Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

mimi nawajali sana watanzania, naomba mniombeee........fisi aliyejivika ngozi ya kondooo
 
Huyu Sirro atuondolee bra bra zake...yeye ndo mhalifu no.1 akishirikiana na Bashite wanatakiwa waseme alipo Roma!
 

Tunajiuliza Watanzania angetekwa xxxx ardhi ingefukuliwa lakini kwa sababu ni mshabiki wa chama fulani na mtoto wa maskini asiye na nguvu. Basi unaombwa ushirikiano wa raia wasio na namna wala mbinu zozote. Ni aibu kwa jeshi letu. Mwenyezi Mungu alipize kisasi kwa wote waliohusika katika jambo hili aidha moja kwa moja au kwa kupanga
 
Mambo haya tumezoea kuyasikia Rwanda congo sudani nk now yapo kwetu.
Round hii mtaisoma mmempa kichaa rungu.


Makonda aeleze amempeleka wapi Roma.?

#Madaraka_yakulevya
 
Mark my WORDS Makonda ndie aliemtemka ROMA na ROMA atapatikana ili kupata nafasi ya Kwenye VYOMBO VYA HABARI!!"Babu TALE "analifahamu hili deal!INSANE PEOPLE DOING IT IN INSANE WAYS
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Chama Cha Majambazi CCM kinahusika na kupotea kwa watu katika nchi hii wanaoonekana wanaipinga serikali ya kibabe ya mzee kipara.
 
Acha upumbavu kwenye maisha na uhai wa mtu.
Huyu mwanamke ni zaidi ya shetani. Yani hana utu kabisa akisikia mtanzania kauwawa na serikali kwake ni sherehe. Hawa ndo wahamiaji wanaotuletea shida katika nchi hii watanzania hatuna roho ngumu kiasi hiki.
 
Hivi inakuwaje mpaka watu wanaingia ndani wanawachukua watu wapatao watano bila ya kuwaambia kuwa sisi ni akina nani na mnatakiwa kwenda wapi.
Bora wewe umejiulia swali hilo. Mara nyingi nimewahi kushuhudia polisi wakiwa na sare zao watu wakiwahoji sababu za kukamatwa kwao na kituo wanachopelekwa. Leo kompyuta zinachukuliwa bila kuandikishwa wala bila jirani kujua. Je hao watu wengine aliokuwa nao simu zao nazo hazipatikani?
 
Tufanye nini na nyie ndo wenye nguvu?
 
Mark my WORDS Makonda ndie aliemtemka ROMA na ROMA atapatikana ili kupata nafasi ya Kwenye VYOMBO VYA HABARI!!"Babu TALE "analifahamu hili deal!INSANE PEOPLE DOING IT IN INSANE WAYS
Kuna kitu unataka kutuambia lakini naona bado unavuta sema tu nini kipo nyuma ya pazia naomba uwe reference
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Mnangoja nini nyie kama chama tawala kuwadhibiti hao magaidi na watekaji wa chama mfu? Nyie si ndio umewakabidhi serikali yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama!! Wenye kuijua Leo kesho na keshokutwa yetu, porojo za uvyama hazitatusaidia kwenye mambo ya kuumiza kama haya
 
Yaani, nimejiuliza mkuu bila ya kupata jibu kiongozi.

Kwa sababu mpaka vitu vinapandishwa kwenye gari walikuwa wanajua wanapelekwa wapi, sasa katika hali kama hiyo nafkiri walipaswa kujua wale waliowakamata ni wakina nani na wanawapeleka wapi wangeweza kuwajulisha hata ndugu na jamaa kuwa wanelekea sehemu gani ingekuwa rahisi kufaham.

Mimi siamini kama mtu unaweza kuchukuliwa tu pamoja na mizigo yako ukapelekwa sehemu usiyoijua na afadhali angekuwa peke yake kulikuwapo watano kisha msihoji na msitoe taarifa kwa ndugu na jamaa.

Inaleta kizungumkuti unajua.
 
Umenikumbusha mbio za Hamorapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…