Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

Mkuu, huo mtihani, tatizo unakuta madereva ndo wanaongeza manjonjo yao.
Sasa dereva kaweka kwani Waziri haoni na kumbuka hilo ni gari la.serikali kubandika kwake lazma taratibu nyingi zifuatwe
 
Sasa dereva kaweka kwani Waziri haoni na kumbuka hilo ni gari la.serikali kubandika kwake lazma taratibu nyingi zifuatwe
Waziri anaona sana, lakini kuwa Waziri akumaanishi anajua sheria za nchi.
 
Duuuuh.... yani serikali iliruhusu watu wakabadilishe muonekano wa vibao, kwa sharti la kutumia kampuni zilizopewa vibali na viwango ?

nimeamini third world tunashindwa kujitawala, aiseee..... duuuuh

kwa hiyo hii basi ni fursa adhimu. Naweza kuomba serikali inipe vibali na viwango vya kubadilisha muonekano wa passport za Watanzania !
 
una chuki za kifala kabisa.Kwani hizo sheria wanazotekeleza polisi walitunga wao?Mbona hulichukii bunge lililopitisha & kutunga sheria hizo.!

Tutii sheria za nchi;kutii ni uzalendo kwa nchi.
Itakuwa wewe ni police unajaribu kuwatetea wenzako ..siku ukiigia kwenye 18 za police ndio utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…