Umeamua kuweka ligi, nadhani endelea kujua unavyojua. Yaani leo uingize bidhaa sokoni ikiwa njeya viwango, alafu uachwe tu.Niambie ni sheria ipi Tanzania inasema plate number ikiwa nje ya viwango unaing'oa?
Au niambie Plate number zikiwa nje wa kiwango zinaathiri vipi usalama barabarani?
Au Ni wapi kuwa nje ya viwango vya TBS kwa Plate number kumehesabiwa kama kinyume cha sheria?
Bado nasubiri sheria hizo mkuu
Hawa wa 3D wanachofanya ni kubandika hiyo minamba yao juu ya plate namba ambazo zimetengenezwa na makampuni yenye vibali. Hizo 3D ziko nje ya utaratibu, labda sheria zibadilishwe na viwekwe viwango vipya.Duuh kwahiyo unataka kusema kwamba wanaotengeneza hizo 3Ds, wanashindwa kujua criteria na dimensions zilizowekwa na TBS, hata kwa kukopi tu kutoka kwenye hizi za zamani
Mbona unajiita DR na unakuwa mvivu hata wa kugoogle na kuujua ukweli? Fungua hiyo attachment then soma Annex C uongeze maarifaNaomba sheria au kanuni au Muongozo unaokataza Matumizi ya 3D kama unao..
Maana umetaja sheria bhasi ukinipa sheria itakuwa vizuri zaidi maana sheria ndo huzaa Kanuni na Miongozo..
Nipo nasubiri mkuu maana sheria ya Usalama barabarani ninayo na haina ulichosema..
Mayb ni sheria mpya..
So i am waiting.....
Usipotoshe umma, maelekezo yalishatolewa kuwa hizo namba ziachwe na hazina tatizo loloteKama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwaView attachment 2918540
Mkuu umeongea point.......sis tusiokua na magari hata hatuelewi traficc wanabandua nn 🤣🤣🤣Kati ya watanzania 10 ,
9 wanatembea kwa miguu.
Hilo zoezi ni kwa wachache tu, halina madhara.
Punguza ujuaji DR. Hii ni sehemu ya document ndani ya link niliyoshare nayo. Lazima hizo sizes, space and margin zifuatwe. 3D ziko nje ya hivyo viwangoNiambie ni sheria ipi Tanzania inasema plate number ikiwa nje ya viwango unaing'oa?
Au niambie Plate number zikiwa nje wa kiwango zinaathiri vipi usalama barabarani?
Au Ni wapi kuwa nje ya viwango vya TBS kwa Plate number kumehesabiwa kama kinyume cha sheria?
Bado nasubiri sheria hizo mkuu
Mkuu ni either haujui hizo mamlaka zinachotaka au unajua ila umeamua tu kubisha kwa makusudiHawa wa 3D wanachofanya ni kubandika hiyo minamba yao juu ya plate namba ambazo zimetengenezwa na makampuni yenye vibali. Hizo 3D ziko nje ya utaratibu, labda sheria zibadilishwe na viwekwe viwango vipya.
Mbona hujibu hoja Mheshimiwa..Umeamua kuweka ligi, nadhani endelea kujua unavyojua. Yaani leo uingize bidhaa sokoni ikiwa njeya viwango, alafu uachwe tu.
Hizo number shida yake kubwa iko ktk usalama, watu wengine wanatumia upenyo huo kuichezea hiyo tarakimu moja tu basi humpati tena mhalifu maana ukiisoma ikiwa ime badilika hauwezi kuipata ktk system ya Serekali.Zina shida gani?
Kama una make sense hivi...Kwa mfano gari yanye namba T 838 ZZZ na ikawa imewekewa plate number ya 3D, ikiibiwa na kubadilishwa kuwa T 888 ZZZ ni kitu rahisi sana, kwani unabandua hiyo 3 unaweka 8 ndani ya sekunde chache tu.
Mkuu huenda hujui shida ilipoanzia shida ilipoanzia ni kuwa Dealers wa Plate number walikosa Wateja na wakaanza kulalamika kwa serkali na hata Ukisikia polisi wanachosema cha kwanza kuuliza ni risiti...Mbona unajiita DR na unakuwa mvivu hata wa kugoogle na kuujua ukweli? Fungua hiyo attachment then soma Annex C uongeze maarifa
chrome-extension://efaidnbmnnnibpcajpcglclefindmkaj/https://members.wto.org/crnattachments/2018/TBT/TZA/18_2114_00_e.pdf
Sasa ingekuwa vizuri kama ungeweka na 3D ukaonyesha margin zake kama sio +_5Punguza ujuaji DR. Hii ni sehemu ya document ndani ya link niliyoshare nayo. Lazima hizo sizes, space and margin zifuatwe. 3D ziko nje ya hivyo viwango
View attachment 2919727
Ninatamani kama wataenda Kung'oa na hii ya NAIBU WAZIRI TAMISEMIPunguza ujuaji DR. Hii ni sehemu ya document ndani ya link niliyoshare nayo. Lazima hizo sizes, space and margin zifuatwe. 3D ziko nje ya hivyo viwango
View attachment 2919727
Hizi nimebandika leo ofisini.Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwaView attachment 2918540
Mkuu, huo mtihani, tatizo unakuta madereva ndo wanaongeza manjonjo yao.Ninatamani kama wataenda Kung'oa na hii ya NAIBU WAZIRI TAMISEMI
View attachment 2919925
Bilashaka walishatoa tahadhari na wakasema kwanini hazitakiwi,moja ya sababu ni kutosomeka katika mazingira flani,na nadhani kuna uzi humu,hadi mifano ilitolewa.Jeshi limekosa kazi za Kufanya