirikisha polisi.

..Chadema hawana nia ya kufanya vurugu ndio maana wamewataarifu Polisi kuhusu maandamano yao.
 
Tarehe 23 mbona karibu sana. Wawape tarehe 28
 
Huwezi ukawapa ulinzi watu ambao wanataka kuleta vurugu na kukwamisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi. CHADEMA ihangaike na namna ya kujenga chama kilichokosa ushawishi kwa wananchi na kupuuzwa na kila mtanzania
Kama hakina ushawishi kwa nini mnaangaika, mara usafi, mara kipindupindu ya nini yote hayo tulia.
 
Yaani, anataka kuwaingiza chaka vijana wakavunjwe miguu badala ya kufanya shughuli zao za kiuchumi
Wavunjwe miguu kwa kosa gani, wewe bado ni mtumwa kumbe, yawezekana babu yako alimpinga Nyerere kudai uhuru.
 
😂😂😄

Chadema bhana wanakuwa kama maalim aliyejitangazia Ushindi 2015 kisha Jecha akaifutilia mbali Uchaguzi wenyewe!
naona umefurahi, Unadhani Mbowe/Kigaila ni malofa mpaka watoe tamko wakati hawajakubaliana na polisi
 
Wawaruhusu tuu si wanawapangia njia,maana wataandamana harafu wanaishia kupiga porojo bila majibu
 
Maandamano matamu yaliyozuiliwa "kunji" maandamano gani yakose "supu" ambayo ni mabomu ya machozi. Hainogi maandamano bila mawe hàinogiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…