Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sentensi ina shida gani😅😅We andika kiswahili unaleta Aibu we Mataga
Hizo ajira mamilioni unataka zitengenezwe vipi? Maana kuna viwanda ,kilimo na sekta ya madini imeajiri direct na indirect employment.1. Kma mlijua hamtoi ajira kwanini mliahidi kwenye ilani yenu page ya 4 kuwa mtatengeneza ajira mamilion? Vijana wakieleweshwa kuwa waliingizwa mkenge sioni wapi mkipenya.
2. Kuhusu kilimo ilani yenu page 14 mliahidi hektw zaidi ya 1 million kuwa za umwagiliaji na kwamba wakulima wataacha rasmi kutegemea mvua alafu hapa unasema eti programu endelevu. Ilihi 93% ya wakulima wanategemea mvua bado!! Mtadanganyaje wakulima wawape kura?
3. JNHPP 80% inaenda nje sababu material na technology/ experts wanatolewa huko so ajira ni vibarua tu. Spillover effect ni chini ya 20% kwahiyo sio kweli itasolve tatizo la ajira ambapo vijana laki 9 wanaingia soko la ajira.
Ajira + Kilimo ndio kifo chenu. Hapo kumbuka vijana ndio wengi nchi hii na Wakulima ndio labor force kubwa. Sioni mkitoboa kma watu wakichagua kwa hoja sio ushabiki.
Z kijani/njanoMuhimu Mamlaka itoe muongozo juu ya kuvaa kanzu siku ya 7/7 . Je waumini tunaruhusiwa kuvaa kanzu 7/7?
Yesu wa Burigi na wenzake wanaogopa sana tume huru. Wanajuwa vizuri kuwa pamoja kushika dola, hawana mvuto. Mengine ni visingizio vyako.U
Ukweli ni kwamba mwaka huu upinzani umejua unaenda kushindwa. Maana hamna hoja yoyote ya msingi itayowabeba. Hili la tume huru ni kisingizio tu. Mwaka 2015 mbona hakumleta hiki kisingizio?
Subiri kampeni zianze muone mtavyozomewa.Yesu wa Burigi na wenzake wanaogopa sana tume huru. Wanajuwa vizuri kuwa pamoja kushika dola, hawana mvuto. Mengine ni visingizio vyako.
Hoja zimekauka?Subiri kampeni zianze muone mtavyozomewa.
Subiri wavuta bangi na wanywa konyagi watavyokuwa wanazomewa ndio utajua hoja zimekauka. Na ile bil 8 ya walipa kodi mtaitapika kwenye majukwaa.Hoja zimekauka?
Huko kujiingiza wazi wazi kwenye uchaguzi kupo vipi? Maana sikuelewi unataka kusema JPM huwa anawashika mikono wananchi waichague Ccm?
Utavaa nyuma ya keyboard bodi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Mkuu ilani uk 14 imesema Hekta Million 1 ssa kma mlijua haziwezi kuwa mahala pote kwanni mliahidi?Hizo ajira mamilioni unataka zitengenezwe vipi? Maana kuna viwanda ,kilimo na sekta ya madini imeajiri direct na indirect employment.
Hizo irrigation schemes kama Kapunga ulitaka ziwe kila sehemu?
Nafikiri mantiki ya kuweka irrigation schemes haujaipata vizuri. Ni maeneo ambayo upatikanaji wa mvua ni wa kusuasua ndiyo yanahitaji kwa sana hizi schemes. Au maeneo ambayo yanalima mazao kama mpunga. Na hapa Tanzania zipo nyingi tu.Mkuu ilani uk 14 imesema Hekta Million 1 ssa kma mlijua haziwezi kuwa mahala pote kwanni mliahidi?
Ajira mlisema kwa kutoa mikopo wapate mitaji ilihali zile10% za vijana zimepatikana kwa less than 5% ya mahitaji yaliyopo maana halmashauri hazitengi hizo pesa. Sasa kwanini mnaahidi vitu msivyotekeleza.
Nasema hvi Lissu akichambua ilani yenu hampati kura za vijana na wakulima. Na nitashauri agenda kuu iwe Ajira kwa vijana na Kuinua kilimo ili maendeleo yashuke kwa watz walio wengi.
Nasema hivi CCM kaburi lenu ni ahadi hewa kwa Vijana (70% ya waTz na wapiga kura) na Wakulima 70% ya labor force!! Tukutane oktoba
Wapi nimesema iwekwe kila sehemu. Nimenukuu ilani kwamba hekta million 1 ssa hayo maeneo machache ambapo irrigation scheme zipo zinafika hizo size?Nafikiri mantiki ya kuweka irrigation schemes haujaipata vizuri. Ni maeneo ambayo upatikanaji wa mvua ni wa kusuasua ndiyo yanahitaji kwa sana hizi schemes. Au maeneo ambayo yanalima mazao kama mpunga.
Na hapa Tanzania zipo nyingi tu. Kondoa mkoani Dodoma. Kilimanjaro zipo nyingi tu na mkoa kama Mbeya ni mmoja wa mfano wa mikoa ambayo ina schemes za umwagiliaji. Kwa hiyo sio kila eneo ziwekwe hata kama mvua inapatikana ya kutosha kuzalisha chakula.
Kuhusu ajira hili ni suala mtambuka wewe unaliangalia kwa upande mmoja wa sarafu na Octoba utadondokea pua. Maana hata kwenye sekta ya madini maeneo mengi wachimbaji wadogo wameruhusiwa kuchimba na ajira nyingi zimedhalishwa tofauti na huko nyuma. Pia kilimo mpaka sasa kinaajiri 77% na Asdp imeleta tija kubwa kwa wakulima.
Mbunge mmoja? Nafikiri fanya utafiti ujue kuna irrigation schemes ngapi na zimecover eneo la ukubwa gani? Pia tafuta data za WB uone zilivyoleta tija kwenye kilimo hapa Tanzania.Wapi nimesema iwekwe kila sehemu. Nimenukuu ilani kwamba hekta million 1 ssa hayo maeneo machache ambapo irrigation scheme zipo zinafika hizo size?
Pia ilani imesema wakulima wote waache kutegemea mvua ikimaanisha watumie umwagiliaji ili production isiwe uncertain. Pia kilimo cha kisasa sio tu umwagiliaji bali hata kuacha kilimo cha jembe je hiko mmetekeleza? Mmeongeza thamani ya mazao kwa wakulima? Mmewahi kutoa export subsidy kwa hta korosho au mliishia tu kupora export levy?
Huko mkipata hta mbunge mmoja basi Ntaamini kweli hawajitambui