Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

... yuko sahihi; ukizingatia yeye ni mhanga wa haya mambo. Iwe kosa kuvujisha mambo ya faragha mitandaoni; upuuzi wenu wa chumbani malizaneni huko huko na sio kuleta uchafu public.
 
Zenji kumeoza tupia mawe huyo kama mlivyofanya kwenye makanisa ya wakatoliki
 
Ghafla haoni kungule
 
Wanapima nini wakati video imesambaa na ni ushahidi tosha
Katika mizani ya kisheria, EVIDENCE ACT , Video pekee ya mitandaoni haiwez kuwa ushahidi tosha wa kumtia mtu hatiani, lazima uchunguzi ufanyike na video ithibitishwe kama ni GINUWINE, na wahusika wahojiwe ikiwemo mashahidi na ushahidi mwingine plus vielelezo viwe "BEYOND REASONABLE DOUBTS"
 
Kwan video hawaon mpaka wajidhibitie aje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mOVIE NGAPI UNAONA MTU ANACHOMWA KISU NA ANAKUFA ?

Ni lazima uchunguzi ufanyike, Na huo ndo utawala wa sheria katika nchi. Hata huyo Askari ana haki ya Kujieleleza na kujitetea.
 
Naungana na yule aliyeanzisha nyuzi kusema 70% ya waandishi na vyombo vya habari nchi hii ni vya hovyo sana.
 
Ukowa masikini unakuwa huna kauli thabiti hii yote sijuii tumpime tena , sijui tuwarekebishe sio kuwafukuza.. ni kutoka na nchi kutegemea misaada kutoka kwa wapiga debe wa ushoga..
 
Ngoja nikaangalie picha mnato yake fasta
 
Yaani Kamanda Hamadi anaambiwa kuna shoga katika internet ambaye inadaiwa ni askari wetu hawezi kutoa amri,akasema,"Mtafute huyu mtu. Nataka ripoti kesho asubuhi."
Badala yake anasema yuko mbioni kufanya upelelezi.
FBI ukiwapa jina,ukiwapa picha ya mshukiwa,watazama katika records zao dakika tano tu wanakupa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…