Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

Connecting dots...

Huku kuteguliwa kwa mwenezi kumekuja siku chache, moja ama mbili baada ya tarifa zilizosambaa za salaa kutishiwa kuuawa na mwenezi...

Masaa machache baadae... Kesi ikiwa polisi Bado... Haikuongelewa kama vile iliachwa kwa muda kusubiria kitu Fulani...

Baadae kidogo.. mwenezi anatumbuliwa.... Ndipo hii kesi inaamka tena!... Hawa jamaa GSM Wana nguvu sana!

Pia kauli Ile ya mwenezi kumhusisha magu kwa mambo anayoonekana kuyafanya mama yenu.... Inaonyesha haikumpendeza mama... Ilichachua pia kilichotokea...

Inaonyesha anguko la makonda... Amedakwa katikati kwenye tawi (police) kabla ya kudondoka (anguko rasmi)..

Unapokuwa kwenye system ya hawa watu(serikali)....

Hawakuondoi moja kwa moja... Wanakupooza taratiibu... Kama wanavyomfanya mwenezi sasa.
 
Kabisa, hatarudi tena katika inner circles, he is a criminal
 
Niliwahi kuuliza aliteuliwa kwenye Uenezi na mafunzo ya uuaji?? Unachaguaje mtu bila kujali uovu wake uliowazi? Habarizake siyo zakuchunguza,si zikowazi?
Shamefull government!! Nabado amepewa ukuu mahali.... ptuuh!
 
Msoga na Familia ya Salaa ni kama chupi na tako, Hangaya na Msoga ni Pete na Kidole wakat Bashite ni timu Jiwe ambayo ilikuwa against Hangaya, Msoga

Nahisi hiyo ndio sababu mojawapo iliyomuondoa kwenye uenezi.
 
Msiojua ukuu WA mkoa NDIO safari yake ya mwisho amepelekwa KULE wamalixane nae via hii kesi
 
Msoga na Familia ya Salaa ni kama chupi na tako, Hangaya na Msoga ni Pete na Kidole wakat Bashite ni timu Jiwe ambayo ilikuwa against Hangaya, Msoga

Nahisi hiyo ndio sababu mojawapo iliyomuondoa kwenye uenezi.
Ameondolewa katika uenezi kwa sababu ya upumbavu wake
 
Watanzania wajinga sana! yaan watu wanahangaika na kajinga kamoja! kaueni tunakazika chapu biashara imeisha
 
Inafaa apelekwe akaishi visiwa vya Bahamas na Sean Combs aka Pididdy!
 
Sasa kama ulikuwa unawajua ikawaje ukasema salaa ndie aliyemwagiwa tindikali. Wakat jamaa kwanza by then alikuwa masomon India. Au unamfananisha yeye na kaka yake.
Yes nilikuwa namaanisha as family ni mafia hao tena wana ukatili sio kawaida.
 
Haijalishi ikiwa tu kama waliofanyiwa mabaya na huyo Salaa hawajalalamika na pia haiondoi kosa la kiongozi wa umma kutishia kuua Raia. Kama Salaa ana makaosa na makonda akiwa kama kiongozi angemshitaki na sio kumtishia kumuua.
Hawajalalamika?? walienda kwenye media zote lakini pesa ikaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…