mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Marehemu jalada lake lipo kituo gani cha polisi. Au walimtupa monchwari kama mzoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una maana gani ?Kwa taarifa hizo, huko Moshi wakifika watakuta ndizi TU.
Hoja yako Ina mashikoHao hawatafuti simu wamekwenda kupandikiza vitu nyumbani kwa Boniface. Ili kuharibu utu wake kwenye jamii.
Anajidhalilisha sana, pia analidhalilisha Jeshi la Polisi, Bora Angekaa kimya na kuchukua hatua za kushughulikia suala hili kimya kimya bila ya kuushitua umma wa Wananchi.Hii sinema kamanda Murilo anashindwa kukubali tu imemshinda kuicheza.
Huu upumbavu ndio unalitia doa sifa zote anazopewa mamaJeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao wakitafuta simu ambayo polisi wamesema wanaitaka kwa ajili ya uchunguzi.
Polisi wamekwenda nyumbani kwa Boniface Jacob, Mbezi-Msakuzi, Dar es Salaam pia kufanya upekuzi ikiwa ni pamoja na kutafuta simu ambayo polisi wamesema wanahitaji ili kufanya uchunguzi.
Jeshi la polisi limesema kwamba wao ndiyo walalamikaji katika jambo hili, na kwamba Boniface Jacob na Godlisten Malisa wamefanya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii dhidi ya Jeshi la Polisi.
Pia, jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Saalam limesema kwamba, kuna makachero wa jeshi la Polisi kutoka mkoa wa Arusha ambao wanatoka Arusha kuja Dar es Saalam ili kumuhoji Boniface Jacob.
Tuteendelea kuwajulisha kwa ambayo yanaendelea. MSIOGOPE. MSIOGOPE. MSIOGOPE. MSIOGOPE.
MMM, Mtikila.
Kuna siku aliitwa Power Breakfast, arguments alizokuwa anazitoa aisee! Nilibaki nimeduwaaAnajodhalilisha sana, pia analidhalilisha Jeshi la Polisi, Bora Angekaa kimya na kuchukua hatua za kushughulikia suala hili kimya kimya bila ya kuushitua umma wa Wananchi.
Utandawazi ni mkubwa. Kila kitu kitakuwa sawa ,watapekua watakosa ,walichokifuata. Mwisho watarudi dar na mikungu ya ndiziuna maana gani ?
Kwenda kujiridhisha taarifa alitumia laptop mpakato au computer ya mezani chogo au simu yake (kiswaswadu)muwe wavumilivu mkiwachokoza!Wako watu walipendekeza Jeshi la Polisi Livunjwe na Kuundwa upya , lengo likiwa ni kuliboresha kwa kutimua hawa waliopo wenye akili za kizamani wakiwemo akina Muliro na wenzake na kuleta Askari wapya wenye akili ya kisasa .
Mwanzo nilipinga wazo hili lakini sasa naamini waliowaza vile waliona Mbali sana .
Anayetuhumiwa kupotosha mitandaoni amekuja ili mumuonyeshe upotoshaji wake halafu mnaenda kupekuwa nyumbani kwake ili mupate upotoshaji kwenye makabati au mnataka kukagua thamani ya nyumba yake ? Hivi ndivyo Police wa Nchi zote wanavyofanya au ni hawa wa CCP MOSHI pekee ?
View attachment 2973785
Madhara ya kuajiri wenye D2Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.