JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Connecting dots...
Huku kuteguliwa kwa mwenezi kumekuja siku chache, moja ama mbili baada ya tarifa zilizosambaa za salaa kutishiwa kuuawa na mwenezi...
Masaa machache baadae... Kesi ikiwa polisi Bado... Haikuongelewa kama vile iliachwa kwa muda kusubiria kitu Fulani...
Baadae kidogo.. mwenezi anatumbuliwa.... Ndipo hii kesi inaamka tena!... Hawa jamaa GSM Wana nguvu sana!
Pia kauli Ile ya mwenezi kumhusisha magu kwa mambo anayoonekana kuyafanya mama yenu.... Inaonyesha haikumpendeza mama... Ilichachua pia kilichotokea...
Inaonyesha anguko la makonda... Amedakwa katikati kwenye tawi (police) kabla ya kudondoka (anguko rasmi)..
Unapokuwa kwenye system ya hawa watu(serikali)....
Hawakuondoi moja kwa moja... Wanakupooza taratiibu... Kama wanavyomfanya mwenezi sasa.